Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Umetumwa nini
umetumwa niniKama Mungu aliumba imperfections, basi avumilie madhara ya hizo imperfections.
Kitu kingine, kungekuwepo ubaya gani kama watu wote wangekuwa 'perfect'
Je Mungu ni mkamilifu au lah!.....weka ushahidi wa jibu lako.
1.KUMUUMBA SHETANI: Mungu hakumuumba shetani alimuumba Malaika Lucifer ambaye kwa tamaa zake aliasi (akawa ibilisi yaani mwasi)1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Bora ucheke uachane na mambo ya kumchallenge MunguDah! hii proposition yako imenifanya nicheke sana.
Tunatakiwa kuhoji na kuuliza kila kilicho kwenye fikra zetu.Bora ucheke uachane na mambo ya kumchallenge Mungu
1.Kwahiyo wakati anamuumba Lucifer hakujua kuwa atakuja kuasi na kuwa Shetani? Kama alijua, kwanini alimuumba?.....hiyo tamaa iliyomuingia Lucifer ilitoka wapi?.....Kwanini tamaa imuinge Lucifer?1.KUMUUMBA SHETANI: Mungu hakumuumba shetani alimuumba Malaika Lucifer ambaye kwa tamaa zake aliasi (akawa ibilisi yaani mwasi)
2.KUISHI MAFICHONI: Yehova Mungu haishi mafichoni anaishi Mbinguni wala hajifichi malaika wa Mbinguni wanamwona.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU: Alikuwa ana-flush takataka (wenye dhambi wakaidi) sawa na ku-flush choo.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI: Hata leo ukiabudu sanamu ukamwacha Yehova utavamiwa sanasana na shetani.
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM: Ahadi imetimia walokole wote kiroho ni wana wa Ibrahimu baba wa imani.
N.k., n.k., n.k.
Kungekuwa na ubaya gani kama watu wore wangekuwa "perfect"?(quoted)Kama Mungu aliumba imperfections, basi avumilie madhara ya hizo imperfections.
Kitu kingine, kungekuwepo ubaya gani kama watu wote wangekuwa 'perfect'
Je Mungu ni mkamilifu au lah!.....weka ushahidi wa jibu lako.
Labda nikurahisishie swali.Kungekuwa na ubaya gani kama watu wore wangekuwa "perfect"?(quoted)
Watu wore kuwa perfect maana yake:-
1) wote wawe wanawake au wanaume,kutegemea jinsia IPI ingekuwa" perfect"?
Sijakuelewa pengine unifafanulie maana ya" perfect "
Mwingine angesema kuwa mwanaume sio u perfect and vice versa.
Sayari hii haiko" perfect "kwa sababu haikutakiwa iwe na milima na mabonde iltakiwa I we level moja tu hats maji hakuna kutembeaLabda nikurahisishie swali.
Je sayari Dunia ni perfect au siyo perfect?
Sasa kama Mungu ni mkamilifu, kwa nini aumbe imperfections?Sayari hii haiko" perfect "kwa sababu haikutakiwa iwe na milima na mabonde iltakiwa I we level moja tu hats maji hakuna kutembea
Joto lilitakiwa 37°C tu dunia Nzima ili hata upepo usivume kabisa .
Maana yake MTU akijamba harufu ibaki pale pale.
We nawe ni kama kambulula tu.Mungu amekusikia,atakupa unachokitaka,unamfananisha na Joseph konyi!!!!!!,namuomba Mungu akufanye chochote kutokana na dharau zako,
Muda mwingi "kwanini hivi kwanini vile?"We nawe ni kama kambulula tu.
Kama huyo Mungu angekuwa anawasikiliza na kuwajibu, kwanini msimuombe atamatishe mgogoro wa mashariki ya kati?
Kwanini msimuombe awape wasomali na wasyria amani?
Kwa nini usimuombe aondoe majanga asilia huku Duniani?
Msimamo wako ni upi na ni njia ipi unayotumia kuthibitisha msimamo wako?Muda mwingi "kwanini hivi kwanini vile?"
Yani muda wote kuna jadiliwa kama mungu angekuwepo ila sioni maswali ya kama mungu hayupo kujadiliwa,kumbuka kuna watu msimamo wao hawasemi kuwa mungu yupo au hayupo. Sasa ukisema mungu hayupo huo ni msimamo wako ambao nao unapaswa kujadiliwa ili tuone kama kweli unaendana na uhalisia,ila kibaya muda nwingi mmekuwa watu wa kuuliza maswali nyie tu Mara hivyi Mara mbona vile.
Njia hiyo hathibitishi msimamo wenu,na ndiyo maana huu hauishi.
CHARMILTON Nikuulize swali kama wewe ungekuwa mungu muumba, sayari dunia ungeiwekea milima na mabonde?Sasa kama Mungu ni mkamilifu, kwa nini aumbe imperfections?
Nini sababu na faida ya kuwepo kwa majanga asilia hapa Duniani?
Ukishaujua msimamo wangu halafu ndiyo iweje? unataka uanze kunipiga maswali kama kawaida?Msimamo wako ni upi na ni njia ipi unayotumia kuthibitisha msimamo wako?
Ndio kusema umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza kwenye post namba 1092?CHARMILTON Nikuulize swali kama wewe ungekuwa mungu muumba, sayari dunia ungeiwekea milima na mabonde?
Kama ndiyo. Kwa nini?
Kama siyo. Kwa nini?
Express your desire freely