Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hoja gani hiyo isiyokuwa na mashiko!!🤔🤔.

Kwani ni lazima mitume wanapokuja wakubaliwe??, sasa kama matendo ya hao saudia na Israel ndiyo kigezo kwamba hakuna Mungu, utasemaje kuhusu nchi zile ambazo kuna matendo mema, Mungu yupo??!!.

Si hilo tu, pia unaweza kuhoji:- kama hao Saudia na Israel walifikiwa na mitume na hali zao ndiyo hizo, vipi kama wasingefikiwa kabisa na mitume hali yao ingekuwaje??!😁😁

Siku zote Mkanusha Mungu hawezi kuwa na hoja za kimantiki.

"LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume

Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"

Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama

Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii

Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi

Je wanatufundisha nini sisi wengine?

Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM

Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua

Kwanini liwe kabila tukufu?

Huo utukukufu katoa nani?

Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?
 
Watakuambia ni uzao wa Cain ulio kuwa unamchungulia mzazi wake akawapa laana "kuanzia leo wewe na uzao wako mtakuwa weusi"
Hahahahaha ina maana ile laana bado inatutafuna sasa kwanini nijishughulishe kuamini katika mungu huku nikijua mwisho wa siku nitaingia motoni kwa ile laana ya mshua?
Hahaaaaa faza kaharibu katuachia siye misala swali dogo tu we ni mzazi mtoto kakukosea je unauwezo wakutoa laana ambayo itagharimu kizazi hadi kizazi? Hapo inamaana sisi waafrika tuna misala miwili ya aina hiyo kulingana na vitabu vya dini

1.dhambi ya kurithi kutoka kwa adam&eve
2.dhambi tuliyorihi kutoka kwa cain[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ogopa sana huo moto tutakao chomwa black people if kweli jehanamu ipo alafu ukibatizwa unaambiwa wanafuta dhambi ya asili kutoka kwa Adam na eve sijui hiyo ya cain inasahaulika kwanini kweli wazungu walijua kutudanganya
 
Hahahaha hizi ni janja janja tu wanatuongopea et israel ni taifa teule kila siku tunaskia wanatupa makombora kushambulia nchi nyingine na wakat huo biblia imekataza vita
 
"LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume

Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"

Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama

Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii

Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi

Je wanatufundisha nini sisi wengine?

Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM

Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua

Kwanini liwe kabila tukufu?

Huo utukukufu katoa nani?

Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?

Hakika tunacho kigezo chema kutoka kwa mtume (saw)---- kwa msingi huo sisi waislamu lazima tumsikilize mtume alisema nini na alifanya nini, katika Hijjatul wada (Hija ya kuaga) moja ya jambo aliloliongelea ni suala la ubaguzi (sagregation) na alisema:-

" Mwarabu si bora dhidii ya asiyekuwa mwarabu, wala asiye muarabu si bora dhidi ya mwarabu wala mtu mweupe asipendelewi dhudi ya mtu mweusi, wala mtu mweusi asipendelewe dhidi ya mweusi"

👆🏻kwa hiyo kauli Mtume Muhammad (saw) anafuta kabisa ubaguzi wa aina yoyote.

Kuhusu mafundisho ya dini Yeye alisema katuachia vitu viwili Kitabu cha Allah (Qur'an) na Sunna, wala si kitu kingine.

Kuhusu 'Al ulamaa warithatul anbiyaa" yaani wenye elimu ndiyo watarithi wa (kazi) za manabii. ---- kauli hiyo ni sahihi kabisa kwa sababu huwezi kujua elimu ya dini bila ya kupata msaada kutoka kwa Mungu, kwasababu manabii wanayo elimu (funuo nk) kubwa kutoka kwa Mungu. Hivyo basi elimu ya dini siyo mahususi kwa ajili ya waarabu tu, mtu yeyote akitafuta elimu ya dini na kumuomba Mungu ampe elimu ya dini,Mungu atampa.

Halikadhalika hakuna kabila fulani ndio wema au waovu peke yao, uovu na wema upo katika makabila yote.
 
Huyo mke alitokea wapi wakati ndo kwanza Adam na eve ndo walikua wame mzaa yeye cain na nduguye au kulikuwa na watu wengine tayari lakini mungu mtu wake wa kwanza ni Adamu?

Leo mnifanye niamini uwepo wa mungu msitake kuingia peponi pekee yenu....

Mimi pia ninapinga ile kauli inyoaminiwa na watu wengi (Baadhi ya waislamu na Wakristo) kuwa Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa, kwa sababu hakuna andiko hilo kutoka kwenye vitabu vyao.

Lakini kwa upande wa dini ya uislamu kuna ushahidi kuwa Adam alikuwa ni nabii wa kwanza kuletwa duniani lakini sio mtu wa kwanza kuumbwa.
 
Bado majibu na mifano yako ni mepesi kiasi hata hayajajibu hoja ya mtoa mada
Mpaka leo naamini hivi tajiri anaeponda kila aina ya raha na yeye nitachomwa nae moto if wote tumetenda dhambi duniani
Kama mungu yupo kwanini akawa mwenye upendeleo hivi huku duniani
Yaani mimi nizaliwe na masikini alafu mwingine azaliwe na tajiri
Tusome wote tufaulu sawa lakini mimi nitafute kazi bila mafanikio alafu wewe upate kirahisi
Nikiwaza hapa ndo naona kabisa kama kweli mungu yupo basi hakuna moto wa jehanamu na kama moto upo
Basi mungu si mwenye huruma, upendo na, mtenda haki.

Mwenzako alizungumzia juu ya taabu na majanga yanayowapata watu na akahitimisha kuwa Mungu hayupo kama angalikuwepo basi angalizuia hayo majanga na taabu ili WOTE tuishi kwa raha na starehe.

MImi nilimjibu kuwa hiyo hoja yake ni "self contradictory" kwa sababu kama Mungu hayupo kutokana na majanga na taabu zetu, je duniani pia hakuna raha na starehe??utasema nini juu hizo starehe na raha??.

Halafu, majanga yako ya aina mbili, kwanza yapo yale ya kujitakia mfano inapotokea ugonjwa wa kuambukiza kama kipindupindu, mtu ukipata huo ugonjwa maana yake umekula kinyesi kibichi kilichokuwa na vimelea vya kipindupindu, sasa ukiugua kipindupindu unamlaumu Mungu??, Yeye hajakupa AKILI ya kujua tahadhari ya kujikinga??.

Pili kuna majanga ya asili (natural), majanga ya aina hii huwa ni adhabu au mitihani ya Mungu kwa watu, ni adhabu pale watu wanapozama katika kumusi Mungu kwa kufanya madhambi, ni mtihani ili Mungu aone mnapopata shida mtamtegemea nani na hii ni baada ya watu kumuacha Mungu na kushika njia ya USHIRIKINA ambapo wankuwa na majivuno na jeuri na moja kwa moja wana msahau Mungu.

Unahoji juu ya utofauti wa maisha katika jamii kwamba wengine wamezaliwa katika familia za kimasikini na wengine katika familia za kitajiri.

👆🏻Ni ajabu kuleta hiyo hoja kwamba ndiyo utetezi wako kuwa Mungu hayupo!!?😁😁 Sasa ulitaka dunia yote tuwe sawa katika suala hilo??, kama ni hivyo kila mtu angetaka awe rais, au awe kama Billy Gate au mwingine angelaumu kwanini kawa na jinsia aliyonayo nk, kifupi kama hiyo ichukuliwe ni hoja basi dunia ingalikuwa ni uwanja wa fujo na kusingekuwa na maendeleo yoyote kwa sababu watu wote tungekuwa UNIFORM hakuna yeyote angemfanyia mwingine kazi na DUNIA INGESIMAMA NA WATU WOTE KUFUTIKA. ni hoja too illogic, nadhani hapa atheist wenzako watakusaidia.

Umezungumzia juu ya moto jehanam, ni kwamba watu wengi hawajui falsafa (hekima) ya moto wa jehanamu kiasi kwamba wanamlaumu Mungu bure au kumkanusha kuwa hayupo, Jehanamu ni kama hospitali inayotibu roho kutokana madhambi, madhambi ni kama ugonjwa na moto ni kama dawa chungu sana (nasty medicine) ya kuondoa hayo madhambi. Hivyo unaposema adhabu ya moto mfano wake ni ukali wa dawa ya kutibu roho na baada ya mtu kupona (kutolewa madhambi yake) basi ataingizwa peponi na kuanza na moja, lakini kule motoni watu watakaa muda mrefu sana (abadan) kulingana na wingi wa madhambi yake. Hapo ndipo unapoona huruma ya Mungu mtukufu keamba anataka sisi sote twende peponi tukiwa safi na peponi ndiyo makazi aliyotuandalia baada sisi kuwa safi.
 
Ogopa sana huo moto tutakao chomwa black people if kweli jehanamu ipo alafu ukibatizwa unaambiwa wanafuta dhambi ya asili kutoka kwa Adam na eve sijui hiyo ya cain inasahaulika kwanini kweli wazungu walijua kutudanganya

Huo ni ujinga mtupu, hakuna kitu hicho eti, dhambi ya asili??

Mungu hawezi fanya kitu kama hicho, eti, dhambi afe mwingine na mwingine aadhibiwe!!😫😫
 
"LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume

Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"

Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama

Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii

Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi

Je wanatufundisha nini sisi wengine?

Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM

Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua

Kwanini liwe kabila tukufu?

Huo utukukufu katoa nani?

Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?
Kaka sio Hulamaa ni Ulamaa.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.....
 
Kaka naona unalalamika tu,jaribu kujenga hoja za kielimu bro. Kisha nakupa hii faida,miji mitukufu haiwatakasi watu bro,yaani haiwafanyi watu wakawa watukufu.

Utukufu wa jambo au sehemu tunaujua kulingana au kutokana na ufunuo.

Na huwa tuna sema hivi " Akili iliyo salama haikatai ufunuo"

Narudi......
 
Mnaosema hakuna Mungu naomba mnielezee Yardstick yenu ni nini Sayans au kitu gani au super power gani? Tuanzie hapo
 
Hoja zenu zinaonyesha wazi mungu hayupo

Aliyetoa nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?

Hatuwezi kumuuliza mungu kwakuwa hayupo nyinyi ndio mmemtunga
Sasa mbona mnakuwa mnajiongelea tu vitu ilimradi mmeongea tu. Mnasema Mungu hayupo na ndio maana mnakuja kutuuliza sisi maswali halafu hapohapo mnasema mbona Mungu hajibu mwenyewe maswali!!!

Tatizo hata nyie hamjui ni vp hakuna Mungu,mnafuata tu huo msimamo wa kuwa hayupo na ndiyo maana chochote kitakachowajia vichwani mnaropoka tu.
Hakuna hoja mnazozisimamia hapa zaidi ya kupinga tu kwa hali yeyote ile kuwa hayupo.
 
Leo niambie aliyekupandikizia nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?

Usiniulize na mm nadharia ya kuwa hakuna mungu nimeipata wapi

Jibu mungu hayupo angekuwepo angejidhihirisha duniani
Wote humu tumezaliwa na kukuta habari za uwepo Mungu na habari za wapinga Mungu,imani ya uwepo wa Mungu inajielezea toka kuumbwa kwa binaadamu na kuja mitume hadi leo hii,na kuna signs nyingi tu za kuonesha kweli kuna Mungu.

Sasa wewe jiulize tu mwenyewe huo msimamo wa kuwa hakuna Mungu,msingi wa hoja zake ni upi?

Maana utasikia kuna contradictions,mara Mungu hajawahi kuonekana,mara siyewenyewe ndio miungu,mara hivi mara vile. Yani hakuna maelezo ya kwa vp hakuna huyo Mungu bali kila mmoja ana visababu na vimtazamo vyake kuhalalisha msimamo wake.
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================

🤣🤣 Ama kweli nyani haoni kundule, Wewe wakumkosoa mungu? Kama kakosea kwann wewe usiviepuke? Ushawahi jiuliza kwanini unaamua kuchagua mwanamke wa kumuoa ili muishi pamoja? Na je ugumu uko wapi wewe kuepuka mtoa maada acha kufulu
 
Mungu hayupo kwa hiyo kufuru haina mantiki kwake yeye amekuonyesha makosa ya mungu wenu unatakiwa uyapinge au umkosoe kwa hoja na si kuanza leta mahubiri
 
KUBWA LA MASHETAN.......MUNGU ANA UVUMILIVU SANA.....
 
Mungu hayupo kwa hiyo kufuru haina mantiki kwake yeye amekuonyesha makosa ya mungu wenu unatakiwa uyapinge au umkosoe kwa hoja na si kuanza leta mahubiri
Mtu anakwambia Mungu yupo.

Kashusha kitabu chake hiki hapa.

Unakisoma, unakuta kwenye kitabu kumeandikwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ana rehema kuu. Ni mwingi wa neema.

Halafu kitabu hicho hicho kinakwambia kuna watu Mungu huyo huyo kawafunga mioyo, macho na masikio wasimjue. Na kisha hapo atawahukumu kwa kutomjua.

Sasa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote, mwingi wa neema na rehema, anaanza anzaje kuwafunga mioyo, masikio na roho viumbe wake dhaifu ili wasimjue?

Na wasipomjua, kosa ni la nani hapo?

Ni la hao viumbe dhaifu ambao hawajamjua Mungu kwa sababu Mungu kawafunga mioyo, macho na masikio?

Au ni la Mungu aliyewafunga hivyo?

Huyo Mungu yupo kweli? Au ni story tu?
 
Anawaziba macho wasimjue halafu anawahukumu kweli haki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom