Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

We vipi ???, Mungu kuchukua watu wake imekuwa shida??, mbona alipowawaleta duniani hatukukuona ukimpongeza??!!.

Kumbuka hata wewe atakuchukua tu, utake usitake [emoji16][emoji16][emoji16].

Kama unataka hama hapa duniani ukatafute "dunia" yako isiyokuwa na "trials and tribulations " au zuia usife.[emoji16][emoji16]
Mungu wa huruma anachukua watu wake kwa kiwazamisha kwenye maji au kwa kuwafanya ndege ianguke, gari lipinduke na kuua watu. Siyo? Mungu ni dhana inayotoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Kwa ufupi, akili zetu zinafungwa, zinakuwa limited kwa kuamini kitu kisichokuwepo. Ni utumwa mbaya sana.
 
Sasa mkuu wewe una nguvu kiasi gani za kufahamu kuwa Mungu hakuumbwa kumshinda hata Hugo Mungu mwenyewe ambaye ameshindwa kujieleza kuwa hakuumbwa? Unajua ni jambo la kushangaza sana!

Wewe unawezaje kutambua kuwa Mungu aliumba akili ya mwanadamu ambayo ni limited ilihali Mungu mwenyewe anashindwa kuelezea hilo?

Mkuu, usirukie katikati ya sub -topic, kwanza unaamini kuwa Mungu yupo??, ukishaamini hilo basi ndiyo tuje kwenye mada ya "je Mungu kaumbwa au laa !!"

Kuhusu limitations ya akili za binadamu, ni kwamba kuna mambo mengi sana katika mazingira yetu akili ya binadamu inashindwa kufafanua au kutambua utendaji wake hii leo, na hiyo ndiyo limitation ninayoisema.
 
Mungu wa huruma anachukua watu wake kwa kiwazamisha kwenye maji au kwa kuwafanya ndege ianguke, gari lipinduke na kuua watu. Siyo? Mungu ni dhana inayotoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Kwa ufupi, akili zetu zinafungwa, zinakuwa limited kwa kuamini kitu kisichokuwepo. Ni utumwa mbaya sana.

Kwanza nitoe pole kwa wafiwa wa ndugu zetu waliopoteza maisha katika ile ajali ya MV nyerere na Mungu azilaze pema peponi roho za ndugu zetu hao, amin.

Tunaposema Mungu kachukua watu wake, maana yake ni kwamba roho ndiyo iliyochukuliwa (hapa naamini unatambua falsafa ya roho na mwili na kifo).

Sasa kuna njia nyingi ambapo watu tunakufa, kuna njia za vifo vya kawaida, mfano uzee ambapo viungo vimechoka kufanya kazi na hatimaye mtu anafariki pia kuna vifo vya ajali, majanga na magonjwa ambapo ukivichambua utakuta kuna magonjwa na ajali zitokanazo na uzembe wa binadamu na hapo Mungu halaumiwi kwa sababu binadamu hakutumia akili aliyopewa na Mungu kujilinda na magonjwa na ajali, pia kuna majanga ya asili (natural disasters) ambapo yawezekana ikawa ni adhabu ya kwaondoa waovu ili wabaki wema au ni ukumbusho wa kuonyesha Yeye yupo baada ya watu kumsahau na kuzama katika kutenda maovu nk, hivyo kutokea kwa vifo ni njia ya watu kujifunza kuepuka uzembe kwa kutumia vyema akili zetu alizotupa Mungu . Pia ili ufike kwenye kituo cha mwisho (the final destination), ni lazima tufe ndipo tufike.

Mambo mengine yafuatayo kwa ajili ya ufafanuzi wa mada hii ni mambo ya elimu ya roho zaidi (spiritual realm) ndipo utaelewa kwa kina na elimu hii inapatikana kwenye dini ya kiislamu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eti "spiritual realm", unajaribu kumuaminisha mtu anayetaka proof kwa maelezo ya kufikirika tu?Are you serious? Ni kweli natural disasters zinatokea kwa ajili ya kuondoa waovu?(rejea maelezo yako), maelezo yako yanaacha maswali mengi pasina kutoa majibu ya kushibisha akili ya mtu ambaye hajawa brainwashed na myths. Bado sana.
 
Nashukuru umekiri kuwa hayo majina (ibilisi na shetani) ni majina mabaya, swali ni je majina mazuri yaliisha hadi mtu ajipe jina Ibilisi na isitoshe na akampa baba yake jina la Shetani !!😁😁.

Mbona wewe umejipa jina la kujitukuza !!, Astronomer the great.

Halafu hapa hatuzungumzii juu ya matendo mema na mabaya bali tunazungunzia juu ya uwepo wa Mungu, sasa unadhani mtu anayejiita Ibilisi bin Shetani anaweza kukubali kuwa Mungu yupo??, sababu shetani na Ibilisi mbele ya Mungu ni maluuni.

Ibilisi ni mtu mwenye kiburi na majivuno na shetani ni mtu muasi.

Sasa badala ya kumrekebisha mwenzako wewe unafurahi yeye kuwa na hayo majina mabaya au ndiyo sifa zenu nyie Atheists.

Mokaze jina halimfanyi mtu kuwa na matendo mema au mabaya kikubwa moyo wake unatenda mambo gani

Ukiwa na Tabia Njema Hilo ni jambo zuri lakini sikuwa na jina zuri halafu unafanya matendo mabaya

INNALLAH LAA YANDHUR ILAA SUWARIKUM WA AMUWAA LIKUM WALAKIN YANDHUR ILAA QULUU BIKUM WA AMAA LIKUM

Sasa kama mungu haangilii Mali zako wala sura yako unadhani Hilo jina lako litakuwa na nafasi kwake?

Kikubwa matendo yako acha kumuhukum mtu kwa jina
 
Kaka embu na wewe jiite majina ambayo hayana wahusika.

Ukiweza kufanya hivyo,naomba ujibu pia maswali haya.

1. Je unamjua Ibilisi ni nani na ana sifa gani ?

2. Je shetani ni na ana sifa gani.

Kadhalika mswali haya :

3. Wewe umeumbwa ?

4. Je maneno yako yameumbwa ?

Nipo.......

Kwanini unichagulie jina?

Wengi wanafanya Maovu wanamsingizia shetani

Nipe uovu wa iblis me Najua akili za watu ndio iblis wenyewe
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eti "spiritual realm", unajaribu kumuaminisha mtu anayetaka proof kwa maelezo ya kufikirika tu?Are you serious? Ni kweli natural disasters zinatokea kwa ajili ya kuondoa waovu?(rejea maelezo yako), maelezo yako yanaacha maswali mengi pasina kutoa majibu ya kushibisha akili ya mtu ambaye hajawa brainwashed na myths. Bado sana.

Siyo kila somo mtu anaweza kulielewa, hadi hii leo hakuna aliyeweza kuweka wazi juu ya chanzo cha nguvu za uvutano, zilizokuwepo ni nadharia tu na hapo akili inakiu na kiu haikatiki!!, lakini nguvu za uvutano zipo na zinatenda kazi, Hakuna mtu anayejua formular ya chlorophlly (leaves green pigment) licha ya hiyo pigment kuwa na umuhimu mkubwa sana katika uhai wa viumbe wengi na juhudi za wanasayansi bado hazijafua dafu licha ya vifaa bora vya majaribio vilivyopo wakati huu , Hakuna mtu anayejua "the continuous expanding universe" itaisha lini kutanuka, kuna mifano mingi ya aina hiyo, kwakuwa akili zetu zimeshindwa kujua hayo yote basi watu wasiotafakari wataishia kusema hivyo ni visa asili (MYTHS).

Tukubali tu kuwa akili zinatofautiana na halikadhalika "understanding" na wewe unaposhindwa kujua au kuelewa somo usijifanya wewe ni "yard stick" au "standard measure" ya watu wengine, upo??🤓🤓🤓.
 
Nampongeza mtoa mada , mimi ni kilaza kwani sikugundua kosa hata moja ni kupokea tu kama zuzu . Ni lazima tujiuluze huyo Mungu aliyeruhusu shetani atutese ni nani ! Mungu aliyeletwa na wamisionary ndiye aliyefanya hayo makosa , lengo ni kututisha ili tuamini . Mimi nilibatizwa tu kwa kuhofia kwenda motoni na nilipewa jina la kizungu yaaani we acha tu !!
 
Mokaze jina halimfanyi mtu kuwa na matendo mema au mabaya kikubwa moyo wake unatenda mambo gani

Ukiwa na Tabia Njema Hilo ni jambo zuri lakini sikuwa na jina zuri halafu unafanya matendo mabaya

INNALLAH LAA YANDHUR ILAA SUWARIKUM WA AMUWAA LIKUM WALAKIN YANDHUR ILAA QULUU BIKUM WA AMAA LIKUM

Sasa kama mungu haangilii Mali zako wala sura yako unadhani Hilo jina lako litakuwa na nafasi kwake?

Kikubwa matendo yako acha kumuhukum mtu kwa jina

Mkuu Astronemer the great, imekuaje leo unanukuu aya za Qur'an ilhali humuamini Yule mwenye hayo maneno??😁😁

Umenukuu hayo maneno ya Mungu,naam, ni sawa alichosema Allah (sw) kwamba Yeye:- haangalii sura zetu na mali zetu lakini Yeye huangalia nyoyo zetu (yaliyomo moyoni) na matendo yetu.

Lakini hiyo aya haizungumzii juu ya jina/majina,aya inayozungumzia majina ni 49:11 (الحجرات). ambayo ndani yake kuna maneno haya:-

------- wa laa tanaabazuu bialqaabi bia'sa ismulfusuuqu---.

--na wala msiitane kwa majina mabaya (Ismululfusuqu), sasa kama imekatazwa kuitana sisi kwa majina mabaya sasa inawezekana vipi mtu ajipe majina mabaya??!!🤔🤔

Na hata kuna hadithi (siikumbuki) ya mtume (saw) inakataza kuwapa watoto tunaozaa majina mabaya, waarabu kabla ya uislamu walikuwa na tabia ya kuwapa watoto wao majina mabaya.

Common sense tu, hivi wewe Astronomer, mkeo akijifungua mtoto utathubutu kumwita Ibilisi??😁😁,kwa sababu tu Mungu haangalii jina!!.

Mpe ushauri mwenzako aachane na hayo majina atafute "nick names" zingine.

Ila nimefurahi mkuu Astronomer the great kumtambua Allah, kwa kunukuu vifungu adhiim vya القران كريم. Big up. براك الله لك
 
We unambiwa mud alikua akiandika akiwa kwenye mapango we unategemea aliandika akiwa na uhuru wote hayo yalikua mazingira hatarishi palipo na mijoka lazima uchachawe hadi pen inateleza
Kwahiyo katika mazingira ya hofu ndio kaandika vitu vya kisayansi venye kuhitaji vifaa vya kisasa kufanyia uchunguzi ambavyo havikuwepo wakati huo?
 
Mkuu Astronemer the great, imekuaje leo unanukuu aya za Qur'an ilhali humuamini Yule mwenye hayo maneno??😁😁

Umenukuu hayo maneno ya Mungu,naam, ni sawa alichosema Allah (sw) kwamba Yeye:- haangalii sura zetu na mali zetu lakini Yeye huangalia nyoyo zetu (yaliyomo moyoni) na matendo yetu.

Lakini hiyo aya haizungumzii juu ya jina/majina,aya inayozungumzia majina ni 49:11 (الحجرات). ambayo ndani yake kuna maneno haya:-

------- wa laa tanaabazuu bialqaabi bia'sa ismulfusuuqu---.

--na wala msiitane kwa majina mabaya (Ismululfusuqu), sasa kama imekatazwa kuitana sisi kwa majina mabaya sasa inawezekana vipi mtu ajipe majina mabaya??!!🤔🤔

Na hata kuna hadithi (siikumbuki) ya mtume (saw) inakataza kuwapa watoto tunaozaa majina mabaya, waarabu kabla ya uislamu walikuwa na tabia ya kuwapa watoto wao majina mabaya.

Common sense tu, hivi wewe Astronomer, mkeo akijifungua mtoto utathubutu kumwita Ibilisi??😁😁,kwa sababu tu Mungu haangalii jina!!.

Mpe ushauri mwenzako aachane na hayo majina atafute "nick names" zingine.

Ila nimefurahi mkuu Astronomer the great kumtambua Allah, kwa kunukuu vifungu adhiim vya القران كريم. Big up. براك الله لك

Naomba nikuulize kwanini unamchukia iblis ni ubaya upi aliokufanyia?
 
Kinachotokea kwa sasa huko Indonesia, ambapo had I sasa zaidi ya watu 800 wamepoteza maisha ni ishara ya wazi kuwa hakuna Mungu.

Huyu Mungu wa upendo na mwenye uwezo uliopitiliza hawezi kuwcha maangamizi makubwa kiasi hiki.

Ni uvivu mkubwa sana wa kufikiri kusema kuwa janga linalowakumba wenzetu ni mpango wa Mungu. Mungu wa upendo anawapenda watu 800 kwa mara moja tena kwa hali ya ukatili namna hii? Kwa nini Mungu mwenye uwezo hajaweza kuepusha kadhia hii?

Bado ninakumbusha tu kuwa, Mungu ni dhana inayoiweka akili na uwezo wa binadamu wa kufikiri kwenyw utumwa mtakatifu.
 
"AL LADHIINA IDHAA ASWABAT HUM MUSWIIBATU QALUU INNAA LILAHI WA INNAA ILAYHI RAJIUUN"

God is illusion na mungu hayupo kwakuwa hajawahi kuwepo
 
Sayansi gani kaandika embu fafanua?

Dr. Joe Leigh Simpson is the Chairman of the Department of Obstetrics and Gynecology, Professor of Obstetrics and Gynecology, and Professor of Molecular and Human Genetics at the Baylor College of Medicine, Houston, Texas, USA. Formerly, he was Professor of Ob-Gyn and the Chairman of the Department of Ob-Gyn at the University of Tennessee, Memphis, Tennessee, USA. He was also the President of the American Fertility Society. He has received many awards, including the Association of Professors of Obstetrics and Gynecology Public Recognition Award in 1992. Professor Simpson studied the following two sayings of the Prophet Muhammad :

{In every one of you, all components of your creation are collected together in your mother’s womb by forty days...}

{If forty-two nights have passed over the embryo, God sends an angel to it, who shapes it and creates its hearing, vision, skin, flesh, and bones....}

He studied these two sayings of the Prophet Muhammad extensively, noting that the first forty days constitute a clearly distinguishable stage of embryo-genesis. He was particularly impressed by the absolute precision and accuracy of those sayings of the Prophet Muhammad . Then, during one conference, he gave the following opinion:

“So that the two hadeeths (the sayings of the Prophet Muhammad ) that have been noted provide us with a specific time table for the main embryological development before forty days. Again, the point has been made, I think, repeatedly by other speakers this morning: these hadeeths could not have been obtained on the basis of the scientific knowledge that was available [at] the time of their writing . . . . It follows, I think, that not only there is no conflict between genetics and religion but, in fact, religion can guide science by adding revelation to some of the traditional scientific approaches, that there exist statements in the Quran shown centuries later to be valid, which support knowledge in the Quran having been derived from God.”
 
Naomba nikuulize kwanini unamchukia iblis ni ubaya upi aliokufanyia?

Mimi simchukii mtu kama mtu, bali nalichukia jina lake tu, hilo jina lina maana mbaya.

(Asha kumsimatusi), mfano mtu ajipe jina la "Msenge", unaonaje limekaa vizuri??, au wewe umepata mtoto na umpatie hilo jina!!, kidhahiri huyo mtoto si msenge, lakini akiwa mtu mzima atajiuliza je, huyu baba kweli alikosa jina hadi anipe hilo jina!!??, pia fikiria shida atakazokumbana nazo katika jamii.

Astronomer, jambo hili mbona liko wazi sana, wewe angalia maana ya neno Ibilisi (إبلس) katika kamusi za kiarabu. Mzizi wa hilo neno ni Iblis, yaani ni kukosa matumaini, upotevu, kiburi, majivuno nk.
 
Dr. Joe Leigh Simpson is the Chairman of the Department of Obstetrics and Gynecology, Professor of Obstetrics and Gynecology, and Professor of Molecular and Human Genetics at the Baylor College of Medicine, Houston, Texas, USA. Formerly, he was Professor of Ob-Gyn and the Chairman of the Department of Ob-Gyn at the University of Tennessee, Memphis, Tennessee, USA. He was also the President of the American Fertility Society. He has received many awards, including the Association of Professors of Obstetrics and Gynecology Public Recognition Award in 1992. Professor Simpson studied the following two sayings of the Prophet Muhammad :

{In every one of you, all components of your creation are collected together in your mother’s womb by forty days...}

{If forty-two nights have passed over the embryo, God sends an angel to it, who shapes it and creates its hearing, vision, skin, flesh, and bones....}

He studied these two sayings of the Prophet Muhammad extensively, noting that the first forty days constitute a clearly distinguishable stage of embryo-genesis. He was particularly impressed by the absolute precision and accuracy of those sayings of the Prophet Muhammad . Then, during one conference, he gave the following opinion:

“So that the two hadeeths (the sayings of the Prophet Muhammad ) that have been noted provide us with a specific time table for the main embryological development before forty days. Again, the point has been made, I think, repeatedly by other speakers this morning: these hadeeths could not have been obtained on the basis of the scientific knowledge that was available [at] the time of their writing . . . . It follows, I think, that not only there is no conflict between genetics and religion but, in fact, religion can guide science by adding revelation to some of the traditional scientific approaches, that there exist statements in the Quran shown centuries later to be valid, which support knowledge in the Quran having been derived from God.”

The atheists will not confess the truth as they are allergic to the names "God" and "Muhammad".
 
Kinachotokea kwa sasa huko Indonesia, ambapo had I sasa zaidi ya watu 800 wamepoteza maisha ni ishara ya wazi kuwa hakuna Mungu.

Huyu Mungu wa upendo na mwenye uwezo uliopitiliza hawezi kuwcha maangamizi makubwa kiasi hiki.

Ni uvivu mkubwa sana wa kufikiri kusema kuwa janga linalowakumba wenzetu ni mpango wa Mungu. Mungu wa upendo anawapenda watu 800 kwa mara moja tena kwa hali ya ukatili namna hii? Kwa nini Mungu mwenye uwezo hajaweza kuepusha kadhia hii?

Bado ninakumbusha tu kuwa, Mungu ni dhana inayoiweka akili na uwezo wa binadamu wa kufikiri kwenyw utumwa mtakatifu.
Wewe ungekuwa huna uvivu wa kufikiri usingerahisisha kwa kuhitimisha hakuna Mungu kwa sababu kama hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom