Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Nilitambua tu lazima utapiga chenga/utakwepa,
Naomba nisaidie swali namba Moja tu,
Hivi mkuu hiyo namba moja ni swali kweli? nikikwambia uelezee kilichoulizwa kwenye namba moja utaweza?

Watu tunapotaka kuweka sawa hii mijadala ili iwe yenye tija tunaonekana tunapiga chenga,ndiyo maana kila siku tunaishia kuulizana maswali tu hapa na hakuna kipya katika hizi mada.
 
Nishakung'amua Mapema na ndio Maana Mr .Charmilton kakupuuza,
Wewe Mara nyingi hujibu/hutoi Maelezo Juu ya kile unachopaswa kukitolea maelezo.
Unachofanya Wewe ni kurukaruka kama Ndege anayedonoa Mtama.

Naomba unitolee ufafanuzi kwa hili unaamini Mungu alimuumba Shetani,
 
Kumbe ni wale wale tu nilidhani labda wewe ni tofauti.

OK kwa kifupi mungu hajaumba shetani ila baada ya ibilisi kuasi ndipo alipoitwa shetani na si kwamba mungu aliumba kiumbe ambacho ni shetani.
 
Nami nimerudi hapa.
Wanaoamini wanasema mungu hujua nini tunachowaza na nini kitatokea. Kama alimuumba ibilisi ina maana alijua ibilisi atakuwa shetani, sasa kwanini alimuumba huyo ibilisi wakati kabisa alijua atakuwa shetani?
 
Magu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!

Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
Aisee umesema kweli kabisa, ujue huyu jamaa anakufuru, kweli Mungu ana rehema sana pamoja na matusi yote aliyomtukana Mungu bado anampa pumzi anapumua.

Hapo ndo ujuwe kwamba Mungu siyo mwanadamu, kama angelikuwa sizonje angeshamkatilia mbali kabisa.
 
Kwahiyo we unaijua idadi ya watu wote iliyokuwako toka enzi za abraham mpaka leo..hujui kwamba ahadi zake ni za milele na kwamba hazina mwisho umeona watoto wameacha kuzaliwa au
Na zile mimba walizozichoropoa tangu kuumbwa kwa dunia hii ni ngapi, na zile punyeto tunazopiga kila siku au ajui kuwa ukipiga punyeto unatupa watoto.
Nadhani huyu jamaa anahitaji rehema za mungu, atubu atasamehewa Mungu ni wa huruma sana.
 
Nami nimerudi hapa.
Wanaoamini wanasema mungu hujua nini tunachowaza na nini kitatokea. Kama alimuumba ibilisi ina maana alijua ibilisi atakuwa shetani, sasa kwanini alimuumba huyo ibilisi wakati kabisa alijua atakuwa shetani?
Msingi wa swali lako ni nini? maana najua unaweza ukauliza maswali hata mia lakini lazima tujue msingi wa hayo maswali.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Ili uweze kuelewa inahitaji kipindi cha zaidi siku 10 yaani kila ulilolitaja kosa siku yake huwezi kuelewa humu kirahisi.
Mimi sikulaumu kwa kuwa unataka kuelewa ila maarifa uliyofundishwa yamekuchanganya.
Kwanza Mungu hajamuahidi mwanadamu safari salama bali kamuahidi kufika salama hivyo unadhani majanga yatakosa maishani.
Pia hadi sasa tunaishi kwa theory kama tatu yaani How a human being come alive, by evolution or revolution.
Ningejua mahali uliposimamia ktk theory za uwepo wa viumbe hai tungeenda sawa.
Pia kama una elimu kiasi ktk sayansi ya biolojia ni rahisi kuelewa.
Unajiona wewe ni mfano wa Mungu unajuaje kama kuna wanyama wengine wanaamini wao ndiyo Image ya Mungu na si mwanadamu. Tunaishi kwa imani.
Utasoma sana ila huwezi kuwa na elimu ukawazidi mamajusi wa enzi za yesu.
Lakini nakupongeza mno maana kwa maswali yako hayo chokonozi wewe ni bonge la mwanafunzi. Mungu aendelee kukuchokonoa hivyo utakuwa mwalimu mzuri wa wengine.
Principle ya sayansi ni kumwezesha mwingine kufanya ulichofanya, yesu alipovunja law of floation ktk fizikia akatembea juu ya maji Petro naye akatamani akafanya vivyohivyo then akavunja law fulani akazama. Mungu ataendelea kuwa Mungu. Mubarikiwe wote.
 
Nami nimerudi hapa.
Wanaoamini wanasema mungu hujua nini tunachowaza na nini kitatokea. Kama alimuumba ibilisi ina maana alijua ibilisi atakuwa shetani, sasa kwanini alimuumba huyo ibilisi wakati kabisa alijua atakuwa shetani?
Ukijibiwa hili swali kwa ufasaha na wewe ukarizika na jibu, tafadhali nijulishe.
 
Ili uweze kuelewa inahitaji kipindi cha zaidi siku 10 yaani kila ulilolitaja kosa siku yake huwezi kuelewa humu kirahisi.
Mimi sikulaumu kwa kuwa unataka kuelewa ila maarifa uliyofundishwa yamekuchanganya.
Kwanza Mungu hajamuahidi mwanadamu safari salama bali kamuahidi kufika salama hivyo unadhani majanga yatakosa maishani.
Pia hadi sasa tunaishi kwa theory kama tatu yaani How a human being come alive, by evolution or revolution.
Ningejua mahali uliposimamia ktk theory za uwepo wa viumbe hai tungeenda sawa.
Pia kama una elimu kiasi ktk sayansi ya biolojia ni rahisi kuelewa.
Unajiona wewe ni mfano wa Mungu unajuaje kama kuna wanyama wengine wanaamini wao ndiyo Image ya Mungu na si mwanadamu. Tunaishi kwa imani.
Utasoma sana ila huwezi kuwa na elimu ukawazidi mamajusi wa enzi za yesu.
Lakini nakupongeza mno maana kwa maswali yako hayo chokonozi wewe ni bonge la mwanafunzi. Mungu aendelee kukuchokonoa hivyo utakuwa mwalimu mzuri wa wengine.
Principle ya sayansi ni kumwezesha mwingine kufanya ulichofanya, yesu alipovunja law of floation ktk fizikia akatembea juu ya maji Petro naye akatamani akafanya vivyohivyo then akavunja law fulani akazama. Mungu ataendelea kuwa Mungu. Mubarikiwe wote.
Mkuu hebu dadavua hiyo theory ya revolution inavyoeleza chanzo cha mtu.

Kama Mungu hakuahidi safari salama bali kufika salama, je ni watu wangapi walioanza safari Misri na kufika Kanani?

Unaposema mambo niliyofundishwa yamenichanganya, je ni mambo gani hayo na ni nani aliyenifundisha?

Hivi wale mamajusi waliokwenda kumsabahi Yesu ndio walikuwa standard references ya uelewa?
 
Na zile mimba walizozichoropoa tangu kuumbwa kwa dunia hii ni ngapi, na zile punyeto tunazopiga kila siku au ajui kuwa ukipiga punyeto unatupa watoto.
Nadhani huyu jamaa anahitaji rehema za mungu, atubu atasamehewa Mungu ni wa huruma sana.
Kwa hii post yako ni aidha hujui Biology au ulisoma kwa kurashia rashia tu.

Yaani sperm cells ndo unasema ni watoto? unajua kama zinaweza kutoka hata bila kujichua wala kujamiana?

Sina shida na rehema za Mungu, bali nahitaji majibu ya haya maswali........Ungejibu hata moja kwa ufasaha ningeshukuru sana.
 
Uelewa unaokua nao ndiyo stimulant ya wewe kutaka kuhoji kujua na mengine sasa huwezi kuuliza hayo uliyouliza from no where ni ngumu. Maarifa upatayo popote lazima yakujongeze kupata maarifa mengine iwe kisiasa, kiroho, kiuchumi ama vyovyote iwavyo.
Nimesema awali kuwa discussion ya haya mkuu huwezi kuifanyia humu kwa writing hz tukaelewana.
Kwani wewe ulijuaje kwamba kuna Mungu?, au ulijuaje kuwa shetani yupo?, Au utofauti wa maumbile ya watu uliyajuaje rangi, urefu, unene na mengineyo. Ni wazi ulijifunza mahali, ndiyo mwanzo wa maarifa.
Lakini ndani ya elimu kuna imani ndiyo maana zikawepo sala na ibada si kwa waabuduo Mungu ama shetani Kote kuna sala na ibada.
 
Usimlaumu kwa kuwa elimu siyo sare hadi kila mtu awe sawa na mwingine. Ameelezea alipofikia kadri ya upeo wake yaani unavyomshangaa kwa maelezo yake ndivyo na wewe wengine wanavyokushangaa. Duniani ni kuvumiliana. Haahahaaahaaa.
 
