Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Nacheka sana bro. Nyie watu hamuogopi hata kusema wazi. Nimekujibu swali lako kitambo na nimkujibu tena hivi punde.

Bro kwanza umeshauliza matatibu kama hakuna dawa ya ukimwi ?

Halafu Allah ameshaumba na akaweka wawakilishi wake hapa duniani kwa lengo la kutufafanulia maneno yake,sasa wewe ulivyokuwa na uwezo mdogo wa akili unataka niwe mjinga kama wewe nikujibu kama unavyotaka wewe.

Siwezi kukujibu kijinga kama unavyotaka wewe bro.

Hivi kweli kutomuelewa kwako Mola kwa hiari yako na ujinga wako ndio useme Allah hayupo ? Wakati wakati huo huo huthibitishi kutokuwepo kwake ? Huu ufikiriaji na ujinga nauna kwenu wakanamungu,ila kwangu mtatia akili tu.

Madaktari na matatibu wote walishasema hakuna dawa ya kuponyesha Ukimwi,

Sasa wewe uliyesoma quran kuwa dawa ya Ukimwi ipo, unaweza niambia ni ipi?
 
Endelea kuwauliza mzee usichoke. Aya haiongopi.

Hahahahaaaaa!!!

Mbavu zangu jamani.

Hizo aya za kusema jua huwa linazama kwenye matope meusi.

Mnakaririshwa kila ugonjwa una dawa ila ikifika muda wa kututajia dawa za hayo magonjwa kama vile Ukimwi, Kansa, Kisukari na kadhalika, mpira mnawatupia wengine ambao tayari walishathibitisha dawa hizo hazipo!

Huu ujinga siwezi ubeba kichwani mwangu aise eti kisa tu nimeahidiwa kuwalamba mabikira sabini siku nikifa.
 
Suala la jua kuzama kwenye matope muulize mtoa mada alijibiwa vipi. Hili jambo dogo sana.

Tatizo huwa mnalalamika sana halafu mkiambiwe mthibitishe mnashindwa.

Ahadi ziko nyingi bro huko peponi wewe umeona mabinti tu ? Kuna mpaka kumuona Mola wetu kwa macho kama vile tuonavyo jua.

Bro usilie lie onyesha uongo wa madai yako.
 
Ingekuwaje kama kungekuwa na huzuni siku zote ?

Ingekuwaje kama kungekuwa kuna njaa peke yake bila shibe ?

Kwenye moja ya majibu yako umesema mwenyewe kuwa tunapofikiria elimu tufikirie na ujinga pia.

Kwa kuwa maandiko yenu yanasema mbinguni hakuna shida,hakuna njaa,hakuna magonjwa yaani hakuna madhila yoyote maana yake according to you hata kinyume chake pia inawezekana na watu wangeishi tu.

Ama unasema pia kwamba mbinguni kuliko na uzima pekee kuna magonjwa pia maana Allah haweki kitu kimoja tu bali na kinyume chake kama ulivyosema kabla?

Mwisho kumbuka,maswali yako ya uwepo wa njaa na huzuni iwe pekee yake ama iliyochanganyikana na shibe plus furaha kunathibitisha Mungu hayupo.

Angekuwepo wala hizo huzuni na njaa visingefikirika achilia mbali kuwepo wake.
 
Ya Zurri kami saatal ulaa?

Naona unalikimbia hilo swali je

Sasa hivi saa ngapi?

Leo tarehe ngapi?

Leo siku gani?

Ukiweza kuyajibu hayo maswali nitakubali kuna watu duniani wanajua nini maana ya muda
Kaka mkubwa unazidi kupuyanga. Nimeshakujibu kitambo na hapa nakujibu tena.

Leo ni tarehe 16/Muharramu/1440 Hijiriyya sawa na tarehe 25/9/2018 Miladiyya,na hivi sasa ni saa 15:59 alasiri.

Una swal lingine ?
 
Unaweza niambi
Suala la jua kuzama kwenye matope muulize mtoa mada alijibiwa vipi. Hili jambo dogo sana.

Tatizo huwa mnalalamika sana halafu mkiambiwe mthibitishe mnashindwa.

Ahadi ziko nyingi bro huko peponi wewe umeona mabinti tu ? Kuna mpaka kumuona Mola wetu kwa macho kama vile tuonavyo jua.

Bro usilie lie onyesha uongo wa madai yako.

Unaweza niambia dawa ya kuponya Ukimwi ni ipi?
 
Kwenye moja ya majibu yako umesema mwenyewe kuwa tunapofikiria elimu tufikirie na ujinga pia.

Kwa kuwa maandiko yenu yanasema mbinguni hakuna shida,hakuna njaa,hakuna magonjwa yaani hakuna madhila yoyote maana yake according to you hata kinyume chake pia inawezekana na watu wangeishi tu.

Ama unasema pia kwamba mbinguni kuliko na uzima pekee kuna magonjwa pia maana Allah haweki kitu kimoja tu bali na kinyume chake kama ulivyosema kabla?

Mwisho kumbuka,maswali yako ya uwepo wa njaa na huzuni iwe pekee yake ama iliyochanganyikana na shibe plus furaha kunathibitisha Mungu hayupo.

Angekuwepo wala hizo huzuni na njaa visingefikirika achilia mbali kuwepo wake.

Kaka naona umechagua kutokuelewa.

Kaka hivi unakubali kama huwezi kuthibitisha kama Allah mlezi hayupo ?
 
Unaweza niambi

Unaweza niambia dawa ya kuponya Ukimwi ni ipi?

Bro unataka niandike kwa lugha gani ? Usipende kupoteza muda aisee. Nimekwambia mimi dawa ya Ukimwi siijui na kunilazimisha kusema kitu ambacho sikijui ni kuikosea adabu elimu.

Kisha nikakwambia ya kiwa kutoijua dawa ya ukimwi haiondoi Ukweli ya kuwa Ukimwi una dawa.

Nimekupa msingi thabiti kabisa.
 
Kaka naona umechagua kutokuelewa.

Kaka unakubali kama huwezi kuthibitisha kama Allah mlezi hayupo ?

Wewe ukiniambia kuwa hakuna mzazi mwenye umri wa miaka 30 ambae ana mtoto mwenye umri wa miaka 50,

Hapohapo nikakwambia thibitisha kama hayupo kweli,

Huyo mzazi unaweza mtoa wapi ili mimi nimuone na kusema kweli hayupo?

Ukishamleta ndiyo utakuwa umenithibitishia kwamba hayupo?

Kisichokuwepo wala hakihitaji kuthibitishwa hakipo,nje ya sifa za uwepo wake.

Wewe unayesema yupo ndiyo unapaswa kuthibitsha yupo.

Allah mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote hayupo kwa sababu dhana ama sifa za uwepo wake zinajipinga zenyewe.

Ni kama isivyowezekana kuwepo kwa mtu mwenye miaka 30 halafu mwanae wa kumzaa akawa na miaka 50.

Na kuthibitishwa kwake kuwa hayupo ni kutazama sifa za kwamba haiwezekani mzazi kuwa na umri pungufu ya mwanae wa kumzaa.

Na mimi nasema Mungu hayupo kwa sababu ya sifa lukuki alizonazo na ambazo zinajipinga na hivyo kumfanya asiwekane kuwepo.

Tafakuri fupi ni hii,

Kwa uwezo wote alio nao Allah, anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?
 
Umetumia kiungo gani kufikiria mkuu? usiniambie ni ubongo
Kijana hapa sijafikiria .. nimekupa taarifa ambazo nina uhakika nazo. Kwa macho yangu nimeona wagonjwa wakipona kwa njia hizo mbili.
Tatizo lako hujishughulishi kutafuta maarifa. Ugonjwa huu ni wa ajabu sana na sio HIV peke yake - maradhi mengine yana uhusiano na mapepo. Believe me or not!
 
Unaambiwa Allah kaziba mioyo yao na masikio yao, maono yao kayawekea pazia. Na hao wana hukumu kubwa.

Yani Aallah anakufanya usimjue, halafu anakuhukumu kwa sababu hujamjua!

Unaambiwa kitabu cha Mungu hicho.

Surah Al-Baqarah [2:7]

SAHIH INTERNATIONAL
Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.

Mkuu Kiranga unaonyesha wazi aliyeendika hiyo quran alijisahau sasa mtu hushamziba asikujue una muhukumu vipi?
 
Wewe ukiniambia kuwa hakuna mzazi mwenye umri wa miaka 30 ambae ana mtoto mwenye umri wa miaka 50,

Hapohapo nikakwambia thibitisha kama hayupo kweli,

Huyo mzazi unaweza mtoa wapi ili mimi nimuone na kusema kweli hayupo?

Ukishamleta ndiyo utakuwa umenithibitishia kwamba hayupo?

Kisichokuwepo wala hakihitaji kuthibitishwa hakipo,nje ya sifa za uwepo wake.

Wewe unayesema yupo ndiyo unapaswa kuthibitsha yupo.

Allah mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote hayupo kwa sababu dhana ama sifa za uwepo wake zinajipinga zenyewe.

Ni kama isivyowezekana kuwepo kwa mtu mwenye miaka 30 halafu mwanae wa kumzaa akawa na miaka 50.

Na kuthibitishwa kwake kuwa hayupo ni kutazama sifa za kwamba haiwezekani mzazi kuwa na umri pungufu ya mwanae wa kumzaa.

Na mimi nasema Mungu hayupo kwa sababu ya sifa lukuki alizonazo na ambazo zinajipinga na hivyo kumfanya asiwekane kuwepo.

Tafakuri fupi ni hii,

Kwa uwezo wote alio nao Allah, anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?

Kaka nitajie sifa 5 za Mola kwazo zinajipinga.

Pili,sisi hatuzungumzii dhana katika kumueleza Mola wetu mlezi bali ni hakika na kweli tupu.

Kaka hapa kwenye jiwe ndio umenichekesha sana,Allah akisema kuwa na inakuwa. Kwa maana hakuna kinachomshinda kwa lolote.

Nasubiri hoja za kielimu sio dhana na wasi wasi tele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom