Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Shida ya hili li Lissu ni kutaka sifa ya kufikia kuwapiku hata viongozi wake wa chadema, anataka aonekane anajua kila kitu na wenzake ni maamuma tu.
 
Pale tone la maji linapokuwa against wewe ila maji yako yapo pamoja ni nonsense sana tundu lisu kusikiliza maneno ya mtu aliyenyuma ya keyboards anajiita ana msimamo
 
Kama kuna mtu ambaye anatakiwa awe mwanasheria wa nchi ni TUNDU ANTIPAS LISSU, maana yale ambayo yalikuwa yanaongelewa huko nyuma ndiyo yanatokea leo,,,,,,, na mtakomaa tuuuuu
 
Kumpigia kura fisadi haina maana nawe ni fisadi.

Na kumpigia kura fisadi sio tatizo??

Ila hatuhitaji kiongozi fisadi.

NAONA BADO KUNA WATU WANAKALILI BONGO ZA MATAA.
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Yani kuanzia mwenyekiti wa chama taifa hadi balozi wa nyumba kumi, wote mnahangaika na mtu mmoja, huyu mtu sijui ana nguvu kiasi gani, hakuna anayejibu hoja zake zaidi ya kumtukana na kumtisha, inapofika amiri jeshi mkuu anatisha watu hadharani ni jambo la hatari sana,
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Umesahau alikubali kutetea kesi ya bangi sijui iliishaje?

Long story short si useme tu ni mnafiki. Halafu msomi wa kweli husoma picha ya mchezo. CHADEMA hawatampa nafasi ya urais. Ataendelea kuwashikia pembe tu. Huyu Lissu na Zitto ni washika pembe wazuri tu wa wapinzani hakuna watakachoambulia.
 
Kama Lissu hana sifa ya kuingia Ikulu iweje CCM wamuogope kiasi hiki!? Waruhusu katiba mpya ya rasimu ya Warioba kisha kuwe na Tume ya uchaguzi waone vile Watanzania watakavyofanya kweli kukipiga chini chama cha wahuni na mafisadi.

wewe ndeye unamwamini usifikiri kwa niaba ya sisi wote. Sema juu ya kwako na wanaokuhusu.CCM gani anamwogopa Bomo kaya mtaje kila anayesimama kusema anamtukana wewe vipi shombo unatupaka ya nini?
 
Lissu hata siku moja hawezi kutumika na Taifa lolote lile ili awe kibaraka wao hata kwa sekunde moja.

Kamanda wangemsikiliza katika upingaji wake was mikataba ya kifisadi tangu late 90s labda nchi yetu miaka 20 baadaye ingekuwa na maendeleo makubwa sana kupitia utajiri wake wa rasilimali lakini wahuni na mafisadi wa CCM wakampinga kwa kila namna leo matokeo yake tunayajua.
Mbona hajakataa tuhuma za kupiga simu na kuwasiliana na ACACIA kuomba data ili apige domo kaya lake? kimyaa kanyamaza akatae tuwarushie vimbwanga vyake hewani. Akudanganye wewe usiyejua
 
Kama Lissu hana sifa ya kuingia Ikulu iweje CCM wamuogope kiasi hiki!? Waruhusu katiba mpya ya rasimu ya Warioba kisha kuwe na Tume ya uchaguzi waone vile Watanzania watakavyofanya kweli kukipiga chini chama cha wahuni na mafisadi.

Too late!!!
 
meningitis ,

1. Ni kweli TL aliboronga alipotoa maneno ya ukakasi dhidi ya Baba wa Taifa.

2.Ni kweli TL anapinga muungano serikali 2. Yeye anapendekeza muungano wa serikali 3 baada ya wananchi kuulizwa.

Hayo mambo mawili yanaweza yasiwe kikwazo ikiwa unampambanisha na mgombea ambaye ametoa kauli mbaya zaidi kushinda ile aliyotoa TL dhidi ya sera za Mwalimu.

Pia kuhusu muungano hili ni eneo ambalo kwa huku Tanganyika wako watu wachache sana wenye uwezo wa kulichambua na kulijengea hoja kumzidi TL.

Kwa maoni yangu, TL akipewa nafasi anaweza kubadilisha mtizamo wa wananchi kuhusu muungano and the way forward. Hoja yake ya muungano wa serikali 3 siyo ngeni masikioni mwa waTz.

Mkuu Joka Kuu

Tukubali pia hata Nyerere naye alikuwa na makosa ya msingi na anastahili kukosolewa kama binadamu yeyote. Lissu hakusema uongo kuhusu Nyerere. Nachoweza kukubali ni kuwa Lissu anatumia lugha tata inayokwaza wengi. Lakini ndivyo alivyo; hana ubaguzi - anaongea hivyo kwa wote anaowakosoa (equal opportunity offender).

Unaweza kusema ana "kilema" cha lugha. Lakini asemayo Lissu ni sahihi kabisa. Na Nyerere is not exempt. It won't be fair tukubali Mzee Mwinyi akosolewe bila simile kama inavyotokea leo hii halafu Nyerere asiguswe hata kidogo - eti "mtakatifu".
 
Lissu hajawahi kumkosoa Mbowe au lowassa kwa mtindo huo pale walipo au wanapokosea!
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
huna lolote zaidi ya porojo ebu twambiye ccm kwa kipindi cha miaka 55 jambo gani wamefanya lamaana please just one tu
 
Swali lako halihusiani na makosa aliyoyafanya lissu..halina mantiki kwenye hoja hii.

Swali la kujiuliza je lissu anamkubali Nyerere?

Lissu anaukubali muungano?

Lissu anamkubali lowassa?

Lissu anaitetea Acacia?

Iwe amehusika au hajausika katika kupendekeza au kupitisha sera zilizotufikisha hapa.
nyerere ndio nani kwani
 
Back
Top Bottom