Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

T
Hizo zinaitwa scientific method je muhamad wakati anatengeneza quran je alifata njia hizo?

Kama jawabu ni hapana quran haiwezi kuwa sayansi itakuwa muhamad alikuwa anapiga ramli



Scientific methods za kutafuta nini??, hizo ni scientific methods za kufanyia utafiti wa kisayansi na ndiyo maana kuna hypothesis hapo !!, hypothesis nini??.

Issack Newton alipotoa hypothesis ya Gravitational force (gf), he assumed the inverse square law,

F=GmM/r².

👆🏻Na yeye alipiga ramli??😁😁

Qur'an yenyewe haina assumptions wala hypothesis, bali inaanza na maneno 'sisi" kuonyesha majestic plural ya Allah pale anapoeleza jambo ambalo anatutaka tutafakari, sasa binadamu akajiwekea hizo methods unazoziita za kisayansi ili kuweza kustudy nature ambayo kaikuta imeshaumbwa na Mungu.
 
Ningekuona wa maana kama ungeorodhesha na MAZURI 10 YA MUNGU, ili tukupime ubongo wako, ila endelea kushikilia msimamo wako na ukitaka majibu ya maswali yako kasome ZAB. 14:1-7 au ZAB. 53:1-6.
Akili zako nazifananisha na akili za mende anapokuwa kwenye shimo la choo anajiona yeye ndo kila kitu.
 
Mbona unaimba Ngonjera? Kwaiyo walio na kansa, wanaojinyea na walioko mahospitali ndio tuseme kuna mungu muweza au mungu dhaifu?
Wewe kijana unaabudu uoga!

Narudia tena kwamba hakuwezekani kuwe na Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo, muweza wa yote, muumbaji wa vyote.
Kama atakuwepo mungu wa hivo atakuwa sio mungu bali ni mshindwa wa mwisho.

Fikiri kijana acha kukalia akili zako

HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO.
Watu wanateseka hovyo, watu wanakufa, watu wanadhulumiana, watu wanaibiana, watu wanateseka na njaa hadi kufa alafu uje uniambie kuna mshenzi kajikalia eti ndio aliyeumba vyote na anaweza yote na ana upendo.
Huo utakuwa ni ulimbukeni wa Mungu
Ila wewe ndio pimbi kweli. Umetoroka kwenye gazeti la SANI umehamia huku
 
Kama kiumbe chake....je sii ungwana kwa mwana kumwona na kumjua Babaye???
Wewe umelewa na maisha ya kidunia, kumbuka wote tupo safarini, hii dunia ni kama chombo cha usafir kila mtu atashuka kwa wakati wake.
 
Kama kiumbe chake....je sii ungwana kwa mwana kumwona na kumjua Babaye???
Ndugu, Nikueleweshe na hili swali lako dogo usiponielewa basi sikulazimishi pia unielewe nakupa kamfano, hapo ulipo unatumbo una haki ya kuijua njaa na kuiona, chaajabu huijui njaa wala hujawahi kuiona, kuinusa, kuigusa, lakini umejirundikia akiba ya vyakula na kila siku unahangaikia tumbo lako kwa kitu ambacho toka uzaliwe hujawahi kukiona (njaa) na hutakaa uione hadi unaingia kaburini. Duniani hakuna kitu kinaogopwa kama njaa, kama dunia nzima inaweza kuogopa na kuheshimu kitu ambacho hakionekani (njaa). Kwanini unashindwa kumuogopa na kumheshimu Mungu wako aliyekuumba? Kwani utafute kumwona Mungu ungali hapa duniani? Kwanini usijadili Pumzi unayovuta ambayo hujawahi kuiona? Kwanini umrundikie Mungu makosa? Kwa nini usajidili kuhusu akili ulyonayo? Kwa nini usimjadili shetani ambaye nae hujawahi kumwona?

Dhambi zote zitasamehewa isipokuwa ya kumkufuru Mungu
Roho Mtakatifu.
 
Ndiyo imeandikwa kwa mafumbo, kwanini isingeandikwa kwa lugha nyepesi...ili ieleweke???...mbona silabasi zinaandikwa kwa lugha nepesi na watu wanapata degree???
Ndio maana akili yako haiukusaidii kwa sababu syllubus iliandikwa kwa lugha nyepesi.
 
T




Scientific methods za kutafuta nini??, hizo ni scientific methods za kufanyia utafiti wa kisayansi na ndiyo maana kuna hypothesis hapo !!, hypothesis nini??.

Issack Newton alipotoa hypothesis ya Gravitational force (gf), he assumed the inverse square law,

F=GmM/r².

👆🏻Na yeye alipiga ramli??😁😁

Qur'an yenyewe haina assumptions wala hypothesis, bali inaanza na maneno 'sisi" kuonyesha majestic plural ya Allah pale anapoeleza jambo ambalo anatutaka tutafakari, sasa binadamu akajiwekea hizo methods unazoziita za kisayansi ili kuweza kustudy nature ambayo kaikuta imeshaumbwa na Mungu.

"the force of attraction between two bodies is directly proportional to the product of their mass and inversely proportional to the square of distance apart"

Sir Isaac apumzike kwa aman

Na wewe toa ktk quran hiyo sayansi nione
 
Na ndiyo maajabu yenyewe yalipo kwamba hakufuata hizo njia ila alichokieleza ndivyo pia sayansi inavyoeleza hivyo hivyo. Kama ramli nayo pia ina uwezo huo basi sayansi ingekuwa haina maana kwetu kwa sababu tungetumia ramli tu na kusolve matatizo yetu bila kutumia gharama kubwa kuwekeza kwenye sayansi wakati ramli ipo.

Nionyeshe hiyo sayansi kutoka ktk quran nasubiri jibu

"inna Allah maaswabiriina"
 
Sisi sote na ulimwengu wote pamoja na vilivyomo tumeumbwa na Mungu, na hivyo sisi ni mali zake na akitaka anaweza kutuondosha wakati anapotaka na katika njia yoyote anayoona inafaa na hapo haulizwi na yeyote kama jinsi hakuulizwa na yeyote alipotuleta hapa duniani.
Binadamu wa kwanza kuumbw alikua nani na alikuwa bara gani?
 
Haya maisha na kila kilichopo ni mtihani wa mwenyezi Mungu kutupima sisi kama ni wenye kumuamini na ka tun Subra juu yake...na amesema katika Quran "tutambainishia kila mmoja had asema hii kweli" na pia akasema "hatutamuhukumu yoyote isipokuwa yule tuliyemfikishia ujumbe" na pia akasema "Waonye wote wanatakao zikataa ishara zetu na wakatenda vitendo viovu tutawatupa kataka Moto wa jehanam" ila pia kasema "isipokuwa wenye kuamin na wakatenda vitendo vizuri, na wakaswali na wakatoa zaka hakika hao ni wenye kufaulu kwani mwenyezungu Ni mwingi wa kusamehe mwenye kurehem"
 
Unawwza kumshawishi mtu uwepo wa Mungu kupitia vitu vingi lakin kama amegoma au ameamua kubishana hamtafika popote maaana atakuwa anabadili sababu ila Muda utafika atakiri na MwenyeziMungu anasema "watalia wanadamu juu adhabu tutakazo wapa na sisi tutawauliza Je hakuwajia muonyaji nanyi mkazikataa ishara zetu?"

Huu ni kama mchezo nitoe mfano..tuseama hapa duniani kungekuwaga na system ya kiwa baada ya muda flan lazima tuhamie america na ukihamia america hurudi tena huku na hakuna aliyewahi kwenda akarud lakin kuna tetes ya kuwa kule america kuna milipuko ya volcano lakin wana wana survuve kule kwa kuvaa makoti maalum ambayo yanapatikana hapa na material yake yanapatikana hapa...Je ukifika muda wa safari utaondoka na koti na hutaondoka na koti sababu ni tetesi na hakuna ushahid wa moja kwa moja kuwa hilo ni kweli..!?

Wengi niliwauliza juuya mfano huu walinijibu watanunua koti waende nalo wababu akikuta ni kweli koti litamsaidia na akikuta sio kweli hana cha kupoteza atakivaa wakati wa baridi huko aendako..!

Ndicho tunachokifanya tunao amin uwepo wa Mungu tunajua tutakufa uamin Mungu au usiamin Munguna hakuna aliyewahi kwenda akarud lakin tumepata ishara za uwepo wake kwa ushahid wa vitabu na watu aliwatuma kama tukienda tukikuta hayupo na hizi story ni za uwongo basi hatuna cha kupoteza na kama tukikuta yupo basi Mi na yeye tutkuwa na mazungumzo Mengine lakin ndugu yangu uliamua kuchukua Risk ya kuamin hakuna Mungu umewahi kujiuliza vip kama ukimkuta na aliyo yaamrisha ni kweli? Kama hutamkuta itakuwa ni bora kwako sababu hukupoteza muda duniani lakin huoni kama umechagua njia ambayo haina U turn???

Inabidi ufikirie huko tukienda hakuna kurud na sisi tumeamua kuvaa makoti na koti la material bora ni Uislam ndio itakuwa mkombozi wako ila kuamin kwanza Mungu ni hatua ya kwanza pili soma sana hizi dini usiamin kichwa kichwa tu ili upate ukweli ni vizuri kureason ili ujifunze sio ili ushinde mabishani..!
 
"the force of attraction between two bodies is directly proportional to the product of their mass and inversely proportional to the square of distance apart"

Sir Isaac apumzike kwa aman

Na wewe toa ktk quran hiyo sayansi nione




Naongea na mtu asiyejua anaongea nini??.

Hiyo kanuni Newton alianza nayo vipi??.

Alianza na "Hypothesis" baada ya lile tufaa kumuangukia kichwani alipokuwa ameketi chini ya mti wa mtofaa (apple tree), na hypothesis yake (prediction) akahisi kwamba lile tufaa lilivutwa na nguvu fulani kuelekea chini, kwa sababu alijiuliza kwanini lisingeenda juu au pembeni au kuelea ama vyovyote??!!, hakuishia hapo tu bali alijiuliza kwamba ni nguvu hizo hizo ndizo zinazoushikilia mwezi pale ulipo kutoka duniani na hiyo ndiyo inaitwa hypothesis au prediction na aka -conclude kuwa kati ya vitu viwili siku zote kunakuwepo na nguvu za uvutano na baada ya hapo akataka ku 'formulate" uhusiano kati ya nguvu ya uvutano uliopo kati ya vitu viwili na kanuni hiyo akaiita "the law of universal gravitation"

Katika ku formulate hiyo kanuni akaweka "assumption" moja inayoitwa "the inverse square law"

Force=constant /r², (where r = is the distance between the given bodies).

Baada ya hapo ndipo akaja na formular kamili:-

Force=GmM/r² , ambayo inasema:-

"The force between two bodies is direct proportional to product of their masses and inversely proportional to the square of their distance apart"

Sasa huyo Newton kwanza alianza na hypothesis (prediction/ ramli) baadaye akaweka "assumption" na hatimaye akakamilisha formular, sasa nani hapo ni mpiga ramli Qur'an au Newton??

Umeshikilia kuwa Qur'an ilitungwa na Nabii Muhammad (saw), (Mungu apishe mbali), inafahamika kabisa kuwa Mtukufu Mtume Muhammad (saw) hakujua kusoma wala kuandika bali Mungu alimfunulia Qur'an yote na waandishi wake wakaandika yale yote aliyofunuliwa na Mungu na ndiyo maana Mungu anatoa "challenge" katika Qur'an aliposema:- " Ikiwa mna mashaka juu ya yale tuliyomteremshika mja wetu (Muhammad) basi leteni sura moja mfano wa hii (Qur'an) na muwaite wasaidizi wenu kinyume na Allah ikiwa mu wakweli (2:23).

Chukua mfano mmoja, Qur'an inazungumzia juu ya "the expanding universe":-

و ا للسماء بنيناها بايد و انا لموسعون

Wa ssamaai banainaahaa biaidi wa inna lamuusiu'un. (51:47)

Yaani, " Na mbingu tumeziumba kwa uwezo (mikono) yetu na hakika tunaipanua (lamuusiu'un)."

👆🏻Ni Albert Einstein (d1955) na Edwin Hubble (d 1953) ndiyo waliokuwa ma pioneers wa "the expanding universe" hypothesises zao (RAMLI ZAO) walifanya katika karne ya 20 tu juu ya ulimwengu unaotanuka Allah aliliweka jambo hilo kupitia mtume Muhammad (saw) toka karne ya 14 wakati hata wana sayansi hao hawakufikiriwa kama wangezaliwa sembuse kuwa na mawazo ya kujua kwamba ulimwengu unatanuka!!, bila shaka hawa walisoma Qur'an kwa siri ndipo wakajua ukweli huo.

Kuna mifano kadhaa ya sayansi ndani yavQur'an ambayo wanasayansi wenye roho safi wanakiri hadhatani kuwe Qur'an isingeweza kutungwa na nabii Muhammad (saw) bali imetoka kwa yule mwenye elimu kubwa sana, sisi tunasema Qur'an imetoka kwa Yule aliyekuwa na elimu isiyo na kikomo yaani ALLAH (sw).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom