Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

Tundu Lisu , yeye anataka tusubili mpaka Chama chake kiingie ikulu(Mwaka 2999) ndiyo tuanze kufuatilia/kulinda/kutetea Madini yetu.
 
1.Muulize Tundu ufisadi wa Lowassa alitumia takriban muongo mmoja kuaminisha umma,............2. Wewe una takwimu gani kupima? kwani haiwezekani hao mabepari au 'mabwana zenu' kudanganya badala ya mchanga kuweka dhahabu? kuna ubaya ganu kukagua?..Unavyoandika yaonekana kabisa ulitaka Tundu ndiye aseme tunaibiwa,Bure kabisa.
Tundu Lissu alishasema tunaibiwa kabla hata Rais Wetu Magufuli hajaingia madarakani!Hapa sio Rais magufuli au Lissu kasema nini? Science doesn't lie and has no boundarie and countties as well?
Mikataba ina wamilikisha kila kitu!
Ili mgodi uanzishwe lazima kuwe a mineral or minerals that is commercially viable! Kwa maana nyingine a mineral that can be extracted at profit under current economic factor and technology!na si kila kitu kinakuwa extracted at profit.
Mfano ukichukua jiwe(stone) au mchanga barabarani you will find different minerals(silicon,aluminium,gold ect) sio kwamba ni economic!our gold is not a placer one that is not free kwa hiyo inakutwa ipo kwenye miamba(miamba imundwa na madini ya aina tofauti tofauti) ambayo kati hayo madini moja au mbili zinaweza kuwa economic?
Asilimia 75 ya dhahabu inachenjuliwa migodi..hayo mabaki mengine ni uchafu(after processing) kama yangekuwa na kiwango hicho tulichoambiwa yangekuwa tailing dumps?
Huwezi kumbadilisha MTU anachoamini!cha kukusaidia tafuta geological formation ya maeneo hayo itakupa picha utaanza kuelewa mambo haya.
Ukweli utabaki kuwa ukweli
 
Nikuswalike... mwaka '98 wapinzani walipinga muswada wa sheria ya madini kwa kutoka nnje ya bunge kuonyesha uzalendo halisi. ni baada ya hoja zao kukataliwa na wabunge wa ccm hii iliyotufikisha hapa leo.
JE? Mh. J. POMBE ALIWEZA? wakati huo ni m'bunge je aliungana wazalendo waliopinga muswada huo kwa kuuungana nao kutoka nnje ya bunge.??

Mkuu ukubwa wa swali na jina la uliyemuuliza mbona kubwa sana
 
Hizo takwimu za kiasi cha madini kwenye ore alikiweka nani?
Mna elimu lakini hamna ujasiri wa kuhoji Muzungu!!

Yaani wewe hata ukiambiwa Acacia inapata hasara kila mwaka utaamini tu kwa kuwa unakariri tu.

Time will tell!
Haziwekwi na mzungu! Hata wewe ukitaka unafanya kijiexperiment kidogo tu!makinikia yanatoka kwenye ore ambayo dhahabu,shaba na fedha(ambayo ni 25%,ya dhahabu yote.Hapa sasa ndo utakuta sulphur,iron ).
Shule ya miamba ni mhimu sana kuelewa inshu hii.
Kuzuia makinikia ni jambo jema.
 
meningitis: Hata darasa la saba hukumaliza halafu unataka mdahalo na Lissu, Kweli? Ujinga mwingine bwana. Ninyi CCM mnatuona sisi watanzania wajinga, eti? Leo mnasema mnawapiga marufuku akina Chenge wasisafiri nje ya nchi kwa kuuza nchi lakini hapo hapo hao akina Chenge ndio viongozi wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inakuwaje mtu aliyelihujumu
Taifa kwa kiasi hicho ndio apewe madaraka makubwa ya kuongoza chombo cha kutunga sheria za nchi? Kama sio uhuni wa CCM ni nini?

CCM wasanii tu.
 
Magu akiwa mbunge wa CCM alipiga kura ya kumfukuza Zitto bungeni. Leo anajifanya mzalendo. Akiri makosa kwanza tumwelewe na aondoke CCM kama kweli amechukizwa na kilichofanywa na chama hicho.
 
Tundu Lissu alishasema tunaibiwa kabla hata Rais Wetu Magufuli hajaingia madarakani!Hapa sio Rais magufuli au Lissu kasema nini? Science doesn't lie and has no boundarie and countties as well?
Mikataba ina wamilikisha kila kitu!
Ili mgodi uanzishwe lazima kuwe a mineral or minerals that is commercially viable! Kwa maana nyingine a mineral that can be extracted at profit under current economic factor and technology!na si kila kitu kinakuwa extracted at profit.
Mfano ukichukua jiwe(stone) au mchanga barabarani you will find different minerals(silicon,aluminium,gold ect) sio kwamba ni economic!our gold is not a placer one that is not free kwa hiyo inakutwa ipo kwenye miamba(miamba imundwa na madini ya aina tofauti tofauti) ambayo kati hayo madini moja au mbili zinaweza kuwa economic?
Asilimia 75 ya dhahabu inachenjuliwa migodi..hayo mabaki mengine ni uchafu(after processing) kama yangekuwa na kiwango hicho tulichoambiwa yangekuwa tailing dumps?
Huwezi kumbadilisha MTU anachoamini!cha kukusaidia tafuta geological formation ya maeneo hayo itakupa picha utaanza kuelewa mambo haya.
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Unataka kutuambia wewe una 'geological information' ya kweli kuliko Serikali? Prof.Mruma? tupe data zako tukuamini.
 
Magu akiwa mbunge wa CCM alipiga kura ya kumfukuza Zitto (wa Chadema enzi hizo) bungeni kwa kupinga mkataba wa madini wa buzwagi kwamba unatuibia. Leo anajifanya mzalendo. Akiri makosa kwanza tumwelewe na aondoke CCM kama kweli amechukizwa na kilichofanywa na chama hicho.
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Mh alimtusi nyerere tusi gani
 
Mleta hoja acha viroja.
-Hakuna anayezuia Edward Lowasa kukamatwa na kushughulikiwa.
-Kumuita Lowassa ni fisadi bila kumkamata, ni ufisadi wa fikra.
-TL ahukumiwe kisheria na kimkakati, si kisiasa.
-Muungano wetu hata waliouanzisha hawana furaha nao.
-Sina kumbukumbu na kitu alichosema TL, kikaonekana baadaye kuwa cha uwongo.
 
Lissu ana ndoto za mbele kama Nyerere. Amejaliwa kipaji cha kuona hatari mbele kabla ya hatari yenyewe kuja. Huyu mwingine ambaye ni dalali wa nyumba zetu za serikali hana rekodi ya kupigania maslahi ya Taifa. Labda ndio anaanza kujifunza toka kwa akina Lissu, Mnyika na wengineo.
 
Magu akiwa mbunge wa CCM alipiga kura ya kumfukuza Zitto bungeni. Leo anajifanya mzalendo. Akiri makosa kwanza tumwelewe na aondoke CCM kama kweli amechukizwa na kilichofanywa na chama hicho.
Baba wa Taifa alisema "Kosa kubwa sana ubinafsi kutoa makosa ya wengine na kuficha makosa yetu wenyewe"
CCM ndo ilikuwa hivyo kwa wapinzani.
Naona utamaduni huu uweanza kubadilika
 
Tundu Lisu ndo alitafasiri katiba ya CDM kumruhusu EL (makapi ya CCM) kugombea urais. Kuanzia siku ile, he killed the gradual growth of viable and meaningful opposition in Tz. I hate him.
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
GT......
 
Mkuu umeenda extra mile!! Tundu Antipas, pasua kichwa anawaumeni vichwa si kawaida,sio kwa povu hili asee!! Afai kuwa rais?? Kwani nani amekwambia anataka ku kugombea yani hapo ni kwamba umejaribu kuwaza tu kama upinzani watamsimamisha lisu itakuwaje??
 
Halafu wajidai kuwa wazalendo.Magufuli ajifunze kushukuru vijana jasiri kama TL aliyepuliza kipyenga tangu 1998 kuhusu utaratibu mbovu wa mikataba ya madini. Pia kijana mwingine anayepaswa kushukuriwa ni ZZK kwa kushikilia kidete hoja ya uwazi katika mikataba ya nadini.baada ya kumshukuru hapo hapo wamuombe msamaha kwa kumfukuza bungeni 2007 wakati akikaza nati za hoja Yake juu ya mikataba ya madini.Poor JMP na wenzake wa Chama Cha Makanikia (CCM) waliokalili kuwa kila wasemacho wapinzani hakina msingi.
Watu hawana shukurani ndo tatizo la Wa TZ
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Kwani Nyerere ni Mungu kiasi kwamba ukimkataa basi wewe ni muovu. Tuache kuabudu watu. Aabudiwe Mwenyezi Mungu pekee.
 
Hawezi huyu Mkuu na ndiyo sababu unajua hizi juhudi zake anazodai ni unafiki mtupu. Aanajua fika kupitia katiba mpya naye anaweza kuishia lupango maana katiba mpya na udikteta uchwara mbali mbali. Ni lazima ataishia lupango tu kumbuka kauli yake kwamba, "Katiba mpya si kipaumbele chake" Yeye nani huyu mpaka atuamuliwe Watanzania zaidi ya 50 million kuhusu kile tutakacho ndani ya nchi yetu.

kumbe wewe ni zwazwa kiasi hiki??

Rasimu ya warioba iliainisha kabisa uwajibikaji kwa makosa wanaofanya viongozi kwa kuwashtki kuanzia marais hadi mawaziri kwa makosa wanayofanya wakiwa ktk ofisi zao ikiwepo makosa ya kusaini mikataba ya kifisadi kama hii.
Pia rasimu ilikusudia kupunguza mamlaka makubwa ya rais hasa ya uteuzi yanayompa umungu mtu unaopelekea kuingiza taifa kwenye mikataba ya kijambazi kama hii ya ACACIA iliyofanywa na CCM wezi wakubwa nyie..

Kama mwenyekiti wako wa CCM ana nia ya dhati arudishe mchakato wa katiba mpya.
 
Hivi ww meningitis ni mzima kweli? Hata hiyo shule uliosoma ndivyo ulivyofundishwa kuamini nawazo yako ni sahihi kuliko ya mtu mwingine?
Kama unaamini hivyo dish limecheza
 
Back
Top Bottom