Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 ×10 ya mleta Uzi huu:
1.Kutofahamu kama duniani tuko kwenye mtihani,ima ufaulu mtihani au ushindwe,katika mtihani kuna maswali magumu,ya mafumbo,yanayobabaisha nk.
2.Katika mtihani wowote hupewi maswali yanayofanana,kama katika hisabati,utapewa ya +,-,$,℅,×,÷, nk.
3.Kutojitambuwa kama ameumbwa,kila unachoona popote pale,ujuwe yupo aliyesababisha kuwepo hapo,ukiona unyao wa simba ujuwe haukufanyika wenyewe,yupo simba kapita.
4.Kujitia wasiwasi kwa mleta mada kama yeye ni binadamu kaumbwa au kazuka tu.
5.Kutofahamu mleta mada,kama shetani,aliomba kwa Mungu,afanye hayo anayofanya,kwa hiyo akawekwa kuwa ni mtihani miongoni mwa mitihani.Ukimfuata shetani umefeli.
6.Yote haya fanya 5×10 ×2
 
CHAMITON,

Maswali mazuri sana.

Tujadili swali kwa swali.

La kwanza:
Job 47:16, Psalm 239:2-4, 147:5, Proverbs 5:21, Isaiah 46:9-10, 1 John 3:19-20, etc zina support kuwa Mungu anajua KILA KITU; kilichokuwa, kilichopo and kitakachokuwa. So ni kweli kabisa, ALIJUA kuwa njemba itaasi and kuleta sheeda kwetu duniani. I agree.

Kwa nini alimuumba despite kujua hili?

Jibu lake:
Ili mpango wake juu ya binadamu utimie.

Ila unazaa swali lingine hapo: Mpango wake juu ya binadamu ni nini? Bila kujua hili sidhani kama utaweza elewa why He did what he did, create the devil.

So probably ili kupata jibu kamilifu la swali la kwanza inabidi kujiuliza mpango WA Mungu ni nini? Angalizo: Sidhani Kama tunaweza jibu kikamilifu hapa maana akili zetu na zake ni kama ... (Isaiah 55:8-9)
Kumbuka alisema " natazama vyote alivyoumba nivyema navyakupendeza sasa mashetan namachukizo yatoka wap
 
nimecheka sana! kwamba mwanzo wa ngoma ni lele? jamaa kahamia kwa muumba sasa
Yaan mkuu we acha tu, yaan mtu yupo bize kabisa anamkosoa sir God, yaan anamaanisha kwamba sir God uwezo wake ni mdogo kwa hiyo akaona amrekebishe.
 
Did you ever try to ask yourself what is the biological significant of eyebrows in the human body?

Or did you ever try to brainstorm yourself why women are mostly attractive and more beautiful than men?
Eyebrows are there to protect salty sweat of the head from entering eyes and contaminate them....Men sees women are attractive because they posses some features they dont have, like big breasts and hips...those features attract men to women so as to procreate a baby.
 
Kumbuka alisema " natazama vyote alivyoumba nivyema navyakupendeza sasa mashetan namachukizo yatoka wap

Shetani aliumbwa mzuri and mkamilifu and with utashi WA kuamua, sio robot.

Akaamua kuasi, akatimuliwa mbinguni (not sure where that is). Ndipo "mashetani " talipoanzia...
 
Still confused, but may be satan is Gog's work tool.

Labda kwa kuwa hujaelewa au kuona "the bigger picture" : Mpango WA Mungu; omnipotence ya Mungu, uungu (not sure if this is actually a word...) WA Mungu. In this context, why shetani yupo is understandable, out of that context ni ngumu and hence possibly the "confusion" you cite
 
Vyote alivyofanya Mwenyezi Mungu ni Vyema.
Makosa unayaona ni makosa yamesababishwa na wanadamu/yametumika/yalitumika,yanaendelea na yataendelea ili tu baadhi ya binadamu wawe juu ya wenzao.

Ni mgumu sana kwa binadamu wa kawaida kutumia walau 1/32 ya uwezo wake kuhoji Uungu (his/her original or the Universe).

Kuhoji uhalali au makosa ya hadithi za kufikirika ambazo ili uamini lazima uwe na Imani /imaginations za kiasi ya 1/16 ya uwezo wa ubongo ,kitu ambacho ni kigumu kwa kizazi hiki.

Kwa ufupi ni kuwa ili uelewe Mwenyezi Mungu hakuna kosa alilolifanya katika uumbaji chukulia mfano wa viumbe vinavyoishi ambavyo wewe binadamu kila siku unavila,hiyo ruhusa nani kakupa?

Unless utuambie wewe ni Rastafarian, ambao na wenyewe bado wana give thanks and bless to Lod/Jah of creation.

Next time you need to make an appointment with his Majestic so that He teach you how to stand on stance.

The Almight God is Our everything,each and everything pass but he is still there forever and always will be there for you and all you know and Don't know.
 
Eyebrows are there to protect salty sweat of the head from entering eyes and contaminate them....Men sees women are attractive because they posses some features they dont have, like big breasts and hips...those features attract men to women so as to procreate a baby.
Since your point of view has no biological facts my point about male nipples stands forth respectively.
 
Mbinu za shetani kutaka kuonesha kwamba Mungu hatendi haki.

Ila amini usiamini MUNGU yupo jana leo daima na hajawahi kukosea
 
Since your point of view has no biological facts my point about male nipples stands forth respectively.
Stop mental murmuring, visit encyclopedia and fetch biological fact there...hurry up guy.
 
Mungu hayupo. Hayo mengine hadithi na uzushi.

pamoja mkuu kiranga. ila swali ni je hivi wachawi wapo? hizi imani za kishirikina zipoje wakuu. maana kuna mama mmoja ni mganga wa jadi. nilikwenda kwake nikamwambia nataka kuacha pombe. kabla ya kunipa dawa akasema amenipima ameona nimerogwa na kuanza kueleza maisha yangu ya nyuma mfano mikoa niliyoishi, ndugu, matembezi nk. je alijuaje?? ingawa sikujali sana hayo mwisho alinipa dawa ya miti unachemsha unakunywa basi sijanywa tena pombe tangu siku ile nilishaacha.
kinisumbuacho ni je ni uchawi au uganga wa majini au Mungu??? ufafanuzi kama unaelimu hii bwana kiranga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom