Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Wewe unaweza kunipinga bila kujadili post zangu?

Mbona umeninukuu?

Unaji contradict kwa kunikataza kuongelea contradictions zilizo kwenye kitabu kisicho changu, wakati huo huo unanionesha makosa yangu yaliyo katika posts zangu.
Kwani post zako ni kitabu..!?

Mimi nafahamu Quran ndio kitabu_na ndio nakuepusha nayo kwa kuwa huijui

Kama post zishakua kitabu mbona na wewe unanukuu vitabu vyangu.!

Unajicontradict mwenyewe.

Unaweka sheria nisiangalie makosa kwenye vitabu visivyo vyangu, halafu wewe unaangalia makosa kwenye posts zisizo zako.
Unanisingizia tu wapi nimeweka sheria au kizuizi zaidi ya kukuepusha

Huelewi unakwenda au unarudi.

Hujui juu wapi na chini wapi, kulia wapi na kushoto wapi.
Hizi sifa zote zinakuhusu kwa kuwa umekariri

Wewe unayependa wema tupu bila ubaya

Utawezaje kujua juu bila chini..!?

Hujui hata kufikiri, seuze kujibizana!
Kajifunze Quran kwanza ndio uwe mjeuri vizuri acha kuiga_kwanza msahaulifu [emoji3][emoji16][emoji16]
 
Kwani post zako ni kitabu..!?

Mimi nafahamu Quran ndio kitabu_na ndio nakuepusha nayo kwa kuwa huijui

Kama post zishakua kitabu mbona na wewe unanukuu vitabu vyangu.!

Unanisingizia tu wapi nimeweka sheria au kizuizi zaidi ya kukuepusha

Hizi sifa zote zinakuhusu kwa kuwa umekariri

Wewe unayependa wema tupu bila ubaya

Utawezaje kujua juu bila chini..!?

Kajifunze Quran kwanza ndio uwe mjeuri vizuri acha kuiga_kwanza msahaulifu [emoji3][emoji16][emoji16]
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
This mighty be endless

Naomba tu niseme tatizo liliko hapa ni Imani kutofautiana na hii shida yote imesababishwa na babu zetu kutupa maarifa Haya bila ya evidence zozote Leo hii hata hii biblia quraan . ina contradiction nyingi mi nazani kulikua na umuhimu wa kuandika katiko mtiririko rahisi kabisa kwa wasomaji na unaoeleweka na hao manabii. Pia kulikuwa na haja ya walau hata huyu MUNGU wetu kujidhihirisha katika Dunia ya Leo..., maana shida nyingine hapa ni watu kutowahi kabisa kumuona huyu Mungu tunaeambiwa yuko na anaishi mahala .
 
Can't beat the God hocus pocus.

Actually "hocus pocus" ni corruption ya "Hoc est corpus meum" "This is my body."

Wakristo wanavyoambiwa kula mwili wa Yesu katika sakramenti.

Ukiongelea "hocus pocus" kama habari ya uongo inakurudisha kwenye habari kwamba kusema Mungu yupo ni uongo.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Siwezi kuthibitisha Mungu in "your way"---- njia unayotaka uwekewe utambuzi unaoutaka wewe

Siwezi kuthibitisha "in your way" njia ya eti, mtu awekewe "chromosomal inspiration" katika "genes" zake ndipo amtambue Mungu😁😁😁😁, ??!!!!!., sasa ubongo utafanya kazi gani??, Atheists mna matatizo makubwa sana, mnaruka huko na huko na hoja very absurd. 🤔🤔🤔,sasa si muumbe viumbe wenu wenye sifa hizo,!!

Ukumbusho:-
Kumbuka ile tuhuma ya A+ (The A+ scandal) unatakiwa ujisafishe nayo kwanza ili urudishe heshima yako, ujue umeleta Kiranga humu jf, bado hatukuekewi 😁😁😁.
 
Ok nimefuta ujinga, sababu najivunia kuwa mjinga. Tuendelee "ULISHAWAHI KUTAFUTA MAJIBU YA MASWALI YAKO KWENYE HIVYO VITABU"

Aawali ya yote.

Kama unajivunia ujinga kwa nini umeufuta?
 
Siwezi kuthibitisha Mungu in "your way"---- njia unayotaka uwekewe utambuzi unaoutaka wewe

Siwezi kuthibitisha "in your way" njia ya eti, mtu awekewe "chromosomal inspiration" katika "genes" zake ndipo amtambue Mungu😁😁😁😁, ??!!!!!., sasa ubongo utafanya kazi gani??, Atheists mna matatizo makubwa sana, mnaruka huko na huko na hoja very absurd. 🤔🤔🤔,sasa si muumbe viumbe wenu wenye sifa hizo,!!

Ukumbusho:-
Kumbuka ile tuhuma ya A+ (The A+ scandal) unatakiwa ujisafishe nayo kwanza ili urudishe heshima yako, ujue umeleta Kiranga humu jf, bado hatukuekewi 😁😁😁.
Unataka nianze kukutukana matusi ya nguoni sasa.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Tukana na mimi nitakujibu "accordingly" na hapo siyo dhambi kujihami.[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji317]
Wewe unavyoandika hapa tu tu unajitukana mwenyewe.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Unataka nianze kukutukana matusi ya nguoni sasa.

Thibitisha Mungu yupo.
Huna dogo..!

Babu yako mchungaji hakukufunza Tai_Chi za yesu[emoji3]

Tatizo ulikua mjeuri[emoji16][emoji16]
 
Kwani ngumbaru asiyejua kusoma hawezi kujua sayansi?

Mbona kuna ngumbaru wasiojua kusoma ni herbalists wanatibu watu kwa mitishamba, lakini bado ni ngumnaru wasiojua kusoma.

What is your point?

Kitabu cha Mungu kinakuwaje na contradiction? Mbona suala la contradiction hulijibu?

Unaelewa kitabu kikiwa na kila kitu sawa, kikawa na kosa moja tu, tayari kimeingia doa na hakiwezi kusemwa sawa kwamba ni cha Mungu?

Huyo Mungu alishindwa kufanya Quran ikose contradiction?

“As a scientist, I can only deal with things which
I can specifically see. I can understand embryology and develop-mental biology. I can understand the words that are translated to me from the Qur’an. As I gave the example before, if I were to
transpose myself into that era
,knowing what I knew today and describing things, I could not describe the things which were described. I see no evidence for the fact to refute the concept that this individual, Muhammad, had to be developing this information from some place."

Hayo ni maneno ya mwanasayansi kuhusiana na Muhammad na Qur'an,sasa wewe unatuambia kuwa Muhammad katunga tu hayo mambo tena ni ngumbaru,hapo ndio penye point yangu kwamba hilo suala linawezakana vp?
 
Muhammad katunga kwamba maneno yametoka kwa Mungu.

Huyo Mwanasayansi anayesema ana deal na vitu anavyoviona, kashamuona Mungu?
 
This mighty be endless

Naomba tu niseme tatizo liliko hapa ni Imani kutofautiana na hii shida yote imesababishwa na babu zetu kutupa maarifa Haya bila ya evidence zozote Leo hii hata hii biblia quraan . ina contradiction nyingi mi nazani kulikua na umuhimu wa kuandika katiko mtiririko rahisi kabisa kwa wasomaji na unaoeleweka na hao manabii. Pia kulikuwa na haja ya walau hata huyu MUNGU wetu kujidhihirisha katika Dunia ya Leo..., maana shida nyingine hapa ni watu kutowahi kabisa kumuona huyu Mungu tunaeambiwa yuko na anaishi mahala .
Watu wanaona kabisa athari za madawa ya kulevya na bado wanayatumia, nao mwishoni huishia kuwa waathirika wa madawa hayo.
 
Muhammad katunga kwamba maneno yametoka kwa Mungu.

Huyo Mwanasayansi anayesema ana deal na vitu anavyoviona, kashamuona Mungu?
Ndiyo maana nataka ueleze huyo Muhammad amewezaje kutunga tu hayo tena katika kipindi hicho? Achana na hilo hitimisho la huyo mwanasayansi kwa mtazamo wake kila mtu ana mtazamo wake,mie nataka wewe ueleze ni vp aliweza kutunga Muhammad?
 
Wewe unavyoandika hapa tu tu unajitukana mwenyewe.

Thibitisha Mungu yupo.

Najitukana kwa jambo lipi ??

Wewe nimegundua "you are hot tempered" unapobanwa kwa hoja na una "lose temper" matokeo yake unaamua kutukana ikiwa kama your "only rescue recourse and survival mode"

Wewe hukujua kwamba unaweza kuulizwa juu ya jambo lolote ulilo/unalolileta hapa jf kwa muktadha wa kumkanusha Mungu??. Sasa ukitakiwa kuthibitisha unageuka mbogo !!.sasa ulitumwa na nani kulileta??, hukujua kwamba jambo hilo linaweza kuwa ni hoja itakayokuja kukudhuru mwenyewe??,kama uliteleza kuileta basi sema au kama ulikosea rekebisha na uilete katika njia inayoingia akilini na ukifanya hivyo kamwe sitaigusa tena na tutaendelea na mambo mengine na your integrity will be restored, I'm talking about the A+ scandal.

Kama wewe unaposisitiza tukuthibitishie uwepo wa Mungu hatushikwi na ghadhabu, in the same way, usishikwe na ghadhabu ninapokutaka uthibitishe ukweli wa zawadi ya A+ uliyopewa chuoni huko Marekani.

Wewe ni mwenyeji zaidi humu jf, kuliko mimi na kama heshima ya ukongwe unayo, basi, ni kubwa kuliko mimi sasa "don't let us down".
 
Nyie waumini wa "dini" ya Atheism mnashida sana,hata mnachoandika hamkielewi, angalia ulichoandika:-

" ni muda sasa wa ku put hpothesis zingine kuhusu nani kaumba ulimwengu huu maana anayeitwa Mungu na kutajwatajwa sana kwenye vitabu vya dini alishaonekana kuwa na contradiction kibao zinazomfanya asiweze kuwepo".

[emoji1312]Hayo maneno yako yanaonyesha kuwa unaamini kuwa yupo yule (animated) aliyeumba huu ulimwengu isipokuwa sio Mungu, hapa inaonyesha jina "Mungu" ndilo unaloliogopa sana!!, sasa Muite kwa jina unalolitaka wewe lakini aliyeumba huu ulimwengu na vilivyomo YUPO na hapo ndiyo the end of the topic kwa sababu hiyo ni sub topic ilijichomoza kwamba Mungu hayupo kutokana na main topic (makosa kumi ya Mungu----- '"naye apishe mbali").

Unasema "tunalazimisha kila kitu kiwe na aliyekiumba lakini tukiulizwa nani kamuumba Mungu hatuna majibu"

[emoji1312]Suala hapa siyo kumjua au kutokumjua aliyeumba, Suala ni Mungu yupo? na kuumba ni (ishara) matokeo ya yeye kuwepo.

Mfano unapokuta nyumba mahali fulani,bila shaka, utajua kuwa hiyo nyumba ilijengwa na mtu, japo humjui aliyeijenga kamwe huwezi kudhani kuwa hiyo nyumba ilijijenga yenyewe "unless you are an insane".

Unasema :- "hatumjui aliye muumba Mungu"

[emoji1312]Aliyemuumba Mungu hayupo kwa sababu Yeye hakuumbwa, Yeye ni nafsi inayojitegemea katika kila hali, yaani ni nafsi isiyofungwa na (mahali--muda),ndiyo maana hana mwanzo na mwisho , He is not a space-time bound, kwa maana hiyo Yeye ni dahari (eternal) na pia omnipresent ndiyo maana ameweza kuumba kila kitu the perishable and the non perishables, hana wakati (time) yaani the past,the present and the future kwake ni muda uleule, wakati ameuweka ni kwa ajili yetu sisi watu (relativity).

Hivyo Mungu anakuwa "causa causans" kutokana na sifa nyingi alizonazo ambapo akili ya mtu inakuwa "limited to understand "

Sasa kama kimzingira ya kawaida unashindwa kutambua uwepo wa Mungu, je utaweza kuelewa elimu ya ETERNITY !!??[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mkuu wewe una nguvu kiasi gani za kufahamu kuwa Mungu hakuumbwa kumshinda hata Hugo Mungu mwenyewe ambaye ameshindwa kujieleza kuwa hakuumbwa? Unajua ni jambo la kushangaza sana!

Wewe unawezaje kutambua kuwa Mungu aliumba akili ya mwanadamu ambayo ni limited ilihali Mungu mwenyewe anashindwa kuelezea hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom