Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

"Suala la uwepo wa Mungu ni jambo la imani"

Hilo ndio la msingi ambalo ndio nilitaka niliweke sawa,basi ni hivyo tu.
Umekurupuka.

Ndiyo maana unashindwa kujibu swali hili.

"Unajuaje kwamba sijaondoa mjadala huu kwenye suala la imani ili kuwapa nafasi ya faragha yao wanaotaka kuamini tu, bila mjadala? "

Na sasa unahamisha magoli.
 
Hayo ya James L Kugel,je wewe ya kwako ni yapi baada ya kusoma maelezo yake?

Unajua kusoma? Huwezi kusoma nilichoandika hapa?

Umejiuliza kulikuwa na haja gani ya kukaa na kutunga maelezo yote yale na kuyaweka kwenye kitabu(biblia)?

Haja ilikuwepo kwa sababu Biblia inasemwa ni neno la Mungu, wakati huo ni uongo.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
 
Umekurupuka.

Ndiyo maana unashindwa kujibu swali hili.

"Unajuaje kwamba sijaondoa mjadala huu kwenye suala la imani ili kuwapa nafasi ya faragha yao wanaotaka kuamini tu, bila mjadala? "

Na sasa unahamisha magoli.
Unapenda ubishi halafu ubishi wenyewe hauwezi,yani wewe hata ukimuuliza mtu jina lake nani na asipokujibu utang'ang'ania kuumuuliza huku ukidhani hajui jina lake na ndiyo maana hawezi kujibu.

Nimeanza kwa kueleza kuwa suala la uwepo wa Mungu ni imani,ila sasa hivi unaniambia naamisha magoli, yani sijui hata kama unajua maana ya kuamisha magoli!!

Mi nakwambia unaondoa hili suala kwenye jambo la imani,wewe unakuja kuuliza "unajuaje kwamba sijaondoa huu mjadala kwenye suala la imani ili kuwapa nafasi ya faragha yao wanaotaka kuamini tu,bila mjadala?"
 
Unajua kusoma? Huwezi kusoma nilichoandika hapa?

Haja ilikuwepo kwa sababu Biblia inasemwa ni neno la Mungu, wakati huo ni uongo.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Umenielewa kweli? Nimekuuliza kulikuwa na haja gani ya kutunga kwa kuandika maelezo yote yale yaliyo kwenye kitabu cha biblia?

Kwa sababu sioni haja kutunga maelezo yote yale ili tu waseme ni maneno ya Mungu,kwako wewe linaingia akilini jambo hilo? Ndio maana nikakuuliza baada ya kumsoma huyo sijui James,je maelezo yako wewe ni yapi?
 
Akaishia hapo hapo kwa James
 
Logical non sequitur that contradicts God's omni benevolence and freewill.

Najua hujaelewa hoja, sitegemei uweze kuijibu.

Kiranga, hoja zako za kumkanusha Mungu ni nyepesi mno ndiyo maana unatakiwa "u have to exercise and fine tune your intellect".

Nikikuangalia, japo sikuoni!!, unaonekana ni mtu mwenye jazba iliyoziba uelewa wako kutokana na "preconceived mind set" kwamba Mungu hayupo.

Sisi sote hapa duniani hatuna hiyari ya kumpangia Mungu kwa sababu hatukuja kwa amri yetu kwa minajili hiyo tunatakiwa kutafakari hekima (philosophy) ya uumbaji na matukio yote yanayotukabili hapa duniani, hivyo jambo la kwanza kabisa ni kutafuta HEKIMA YA SISI KUWEPO DUNIANI BILA HIYARI YETU baada ya kupata majibu ndipo hatua nyingine ifuate na siyo kupinga tu "blindly" kwa tamaa za ufahamu wako finyu juu ya mambo ya kimbingu na mbaya zaidi unataka kupotosha UMMA kwamba Mungu hayupo!!.

Hivi sasa umeumbwa na upo katika hali hiyo je, kama ungeweza kujiumba mwenyewe ingekuaje ??
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hilo ndilo suala la msingi
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hilo ndilo suala la msingi

Shida yako unataka uthibitishiwe kuwa Mungu yupo katika njia unayoitaka wewe (preconceived way). Mtu akikuthibitishia kinyume cha hivyo unavyotaka unashindwa kumuelewa/hutaki kumuelewa.

Na jambo la muhimu ni kwamba thibitisha wewe mwenyewe umetoka wapi? na baada ya hapo ndipo uulize mambo mengine kama yanayohusu uwepo wa Mungu nk.

Au ulitaka umuone Mungu akiwa na ofisi yake amekaa kitini na juu ya meza kuna mafaili mbalimbali, pembeni kukiwa Mihuri, kompyuta,simu ya mezani,jokofu lililojaa vinywaji baridi na meza ndogo juu yake kuna chupa ya chai nk, hapo ndipo ungeamini kuwa YEYE yupo!!!??. A Very, very absurd notion.
 
Hujathibitisha Mungu yupo kwa njia yoyote
 
Tatizo ni binadamu kutofata maagizo yake, tangu shetani ahasi kwanzia apo binadam amepewa uwezo wa kuchagua mema au mabaya, hicho ndo kinachosababisha haya yote
 
Back
Top Bottom