Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

Maslahi ya Tanzania na watanzania ni yapi unapoongelea ufisadi na baba wa ufisadi?

Maslahi ya Tanzania na watanzania ni yapi unapoongelea ripoti za Makinikia na wizi wa acsia!?
ivi kuna ccm yoyote asiyekuwa fisadi
 
Hilo unaloliita "fisadi kuu"ni lipi hilo?Kwa nini fisadi hilo msilitupe korokoroni katika ile mahakama yenu ya mafisadi iliyogeuzwa makazi ya popo mbwa,vimbulu na mapaka shume?

Bahati mbaya kwako unajaribu kuihadaa nafsi yako mwenyewe!Hivi kiongozi wa chini anawezaje kuwa " fisadi kuu"kwenye uchafu uliojadiliwa na kupitishwa na Cabinet iliyo chini ya uenyekiti wa Rais wa nchi?Kwa nini "fisadi kuu" asiwe yule mwenye maamuzi ya Mwisho juu ya mambo yote yahusuyo nchi na ambaye ndiye aliyesimamia maamuzi yote ya kipumbavu yanayoligharimu Taifa letu hadi leo?

Nafikiri "fisadi kuu"ni lile lililojianzishia ACACIA yake na kujimilikisha mgodi wa kiwira kinyume na sheria za nchi,kupitia fisadi hilo ndimo kulimozaliwa uchafu wote ambao wagonga meza wa wakati huo na ambao pia walikuwa sehemu ya Cabinet,leo wanatulazimisha tuwaone wazalendo kwa kutuhadaa kuwa wanapambana na wahujumu uchumi wakati mikono yao ilishiriki 100% katika kuwapokea majambazi wa kiuchumi wanaopora Rasilimali zetu.

Eti leo mtu anakurupuka kwa mwendokasi wa ukilaza wa " permanent head disorder" ya mazao ya korosho na kutuuliza nani aliyeturoga huku akijuwa fika tumerogwa na ccm na serikali yake na yeye alishiriki kuitikia "tawile" katika vikao vya kishirikina vya kuiroga nchi yetu kiuchumi,kutuuliza tumerogwa na nani wakati wewe ni sehemu ya wachawi wenyewe yaweza kuwa ni kejeli ya kiwango cha lami!

Eti kuna watu wanashangilia na kusifia kuwa ........,hivi hamjuwi kuwa hao mnaowavika ushujaa leo mikono yao imejaa damu za hatia kwa kuunyonga utajiri wetu kupitia chama na serikali ileile ya ccm?Wapumbavu wanawageukia kina TL na kuwasakama utadhani TL ndiye aliyelifikisha Taifa hapa lilipo,ajabu zaidi tukihoji na kuomba katiba ibadilishwe ili ituruhusu kuwapiga mawe hadi kufa viongozi wakuu wawili walioshiriki,kusimamia na kubariki Wizi huu,anatokea kiongozi mwingine ambaye pia alikuwa mgonga meza na mwana cabinet anafura na kuliagiza bunge liwafurushe wote watakaohoji uadilifu wa viongozi wastaafu na yeye atahitimisha kwa kuwadhibiti ndani ya dk5 pale watakapojaribu kupaza sauti zao nje ya bunge.

Mwenye akili timamu hawezi kuchukuliwa na hadaa hii ya kiwango cha lami,atahoji na kudadisi ujasiri huu wa kilaghai umetoka wapi na utatufikisha wapi ikiwa anayeusimamia ujasiri huo ameshajiapiza kutofukua makaburi?

Nitakuwa wa Mwisho kuimba na kusali sala za "litania ya watakatifu" ili kumtukuza mtakatifu wa ccm aliyeshiriki kulihujumu Taifa,lakini leo anajifanya yeye ni "malaika wa nuru" aliyeletwa kuja kulitoa Taifa letu gizani.Mimi si sehemu ya wanafiki na sidanganyiki kipumbavupumbavu.
asante mkuu ambaye hajakuelewa hapa uyo nadhani atakuwa amesoma shule moja na bashite.
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
7) Nimemsikia Magufuli akielekeza wahusika wote wa uchafu huu washughulikiwe. Kweli???

(a) Je, Jakaya Kikwete aliyesaini leseni za Bulyanhulu na Nzega mwaka '94 anaponaje???

(b) Je, Ben Mkapa aliyekuwa Rais na Mwenyekiti wa Cabinet wakati haya yanafanyika anaachwaje???

(c) Je, waliokuwa mawaziri na manaibu wao wote wakati haya yanatokea wanasalimikaje???

(d) Je, wale washangiliaji na wapiga meza wa bungeni, ambao waliunga mkono kila walicholetewa bungeni na kukipitisha kilivyo wanakosaje lawama???
 
huna lolote zaidi ya porojo ebu twambiye ccm kwa kipindi cha miaka 55 jambo gani wamefanya lamaana please just one tu
Anaongelewa lissu sio Ilani na utekelezaji wa Ilani ya CCM
 
7) Nimemsikia Magufuli akielekeza wahusika wote wa uchafu huu washughulikiwe. Kweli???

(a) Je, Jakaya Kikwete aliyesaini leseni za Bulyanhulu na Nzega mwaka '94 anaponaje???

(b) Je, Ben Mkapa aliyekuwa Rais na Mwenyekiti wa Cabinet wakati haya yanafanyika anaachwaje???

(c) Je, waliokuwa mawaziri na manaibu wao wote wakati haya yanatokea wanasalimikaje???

(d) Je, wale washangiliaji na wapiga meza wa bungeni, ambao waliunga mkono kila walicholetewa bungeni na kukipitisha kilivyo wanakosaje lawama???
Rais Alisema wahusika wote waliotajwa na tume washughulikiwe.

Kwa ukichaa wa lissu anaweza kusema hata madereva na wafanyakazi waliokuwa wanasafirisha mchanga huu washughulikiwe....au wananchi walioichagua CCM washughulikiwe....huu ni utoto katika kujenga hoja lakini pia unasukumwa na Usaliti na Kuhongwa.
 
USIPOTEZE MWELEKEO...
JINGALAO JIBU HOJA HIYO HAPO JUU
 
Rais Alisema wahusika wote waliotajwa na tume washughulikiwe.

Kwa ukichaa wa lissu anaweza kusema hata madereva na wafanyakazi waliokuwa wanasafirisha mchanga huu washughulikiwe....au wananchi walioichagua CCM washughulikiwe....huu ni utoto katika kujenga hoja lakini pia unasukumwa na Usaliti na Kuhongwa.
Nikuswalike... mwaka '98 wapinzani walipinga muswada wa sheria ya madini kwa kutoka nnje ya bunge kuonyesha uzalendo halisi. ni baada ya hoja zao kukataliwa na wabunge wa ccm hii iliyotufikisha hapa leo.
JE? Mh. J. POMBE ALIWEZA? wakati huo ni m'bunge je aliungana wazalendo waliopinga muswada huo kwa kuuungana nao kutoka nnje ya bunge.??
 
Yaani ndg yangu kama watanzania kwa akili zao waliweza kumpatia uraisi fisadi na mwizi hatari aliyetia hasara nchi hii jpm bac sioni ajabu pamoja na mapungufu uliyoyasema ambayo ni machache Lissu akawa raisi wa nchi hii.
Haingii akili ni mtu aliyeuza nyumba zetu kwa bei ya kutupwa hadi kufikia kuwahonga Malaya zake Mali za watanzania pamoja na kuwapa watoto wake nyumba akapewa uraisi ni Tanzania peke
Haiwezekani mtu aliye pewa jukumu LA kusimamia barabara zetu za mabilioni lakini Nyingi zimekua chini ya kiwango lkn anapewa uraisi ni Tanzania peke.
Haiwezekani mkurupukaji aliyetia hasara ya mabillioni kwa kununua kivuko kibovu na hela akatia ndani anapewa uraisi hiyo ni Tanzania peke.
Haiwezekani MTU aliyekurupuka na kuwaaminisha watanzania ktk kesi ya SAMAKI lkn Tunaingia hasara ya kulipa mamilioni apewe uraisi Bali ni Tanzania peke.
Sasa kama huyu alitenda makusudi makosa hayo yote amekuwa Raisi wa nchi hii kwanini usiwe kwa Lissu?
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Reasoning capacity yako ni ndogo sana kuweza kumwelewa Tundu Lissu ndio maana unaona kukosoa ni dhambi. Waramba miguu mna shida sana
 
Hata Pro CDM Jf!

Umemsikia Prof Safari?

Umemsikia lowassa?

nimemsikia Lowasa amepongeza na amesema kama kweli Magufuli ana nia ya dhati arudishe mchakato wa katiba mpya.

Bila katiba mpya CCM wataendelea kupitisha sheria za kulinda wezi kwa iyena-iyena.
 
Hapa Tanzania hakuna upinzani

Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Kuna shida hapo ya kuchambuaa mambo!Chote ulichoandika is not empirical analysis!
1.Lowassa eti fisadi mkubwa!Alipojiuzulu ufisadi uliisha serikalini?[HASHTAG]#nonsense[/HASHTAG] #
2.Tundu Lissu amepingana na harakati za Rais kuhusu makinikia jambo hili si kweli ,anachopinga lissu ni utaratibu ulitumika kulishughulikia jambo hili(tunaaminishwa hivyo),mikataba ndiyo mibovu na imetuibia kuliko hata hayo makinikia ambayo hata sio ya kuongelea hapa(ripoti ya kwanza yenye mapungufu makubwa).mfano huwezi kutuambia grade ya gold(,gram per tone kwa makontena 277 yenye tone 20 kila moja=5540 tonnes ni 600g/tonne na mgodi una mineable reserve ya 3.52million tonnes na grade ya gold in 2.72g/tonne!
Time will tell!
Unasemaje umeibiwa kiwango Fulani cha madini huku hujua hata quantity na grade yake kwenye mbale(ore).
Madini hayawezi kuwa na kiwango hicho hicho kila mbale(ore) due to different geological environment of formation.
Acha siasa na ukitaka kujua mambo vizuri jitoe kwenye vyama kwanza Uwe neutral na anza kufuatilia vizuri.
 
1.Muulize Tundu ufisadi wa Lowassa alitumia takriban muongo mmoja kuaminisha umma,............2. Wewe una takwimu gani kupima? kwani haiwezekani hao mabepari au 'mabwana zenu' kudanganya badala ya mchanga kuweka dhahabu? kuna ubaya ganu kukagua?..Unavyoandika yaonekana kabisa ulitaka Tundu ndiye aseme tunaibiwa,Bure kabisa.
 
Kasome kwanza historia ya Tundu Lisu ili umweelewe vizuri na hutapata shida.

Tundu Lisu ndio MTU pekee aliyebaki wa kuweza kumkosoa Magufuli hadhalani.

Lakini Wasomi wengine na Wanaharakati wameamua kugugumia kimyakimya huku wakishuhudia uvunjwaji wa wazi wa Katiba.

Acheni ujinga wa kutaka kuungwa mkono kilazima kwa makosa mliyoyafanya wenyewe.

Kwangu Mimi Tundu Lisu bado atabakia kuwa MTU wangu Bora kabisa wa Kizazi hiki. Lengo lenu mnataka Tundu Lisu asalimu amri, na akisalimu amri basi adhma yenu ya kutawala kibabe itakuwa imetimia maana mnaona ndio MTU anayewasumbua ndio maana hamuishi kumtajataja.
Hapo umepiga 100%, ndio anaongoza kumkosoa baba, wengi tuliobaki tunapiga nyuma ya keyboard. Anauwelewa wa sheria, mwanaharakati na ana ujasiri mkubwa. Wanamkebehi kwa kumuanzishia nyuzi kila siku hapa JF na baba siku hizi hotuba zake anampiga madongo kama alivyokuwa JK na bado watu wanataka kutuaminisha kuwa si lolote si chochote.
 
nimemsikia Lowasa amepongeza na amesema kama kweli Magufuli ana nia ya dhati arudishe mchakato wa katiba mpya.

Bila katiba mpya CCM wataendelea kupitisha sheria za kulinda wezi kwa iyena-iyena.
Kwa hiyo kwenye Katiba mpya ndio tutaandika kuwa Acacia waache udanganyifu?

Msilete majibu too general to answer specific issue...

Katiba ya sasa inaruhusu wizi,udanganyifu na ukwepaji kodi?
 
Kama Lissu hana sifa ya kuingia Ikulu iweje CCM wamuogope kiasi hiki!? Waruhusu katiba mpya ya rasimu ya Warioba kisha kuwe na Tume ya uchaguzi waone vile Watanzania watakavyofanya kweli kukipiga chini chama cha wahuni na mafisadi.

It is not about fear but thinking in management terms by not ignoring anything but asking a serious question like "what iff". So, all you see or hear about TL from CCM is a well calculated strategy to take precautionary measures and nip any future trouble in the bud. This is management intelligence of taking care of situations on time before they reach crisis level.
 
Kuna shida hapo ya kuchambuaa mambo!Chote ulichoandika is not empirical analysis!
1.Lowassa eti fisadi mkubwa!Alipojiuzulu ufisadi uliisha serikalini?[HASHTAG]#nonsense[/HASHTAG] #
2.Tundu Lissu amepingana na harakati za Rais kuhusu makinikia jambo hili si kweli ,anachopinga lissu ni utaratibu ulitumika kulishughulikia jambo hili(tunaaminishwa hivyo),mikataba ndiyo mibovu na imetuibia kuliko hata hayo makinikia ambayo hata sio ya kuongelea hapa(ripoti ya kwanza yenye mapungufu makubwa).mfano huwezi kutuambia grade ya gold(,gram per tone kwa makontena 277 yenye tone 20 kila moja=5540 tonnes ni 600g/tonne na mgodi una mineable reserve ya 3.52million tonnes na grade ya gold in 2.72g/tonne!
Time will tell!
Unasemaje umeibiwa kiwango Fulani cha madini huku hujua hata quantity na grade yake kwenye mbale(ore).
Madini hayawezi kuwa na kiwango hicho hicho kila mbale(ore) due to different geological environment of formation.
Acha siasa na ukitaka kujua mambo vizuri jitoe kwenye vyama kwanza Uwe neutral na anza kufuatilia vizuri.
Hizo takwimu za kiasi cha madini kwenye ore alikiweka nani?
Mna elimu lakini hamna ujasiri wa kuhoji Muzungu!!

Yaani wewe hata ukiambiwa Acacia inapata hasara kila mwaka utaamini tu kwa kuwa unakariri tu.

Time will tell!
 
Kwa hiyo kwenye Katiba mpya ndio tutaandika kuwa Acacia waache udanganyifu?

Msilete majibu too general to answer specific issue...

Katiba ya sasa inaruhusu wizi,udanganyifu na ukwepaji kodi?

Rasimu ya warioba iliainisha kabisa uwajibikaji kwa makosa wanaofanya viongozi kwa kuwashtki kuanzia marais hadi mawaziri kwa makosa wanayofanya wakiwa ktk ofisi zao ikiwepo makosa ya kusaini mikataba ya kifisadi kama hii.
Pia rasimu ilikusudia kupunguza mamlaka makubwa ya rais hasa ya uteuzi yanayompa umungu mtu unaopelekea kuingiza taifa kwenye mikataba ya kijambazi kama hii ya ACACIA iliyofanywa na CCM wezi wakubwa nyie..

Kama mwenyekiti wako wa CCM ana nia ya dhati arudishe mchakato wa katiba mpya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom