Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wewe ungekuwa huna uvivu wa kufikiri usingerahisisha kwa kuhitimisha hakuna Mungu kwa sababu kama hiyo.

Hawa jamaa akili zao ni za ajabu sana, hawajui kwamba Mungu anayo nafasi yake na mtu anayo nafasi yake kwa kutumia akili aliyopewa na Mungu, mfano mtu anywe sumu kwa kusudi akifa utamlaumu Mungu kwa sababu mtu huyo kafa??, au utakanusha Mungu hayupo??,uzembe na ujinga wa mtu kutotumia akili alizopewa na huyo Mungu aje alaumiwe Mungu!!??,

Naam, kuna majanga ya asili ambayo yapo chini ya mamlaka ya Mungu na hayo yote wakati mwingine huwa ni adhabu (ukumbusho) baada ya watu kumsahau Mungu, hivyo Mungu anaandaa jambo ili watu waweze kumkumbuka baada ya kufanya maasi, na hii ni njia yake na kamwe hawezi kupangiwa na mtu yeyote kwani dunia ni yake na vyote vilivyomo ndani yake ni vyake.
 
Wewe ungekuwa huna uvivu wa kufikiri usingerahisisha kwa kuhitimisha hakuna Mungu kwa sababu kama hiyo.
Suala ni moja tu, contradictions. Kwa uwezo wa Mungu, na anavyofahamika kuwa ni wa upendo, muweza wa kila kitu. Disaster inayotokea huko Indonesia (na madhila mengine yanayotokea kwingineko, kama kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere n.k) ukisema yeye ndiye kapanga, basis huyu Mungu anakuwa ni mtu asiye na upendo hata chembe.

Ukisema ana uwezo uliopitiliza, inakuwaje anaruhusu madhila haya? Kwamba ameshindwa kuchukua watu wake mmoja mmoja (angalao) hadi atumie vimbunga na matetemeko ya ardhi, maji n.k kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja?

Uwezo wake ndio umekuwa mdogo hivyo hata akashindwa kuzuia mambo haya mabaya yanayowataabisha watu kila iitwayo leo?

Hivi hamuoni kumwomba Mungu ni sawa na kumfundisha kazi na pengine kumtilia shaka na uwezo wake? Huu nao ni mkanganyiko mwingine mkubwa sana.

Unamwomba, hakupi unachotaka, then siyo yeye anayekurudishia majibu kuwa amefanya lililowezekana na imeshindikana. Wewe mwenyewe unajipa wajibu wa kuwa messenger wa Mungu. Unajipa majibu kama vile, Mungu hajaamua, atajibu kwa wakati wake n.k.

Bila shaka unaweza kuona namna tulivyo kwenye utumwa mtakatifu. Tunashindwa kuishi maisha halisi, tunaishi maisha ya kuamini mambo yasiyokuwepo.
 
The atheists will not confess the truth as they are allergic to the names "God" and "Muhammad".
Kupinga tu na kuignore baadhi ya mambo ndio kazi yao kubwa,matazamo yao juu ya Muhammad na Qur'an ndio sababu ya kuwawekea mitazamo ya wanasayansi juu ya Qur'an na Muhammad. Najua wataignore tu.kama alivyofanya Kiranga kwa kuhamisha mjadala kwenye contradictions.
 
Ukitaka kuelewa vizuri Dhana ya Mungu, tafakari kuhusu Kizio (SI Unit).

Hivi kizio cha Kani ambacho ni Newton kwa mfano, ni kitu kilichopo mahali, kinachosababisha matokeo ya matumizi ya kani?

Tunaweza kujikuta tunaendelea kuuliza maswali ya kijinga jinga hivi. Kwamba, origin ya newton ni nini haswa? Ni kitu gani hiki kisichoonekana kinachosababisha matokeo haya? Tunaweza Julio man kitusaidie kusukuma gari lililokwama mahali labda? Hivi hiki kitu kina mwili, roho, kinaonekana? Kinashikika? Hii newton ni kitu gani basi? Kwa nini kina nguvu kuu lakini hakijiweki bayana?

Well, hebu karibu kufanisha SI Unit za quantities mbalimbali, halafu karibu kuvitafakari halafu ulinganishe na namna watu wanavyoamini uwepo wa Mungu
 
Suala ni moja tu, contradictions. Kwa uwezo wa Mungu, na anavyofahamika kuwa ni wa upendo, muweza wa kila kitu. Disaster inayotokea huko Indonesia (na madhila mengine yanayotokea kwingineko, kama kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere n.k) ukisema yeye ndiye kapanga, basis huyu Mungu anakuwa ni mtu asiye na upendo hata chembe.

Ukisema ana uwezo uliopitiliza, inakuwaje anaruhusu madhila haya? Kwamba ameshindwa kuchukua watu wake mmoja mmoja (angalao) hadi atumie vimbunga na matetemeko ya ardhi, maji n.k kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja?

Uwezo wake ndio umekuwa mdogo hivyo hata akashindwa kuzuia mambo haya mabaya yanayowataabisha watu kila iitwayo leo?

Hivi hamuoni kumwomba Mungu ni sawa na kumfundisha kazi na pengine kumtilia shaka na uwezo wake? Huu nao ni mkanganyiko mwingine mkubwa sana.

Unamwomba, hakupi unachotaka, then siyo yeye anayekurudishia majibu kuwa amefanya lililowezekana na imeshindikana. Wewe mwenyewe unajipa wajibu wa kuwa messenger wa Mungu. Unajipa majibu kama vile, Mungu hajaamua, atajibu kwa wakati wake n.k.

Bila shaka unaweza kuona namna tulivyo kwenye utumwa mtakatifu. Tunashindwa kuishi maisha halisi, tunaishi maisha ya kuamini mambo yasiyokuwepo.
Mie nataka hapo kwenye hitimisho la kuwa hayupo .hapo ndio nataka kujua umewezaje kuhitimisha kuwa hayupo na sio vinginevyo?
 
We vipi ???, Mungu kuchukua watu wake imekuwa shida??, mbona alipowawaleta duniani hatukukuona ukimpongeza??!!.

Kumbuka hata wewe atakuchukua tu, utake usitake [emoji16][emoji16][emoji16].

Kama unataka hama hapa duniani ukatafute "dunia" yako isiyokuwa na "trials and tribulations " au zuia usife.[emoji16][emoji16]
Nataka uniambie hao watu walioletwa dunian na mungu ni akina nani
 
Mokaze kwani yeye kujiita hivyo kuna tatizo gani?

Kama akiwa anayo matendo mazuri kushinda wewe mwenye majina unayoona mazuri nani atakuwa ana tabia njema nani atakuwa mkarimu?

Kwa hiyo cha muhimu ni jina au tabia njema?

Na mtu akiwa ana matendo mabaya halafu jina lake zuri je mtu huyu jina lake litamsaidia?
Nikweli kabisa maana kuna wakina mudy na god mitaan wanapiga kabari si mchezo ye kama ameona jina ndo linamfanya mtu awe mwema au mbaya hapo amebug
 
Nataka uniambie hao watu walioletwa dunian na mungu ni akina nani

Sisi sote na ulimwengu wote pamoja na vilivyomo tumeumbwa na Mungu, na hivyo sisi ni mali zake na akitaka anaweza kutuondosha wakati anapotaka na katika njia yoyote anayoona inafaa na hapo haulizwi na yeyote kama jinsi hakuulizwa na yeyote alipotuleta hapa duniani.
 
Dr. Joe Leigh Simpson is the Chairman of the Department of Obstetrics and Gynecology, Professor of Obstetrics and Gynecology, and Professor of Molecular and Human Genetics at the Baylor College of Medicine, Houston, Texas, USA. Formerly, he was Professor of Ob-Gyn and the Chairman of the Department of Ob-Gyn at the University of Tennessee, Memphis, Tennessee, USA. He was also the President of the American Fertility Society. He has received many awards, including the Association of Professors of Obstetrics and Gynecology Public Recognition Award in 1992. Professor Simpson studied the following two sayings of the Prophet Muhammad :

{In every one of you, all components of your creation are collected together in your mother’s womb by forty days...}

{If forty-two nights have passed over the embryo, God sends an angel to it, who shapes it and creates its hearing, vision, skin, flesh, and bones....}

He studied these two sayings of the Prophet Muhammad extensively, noting that the first forty days constitute a clearly distinguishable stage of embryo-genesis. He was particularly impressed by the absolute precision and accuracy of those sayings of the Prophet Muhammad . Then, during one conference, he gave the following opinion:

“So that the two hadeeths (the sayings of the Prophet Muhammad ) that have been noted provide us with a specific time table for the main embryological development before forty days. Again, the point has been made, I think, repeatedly by other speakers this morning: these hadeeths could not have been obtained on the basis of the scientific knowledge that was available [at] the time of their writing . . . . It follows, I think, that not only there is no conflict between genetics and religion but, in fact, religion can guide science by adding revelation to some of the traditional scientific approaches, that there exist statements in the Quran shown centuries later to be valid, which support knowledge in the Quran having been derived from God.”

