"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Mimi nasema ahsante kwafundisho..

pia utambue,,. kila aongezae maarifa hujiongezea masikitiko.
 
Kwa hiyo mlikonkludi nini kwenye hii yuziful sredi?:confused2::confused2::confused2:
 
Hivi bible inazungumziaje kutukana au kumwambia mwenzako kakosa akili?

Bible inazuia kutukana watu. Lakini yenyewe ndo inasema kuwa "AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA, ANAFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE". Kama una ubavu wa kubishana na Mungu basi sema nikutumie namba yake muwasiliane. When the Bible calls you a fool, you are a fool indeed no matter how the society perceives you
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
kuna mtu nadhani anaitumia hii aidii!
sio wewe bana
 
love is overrated, love is complicated, huwezi kusemea kila mtu.

Huwezi kusemea kila mtu kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake. Lakini mada hii inatufundisha kusoma alama za nyakati za wapenzi wetu. Tukikubaliana na alama zao za nyakati mambo yanakuwa shwari.
 
Conclusion: Tumkatae shetani na mambo yake yote.

Nasikia roho wa bwana akiniita katika utumishi. Naomba nianze na mabinamu wote.........NO TO INFIDELITY.
Mkuu umechelewa kidogo...karibu kundini..
St. Roya
 
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....

QUOTE]

Hii inaonekane kukaa kimfumo dume zaidi...; does it apply both ways? vipi mwanamke mwenye akili timamu akifanya infidelity kidogo, naye anakuwa hana hisia za mapenzi?

Otherwise, spontaneity kwenye sex is good, ingawa sijui itakuwaje kama mzuka utataka TIGO siku hiyo...
 
Back
Top Bottom