They say There is power in the darkness and you did the best to find it. But you are on their trap trust me those are not human being thoughts bt they talk by using your mind. Free ideas free masons. The mind has a limit capacity of thinking when it comes to God and when you cross the line you are no longer a believer bt the Illuminati agent
 
Uelewa unaokua nao ndiyo stimulant ya wewe kutaka kuhoji kujua na mengine sasa huwezi kuuliza hayo uliyouliza from no where ni ngumu. Maarifa upatayo popote lazima yakujongeze kupata maarifa mengine iwe kisiasa, kiroho, kiuchumi ama vyovyote iwavyo.
Nimesema awali kuwa discussion ya haya mkuu huwezi kuifanyia humu kwa writing hz tukaelewana.
Kwani wewe ulijuaje kwamba kuna Mungu?, au ulijuaje kuwa shetani yupo?, Au utofauti wa maumbile ya watu uliyajuaje rangi, urefu, unene na mengineyo. Ni wazi ulijifunza mahali, ndiyo mwanzo wa maarifa.
Lakini ndani ya elimu kuna imani ndiyo maana zikawepo sala na ibada si kwa waabuduo Mungu ama shetani Kote kuna sala na ibada.
Mkuu mbona haya maswali ni fikra za kawaida sana?

Mimi huwa sikubali CHOCHOTE bila kuhoji. Lazima niangalie pande zote za sarafu halafu nitafute mantiki ya mlolongo mzima.
Kitu kingine, jaribu kuchota maana zilizofichika kwenye maandishi yoyote unayosoma.........Kuhusu huyo jamaa wa Biology, kama hujui kitu siyo kosa. Lakini kueleza kitu kiuongo kana kwamba ndio ukweli ni kosa.
 
Sijakatalia kuhoji kwako nami najua errors zilizo ktk andishi lake ila siwezi kumjaji direct maana najua ndipo alipofikia.
Uko sahihi ila utambue kuwa unapoangalia angani huwezi ona mwisho wa anga, unapodhani ndiyo mwisho wa anga ndiyo mwisho wa upeo wako wa macho .Hata ktk elimu zote ni hivyohivyo.
Mungu anajua mawazo yetu, ndiyo maana aliwachanganya wajenzi wa mnara kwani alijua waendako. Thinking beyond the limit is better than thinking below the normal.
Utafikia hatua uteelewa ila pia usiwahukumu wasiojua hata kama wao wanakuhukumu tofauti. Sifa ya mtu mwenye uwezo kiakili hakasiriki ktk mijadala.
 
Ukijibiwa hili swali kwa ufasaha na wewe ukarizika na jibu, tafadhali nijulishe.
Hadi sasa hakuna aliyethubutu kujibu, wanarukaruka tu na kuleta uoga waliopandikizwa na vitabu vilivyoandaliza na watu wa magharibi na mashariki ya kati.
 
Sijakatalia kuhoji kwako nami najua errors zilizo ktk andishi lake ila siwezi kumjaji direct maana najua ndipo alipofikia.
Uko sahihi ila utambue kuwa unapoangalia angani huwezi ona mwisho wa anga, unapodhani ndiyo mwisho wa anga ndiyo mwisho wa upeo wako wa macho .Hata ktk elimu zote ni hivyohivyo.
Mungu anajua mawazo yetu, ndiyo maana aliwachanganya wajenzi wa mnara kwani alijua waendako. Thinking beyond the limit is better than thinking below the normal.
Utafikia hatua uteelewa ila pia usiwahukumu wasiojua hata kama wao wanakuhukumu tofauti. Sifa ya mtu mwenye uwezo kiakili hakasiriki ktk mijadala.
Labda tone ninayochapisha nayo ndo inaonekana ya hasira lakini mie sipo hivyo.
Pili nakubaliana na wewe kuwa hakuna mtu[nikiwemo mimi] mwenye kujua kila kitu na ndo maana tunajifunza kila siku.

Tatu, tujadili mada husika na siyo kutoka nje ya mada.
 
Rejea post ya kwanza nilichoandika. Hii mada humu haiwezi kujadilika kwa mapana vizuri. Needs a variety of time and references that can't be well attached here.
Una hoja Nzuri elewa kuwa nimeipenda lakn not affordable to be answered in this way.
 
Back
Top Bottom