Mealezo marefu na mazuri lakini mi sijaona Quran inapoelezea sayansi Huyo ni mwanasayansi katoa mawazo yake Siwezi kumpinga

Mi nataka utoe andiko linaloelezea sayansi kutoka ktk quran
 
Mealezo marefu na mazuri lakini mi sijaona Quran inapoelezea sayansi Huyo ni mwanasayansi katoa mawazo yake Siwezi kumpinga

Mi nataka utoe andiko linaloelezea sayansi kutoka ktk quran

Ungalikuwa unaelewa maana ya sayansi wala usingeuliza swali kama hilo.
 
Kwani sayansi ni nini?

Sayansi ni yafuatayo:-

Problem identification

Formulation of hypothesis

Data collection

Experimentation

Conclusion

Kwa hiyo unaposema quran kuna sayansi sijui unazungumzia sayansi gani?

Je Muhammad wakati anaandika quran alifata hizo njia?

Na kama hakufata hizo njia basi ujue alikuwa anapiga ramli hakuna sayansi hapo
 
Na ndiyo maajabu yenyewe yalipo kwamba hakufuata hizo njia ila alichokieleza ndivyo pia sayansi inavyoeleza hivyo hivyo. Kama ramli nayo pia ina uwezo huo basi sayansi ingekuwa haina maana kwetu kwa sababu tungetumia ramli tu na kusolve matatizo yetu bila kutumia gharama kubwa kuwekeza kwenye sayansi wakati ramli ipo.
 
Sayansi ni yafuatayo:-

Problem identification

Formulation of hypothesis

Data collection

Experimentation

Conclusion

Kwa hiyo unaposema quran kuna sayansi sijui unazungumzia sayansi gani?

Je Muhammad wakati anaandika quran alifata hizo njia?

Na kama hakufata hizo njia basi ujue alikuwa anapiga ramli hakuna sayansi hapo
kumbe muhamad ndo mwandishi wa quran?
 
Wewe sasa unataka kudanganya watu, nani alikuambia kuwa sayansi ni hayo mambo matano uliyoyaweka hapo??🤔🤔.

Hayo mambo matano ni taratibu zinazohusu tafiti za kisayansi na si vinginevyo, mfano katika Physics na Chemistry.na ndiyo maana kuna "formulation of hypothesis".

Na hizo hatua ulizozitaja zinawahusu watu (wanasayansi) ambao wanataka kuchunguza "our nature" ambayo tumeikuta tayari imekwisha umbwa na Mungu.

Hivyo hizo hatua ulizozitaja hazimuhusu Mungu ambaye ndiye aliyeumba "nature" na anajua kila kitu kuhusu nature, mfano Mungu katika Qur'an amezungumza juu ya expanding universe, amezungumza juu ya nguvu za uvutano, amezungumza juu ya the big bang amezungumza juu human embronic development, amezungumza juu ya black hole nk, mambo ambayo yamekuja kujulikana na wanasayansi karne ya 20 baada ya kufanya tafiti zilizohangaisha akili zao kwa muda mrefu wakati Qur'an ilisha weka wazi karibu miaka 1400 iliyopita.
 
Hizo zinaitwa scientific method je muhamad wakati anatengeneza quran je alifata njia hizo?

Kama jawabu ni hapana quran haiwezi kuwa sayansi itakuwa muhamad alikuwa anapiga ramli
 
kumbe muhamad ndo mwandishi wa quran?

Muhamad alikuwa hajui kusoma wala kaandika hivyo haiwezi kuandika quran

Ila yeye alikuwa ni kama mshairi akiwasomea mashairi maana quran ni mashairi ndio maana uzuri wa quran ni kiarabu kwakuwa ni mashairi ukibadilisha kwa lugha nyingine inakuwa majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom