Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mungu huwa hakosei kila kitu kinachotokea kina sababu

Hata farao aliwekwa kwa kusud la Mungu; farao alikua mtumishi wa Mungu ili audhihirishe ukuu wake

Rumi 9:17

Kwa maana maandiko yasema juu ya Farao; ya kwamba; Nilikusimamisha kwa kusudi hili; ili nionyeshe nguvu zangu kwako; jina langu litangazwe ktk nchi yote

18 Basi; kama ni hivyo; atakaye kumrehemu humrehemu; na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.

Daniel 4:35........; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake; wala kumwuliza; Unafanya nini wewe?

Mungu atusamehe hatujui tutendalo
 
Ndiyo imeandikwa kwa mafumbo, kwanini isingeandikwa kwa lugha nyepesi...ili ieleweke???...mbona silabasi zinaandikwa kwa lugha nepesi na watu wanapata degree???
1 Corinthians 2
12 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.

13 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

14 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
 
Apart from other relevant biological functions what i know about male nipples is Without Nipples the Male Chest Looks Strange. The nipples provide a focus point for the male chest. They direct the eye to the curve of the pectoral muscle.

God needed to make difference between the two of us so we ulitaka wote tunyonyeshe napo ungetaka sababu?
That's your thoughts with no scientific proofs...who am i to live under your mind???
 
Kuliko kumdhihaki haifai ni bora mwenye uelewa akamuelewesha ili ajirudi na kuamini muumba alietuumba na kuumba kila kilichomo humu duniani.
Ingawa binadam ni kiumbe dhaifu sana lakini hakipendi kujaribiwa hivyo tusimjaribu aliyekamilika na asiye na chembe ya udhaifu yaani mungu!
Kwa kukuelewesha kwanza moja amini mungu yupo usitie kiburi
Sababu hujui ulipotoka kabla hujazaliwa hujui pia utakufa saa ngapi hvyo usijitie kujua sana kula kitu!
Mungu hafanyi kitu kimakosa wala sifa ya kuumba kasoro isipokuwa anafanya hivyo kwa kutujaribu na anajua nani atafeli na atafaulu

Kikubwa omba yasikute
 
Mungu atakusamehe kwani yeye ni mkarimu na mwenye huruma.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he didi..sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Hizo pumzi unazolingia idadi yake huijui mkuu ila zina mwisho na mwisho wa hizo pumzi ndiyo utayapata majibu ya maswali uliyouliza..nyuma ya keyboard hata uelekezwe vp utabishana tu kwani ubongo wako ushajipanga kubishana.Ila neno moja tu ni kwamba dhihaki vyote mkuu ila si Mungu muumbaji..ANATISHA..kuna watu walikuwa na jeuri zaidi yako na walimiliki majeshi na Leo tumebaki kuwasoma kwenye vitabu tu..
 
Interesting thought.

Nope. Hafanyi yanayompendeza Mungu or aliyotumwa na Mungu therefore sio mtumishi wake.

Ila, katika hali yake ya "ushetani " Mungu anamtumia ili kukamilisha mpango wake juu yetu, mpango uliokuwepo toka mwanzo, kabla ya shetani
Still confused, but may be satan is Gog's work tool.
 
Ndg Yapo ya kuzihaki lkn sio linalomuhusu MUNGU kwani hata hiyo nguvu ulioitumia kuanddika ulichokiandika imetokana na NEEMA ZAKE KWAKO.
 
Hizo pumzi unazolingia idadi yake huijui mkuu ila zina mwisho na mwisho wa hizo pumzi ndiyo utayapata majibu ya maswali uliyouliza..nyuma ya keyboard hata uelekezwe vp utabishana tu kwani ubongo wako ushajipanga kubishana.Ila neno moja tu ni kwamba dhihaki vyote mkuu ila si Mungu muumbaji..ANATISHA..kuna watu walikuwa na jeuri zaidi yako na walimiliki majeshi na Leo tumebaki kuwasoma kwenye vitabu tu..
Nahiyaji kuelewa sina ugomvi na Mungu, wala sishindani naye...kuhusu watu jeuri, hata waliokuwa wema walikufa na tunawasoma kwenye vitabu pia.
 
Amna nimeuliza maswali tu...hope he wont get angry over my honest simple questions???
yah hope he wont though your questions have senses if examined thoroughly. I consider HIM like current leadership as we are free to reason without vocalizing. Tundulisu knows
 
Ndg Yapo ya kuzihaki lkn sio linalomuhusu MUNGU kwani hata hiyo nguvu ulioitumia kuanddika ulichokiandika imetokana na NEEMA ZAKE KWAKO.
Kila baada ya aya kuna alama ya kuuliza...yale ni maswali siyo dhihaka.
 
TENA UNATAKIWA UTUBU KABLA YA, MANA UFALME WA MUNGU UTAUSIKIA KWENYE BOMBA TU.NI RAHISI NGAMIA KUPENYE KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO MTU MWENYE DHAMBI KUURISI UFLAME WA MUNGU.
 
Isaya 55:7-9
[7]Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
[8]Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
[9]Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
 
Vipi hii tafsiri ya

Matthew 2:

29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

30 Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
Hii nayo ngumu kumeza kwanin mungu katuwekea ugum namna kweny pepo zake
 
Shetani alikuwa ktk kundi la malaika baada ya kuasi ndo akawa shetani,na ww naona umehasi,tubu kwa jina la mola wako
Nan aliumba huo uovu ambao huyo malaika aliufata hapa pana shaka kwakua mungu aliumba vyote na akaona yakua nivema
 
Kwenda kwangu mbinguni hakutegemei kauli yako ila kauli ya yule aliemwaga Damu yake kwa ajili yangu ili nifike mbinguni
samahani,angalia swali uliloulizwa hapo,naona kama umekosea kujibu,sio wewe bali n shetan
 
That's your thoughts with no scientific proofs...who am i to live under your mind???
Did you ever try to ask yourself what is the biological significant of eyebrows in the human body?

Or did you ever try to brainstorm yourself why women are mostly attractive and more beautiful than men?
 
Back
Top Bottom