mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
sifa kuu ya mungu huwa asemagi uongo wala hakoseagiHizo ni tabia za mwanaume wa kiafrika ambaye hajastaarabika vya kutosha.Kwa hiyo una maana kwamba Mungu ni primitive kiasi hicho?
sifa kuu ya mungu huwa asemagi uongo wala hakoseagiHizo ni tabia za mwanaume wa kiafrika ambaye hajastaarabika vya kutosha.Kwa hiyo una maana kwamba Mungu ni primitive kiasi hicho?
Wewe ni wa AJABU SANA kwasababu hautaweza kumjua MUNGU kwa matendo kama unavyofikiri.Kama wewe umeshamjua Mungu kwa umbo kwamba ni Roho,....Kwa nini unaniona wa ajabu nitakapo kumjua Mungu kimatendo?....Nataka kujua kwa nini afanye hayo matendo yenye kuumiza watu.
GOD is eternal spirit = infinite mind.Umejuwaje kwamba hatuwezi kumjua Mungu kwa matendo?
Mimi nimeuliza maswali yanayonitatiza, wewe unasema Mungu aturehemu.Ina maana Mungu hapendi kuulizwa maswali?DUUUUH INASIKITISHA LEO WATU WANAMKOSOA MUNGU DAAH KWELII MWSHO UMEFKA CJAWAHII KUKAA KUWAZA KUNA SIKU MTU ATAKAA ATYPE KITU AMKOSOE MUNGU CJAWAHI ILA LEO NMEONA MPK NASHANGAAA MUNGU TUREHEMU
SIJUIMimi nimeuliza maswali yanayonitatiza, wewe unasema Mungu aturehemu.Ina maana Mungu hapendi kuulizwa maswali?
Wewe ni muumini wa dini gani?Mada kama hizi haziitaji waumini wa dini kuchangia bali wachamungu waliobobea katika vitabu vyao, mpaka sasa sijaona aliyepangua hoja moja baada ya nyingine kwa maandiko hasa.
Ni mihemko tu na kujifanya mnamuonea huruma mtoa mada.
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Mkuu kama watu wangekuwa wana approach maisha kwa akili kama unavyofanya, hakika tungekuwa mbali sana kimaendeleo.....Yaani hapa hakuna aliyenipa majibu ya kueleweka zaidi ya mihemko, kulaani, kuhukumu pamoja na kunionea huruma kana kwamba ndio sababu zilizonifanya nianzishe uzi.Mada kama hizi haziitaji waumini wa dini kuchangia bali wachamungu waliobobea katika vitabu vyao, mpaka sasa sijaona aliyepangua hoja moja baada ya nyingine kwa maandiko hasa.
Ni mihemko tu na kujifanya mnamuonea huruma mtoa mada.
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Siwezi kukulimit utumie kitabu kipi ili kunijibu, we tumia kitabu chochote utakachopenda, ata ukitumia kitabu cha TAKADINI ama THREE SIUTORS ONE HUSBAND sina shida.....Kikubwa majibu yawe na logic.Wewe ni muumini wa dini gani?
Je unaposema wabobezi wa maandiko wapangue hoja,kuna maandiko gani i we biblia au Quran yanapingana na MUNGU?
Waniuliza mimi tena, jibu hoja hapo juu acha kutafuna kucha aiseeWewe ni muumini wa dini gani?
Je unaposema wabobezi wa maandiko wapangue hoja,kuna maandiko gani i we biblia au Quran yanapingana na MUNGU?
Mimi,wewe, mleta mada tupo antagonistic.Siwezi kupoteza muda wangu hapa kujibu hizo hoja.Hamuwezi kunielewa.Waniuliza mimi tena, jibu hoja hapo juu acha kutafuna kucha aisee
Huyo aliyezaa roho alizaliwa na nini au nani?Mimi,wewe, mleta mada tupo antagonistic.Siwezi kupoteza muda wangu hapa kujibu hizo hoja.Hamuwezi kunielewa.
"Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili na kilichozaliwa kwa roho ni roho"
Alizaliwa na rohoHuyo aliyezaa roho alizaliwa na nini au nani?
Nipe andikoAlizaliwa na roho
Yohana 4:24.Nipe andiko