Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hakika tunacho kigezo chema kutoka kwa mtume (saw)---- kwa msingi huo sisi waislamu lazima tumsikilize mtume alisema nini na alifanya nini, katika Hijjatul wada (Hija ya kuaga) moja ya jambo aliloliongelea ni suala la ubaguzi (sagregation) na alisema:-

" Mwarabu si bora dhidii ya asiyekuwa mwarabu, wala asiye muarabu si bora dhidi ya mwarabu wala mtu mweupe asipendelewi dhudi ya mtu mweusi, wala mtu mweusi asipendelewe dhidi ya mweusi"

👆🏻kwa hiyo kauli Mtume Muhammad (saw) anafuta kabisa ubaguzi wa aina yoyote.

Kuhusu mafundisho ya dini Yeye alisema katuachia vitu viwili Kitabu cha Allah (Qur'an) na Sunna, wala si kitu kingine.

Kuhusu 'Al ulamaa warithatul anbiyaa" yaani wenye elimu ndiyo watarithi wa (kazi) za manabii. ---- kauli hiyo ni sahihi kabisa kwa sababu huwezi kujua elimu ya dini bila ya kupata msaada kutoka kwa Mungu, kwasababu manabii wanayo elimu (funuo nk) kubwa kutoka kwa Mungu. Hivyo basi elimu ya dini siyo mahususi kwa ajili ya waarabu tu, mtu yeyote akitafuta elimu ya dini na kumuomba Mungu ampe elimu ya dini,Mungu atampa.

Halikadhalika hakuna kabila fulani ndio wema au waovu peke yao, uovu na wema upo katika makabila yote.

Mwarabu ni bora kuliko wewe unabisha?
 
Mwarabu ni bora kuliko wewe unabisha?

"O mankind we have created you from a male and female and made you into nations and tribes ,that you may know one another, verily the most honoured in the sight of Allah is that who has at taqwa, verily Allah is All knowing ,All aware" (Al hujuraat :13)

👆🏻Hapo hakuna cha, muarabu, muhindi, mswahili,mpemba,mzungu nk, Ubora wako ni "Taqwa" tu.

🍒Huyo ndiye Allah mtukufu🍒

😁😁😁😁 Astro noma sanaaa.
 
Naona mnaendelea kujazana ujinga kila kukicha.........
Ujinga ni kukubali habari za Mungu anayewafunga watu mioyo, macho na masikio ili wasimjue, kisha akawahukumu hukumu kali kwa sababu hawajamjua, na kusema huyo ni Mungu wa haki.

Hapo umejiharishia halafu ukafanya uharisho wako ndiyo akili.
 
Niliwahi kukuuliza swali "Je unajua kwanini amewafanya hivyo ?"

Hukuwahi kulijibu swali hilo na hautaweza kulijibu,sikuishia hapo nikafika mbali sana mpaka nikakupa rejea za tafsiri za Qur'an zaidi ya tatu,ninajua hukuenda kufatilia.

Sasa si kila jambo lazima ulizungumze bro,elimu ni nuru na ujinga ni giza.

Huwa nakariri mara kwa mara mkiamua kusoma msome kweli sio mnaleta ujanja ujanja wa kuyaingilia kichwa kichwa mambo msio na elimu nayo.

Nipo...

.
 
Mungu anayehitaji tafsiri ni wa kutungwa.

Mungu angekuwepo kweli asingehitaji tafsiri.

Kila mtu angemjua bila tafsiri.

Kungekuwa hakuna tafsiri wala kitabu cha Mungu.

Ukishaona Mungu kaandikwa kwenye kitabu, ujue wa uongo huyo.
 
Huwezi kufikiria zaidi ya hapo,na huko ni kwa kutaka wewe mwenyewe.
 
Nimeona "Atheists" wakinukuu sehemu ya vipande vya aya za Qur'an na kuvitolea maelezo ya kupotosha ili kuthibitisha kuwa Mungu hayupo. Na tafsiri ya aya yenyewe ni hii:-

"Mioyoni mwao mna maradhi , na Allah amewazidishia (wanafiki) maradhi; nao wana adhabu iumizayo kwa sababu walikuwa wakisema uongo". (Al baqara:10)

👆🏻Hiyo aya na zile za kabla yake zinazungumzia juu ya wanafiki (hypocrites) na siyo makafiri (disbelievers), makafiri ni wapinzani wanaofahamika kwa sababu wao ni maadui kutoka nje, tofauti na wanafiki ambao ni maadui kutoka ndani yaani ni makafiri waliojifanya kusilimu ili waingie ndani ya uislamu na waanze kufanya hujuma wakiwa ndani (trojan horse).

Kwa kuwa wao walikuwa ni makafiri waliokuwa ndani bado ukafiri wao (maradhi yao) walikuwa nayo, na ukafiri wao ulikuwa ni husuda na kinyongo kuona uislamu ukipata maendeleo na husuda na kinyongo chao kilizidi pale walipozidi kuona uislamu ukizidi kukua na wao wakiwa humo humo ndani na hapa ndiyo ile maana ya maneno ("na Allah amewazidishia maradhi") yanapofanya kazi. Kwa sababu Allah anapowapa mafanikio waislamu kwa mafanikio hayo wale wanafiki roho zao zinazidi kuugua kwa ghadhabu na khasira kubwa na hapo maradhi yao ya kiroho huwa yameongezeka.

Ni lazima mtu Mungu akupe AKILI ya kutambua falsafa za maneno yake ndipo utakapoelewa hekima zake kinyume chake utabaki ni mtu wa majivuno tu na hatimaye Allah atakunyang'anya kila kitu kichwani na utajuta na kusaga meno huku ukishangaa " hee, mbona mimi nilikuwa na "akili" zamani siku hizi imekuwa vipi!!".

Mungu ni wa kuogopwa na kutukuzwa na kuabudiwa, Yeye ndiye aliyetuumba, kila msaada lazima aombwe Yeye, mwingi wa rehema mwingi wa ukarimu, aliye juu ya kila kitu, mkuu mwenye nguvu nk.

🍒Huyo ndiye Mungu "the supreme"🍒
 
Huwezi kufikiria zaidi ya hapo,na huko ni kwa kutaka wewe mwenyewe.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Nimemaliza bro !
Hujamaliza.

Umeandika poa, hujaeleza poa ni kwa kipi.

Poa unakubali Mungu hayupo?

Au poa unakubali kwamba huwezi kuthibitisha Mungu hayupo?

Au poa hutaki kubishana tu umeshindwa kuendelea?

Au poa kumaliza mjadala tu hujui hata poa ya nini hususan?
 
Back
Top Bottom