And why have you brought some of these ARGUMENTS by REFERRING written words from the HOLY BOOK(s)?
This simply implies that YOU ARE COMPLETELY NOT CERTAINLY with what you proclaiming in here.
Mungu akikosea kwa muktadha upi?1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did...sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Kwahyo Mungu ana upendeleo?Uvumilivu wa Mungu umevuka mipaka aisee yaani wewe mbwiga unamdhihaki YEHOVA kwa kiwango hiki? Kisa tu amekupa akili haujinyei? Amekupa afya hujui wodi ya wagonjwa wa kansa ikoje? Du hii sasa nizaidi yakufuru kwakweli!!!!
There is nothing worse than being an agent of Satan. Satan is using you to sin against God. The moment you leave the world, if you will not have repented, the very same Satan will torment you in hell. Watch out dude.Hope you 've got to know the function of eyebrows something you didn't, now accept defeat passively and take precaution never to enter mental battlefield with an empty mind, meanwhile expand your biological faculty!!!
Nimesoma hapo tu "makosa 10 aliyofanya Mungu, nilichunguza kwa makini hlo neno mungi alivoliandika limeanza na herufi kubwa yaani (Mungu)nikagundua anamzungumzia Mungu alieziumba mbingi na nchi.
Kwa taarifa tu ndg umetenda dhambi kubwa mno, bila shaka yyte ww unauhusiano mkubwa sana na freemason ambao ajenda yao kubwa ni kugeuza alichofanya Mungu alie hai kuwa kinyume, ndo maana leo wanawake na wanaume ni sawa, wanaume wanaoana wao kwa wao nk.
Wewe upo pamoja na mm. Ni wana falsafa walitumia uwezo wao. Ndio maana huwezi kujua Mungu yupo mpaka ufundishwe. Na wafundishaji walikua na lengo lao. Big up brother napenda watu mfano wenu maana inatia moyo kuona tunafungukaHakuna "Mungu", ni hadithi tu.
Kama unabisha thibitisha.
nimecheka sana mkuu hapo kwenye redMagu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!
Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did...sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
kweli aliye andika biblia alikua ni kichaa au tuseme alikua ni msanii anaye hangaika kutafuta mali.Sasa ukitafsiri Bible kihivyo si utaona Bible nzima imeandikwa na kichaa?
Em jaribu kupitia na hii.
Zab 139: 18 Kama mimi lazima kuhesabu [mawazo ya Mungu kwa ajili yangu], wao ni zaidi kuliko mchanga: wakati mimi macho, bado niko pamoja nawe.
Zab 78:27 Yeye mvua [ndege waweze kula] pia juu yao kama vumbi, na ndege feathered kama wengi kama mchanga wa bahari
Job 29:18 Ndipo nikasema, Nitakufa ndani ya kioto changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga.
1Ki 4:20 Yuda na Israeli walikuwa wengi [chini ya utawala wa Sulemani], kama mchanga wa pwani kwa wingi, wakila na kunywa, na kufurahi.
1Ki 4:29 Mungu akampa Sulemani hekima na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ufuoni mwa bahari.
2Sa 17:11 Kwa hiyo shauri langu Israeli wote kuwa kwa ujumla wamekusanyika kwako, toka Dani mpaka Beer-sheba, kama mchanga wa bahari kwa wingi; nawe kwenda vitani katika mtu wako mwenyewe.
1Sa 13: 5 Nao Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Waisraeli, magari thelathini elfu, na wapanda farasi sita elfu, na watu kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi, nao wakaja juu, wakapiga kambi yao katika Mikmashi, upande wa mashariki wa Bethaveni.
Amu 7:12 Wamidiani na Waamaleki na wana wa mashariki walikuwa wametua bondeni, mfano wa nzige kwa wingi; na ngamia zao walikuwa hawana hesabu; mfano wa mchanga wa ufuoni, kwa wingi.
Jos 11: 4 Nao wakatoka nje, wao na jeshi zao zote pamoja nao, watu wengi mno, kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi, pamoja na farasi na magari mengi sana.
Deu 28:62 Nanyi mtasalia wachache kwa idadi, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa sababu kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako.
Mimi nimeuliza maswali yanayonitatiza...so mwenye majibu aniambie.Mungu akikosea kwa muktadha upi?
Mkosoaji ni nani? Ni huu uzao wake au ule wa nyoka?
Anayethibitisha kuwa haya ni makosa ni nani? Ni huyu mwanadamu asiye timia?
Chanzo cha yote haya ninini? ni hii elimu tuliyoambiwa tukaitafute? Maarifa ya kutaka kujifanya tunajua kuliko yeye?
View attachment 375563
Iko hivi÷kinyago ulichokichonga mwenyewe kamwe hakiwezi kukutisha View attachment 375564
Shetani kaumbwa na mungu ndio maana mungu alipomuumba adam na kuagiza apewe heshima kwani alikua na elimu kubwa aliyopewa na mungu yeye alikataa kumpa heshima hiyo na kusema mimi nimeumbwa kwa moto yeye kaumbwa kwa udongo kwa kujikweza huko akawa kamkasilisha mungu na kumfukuza katika himaya yake hapo shetani alijua uwezo wa mungu hivyo akamuomba amuachie uwezo wa kuwapotosha watu nae mungu akamkubalia na kumwambia hao utakao washawishi na wewe mtaingia jehanamWenye ufahamu zaidi wa masuala aliyouliza mhusika wamjibu na kumpa elimu mhusika aliyeuliza hayo maswali kqa faida yake na faida ya watu wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kusaidiwa.
Whatever wherever i have only one thing about it.kweli aliye andika biblia alikua ni kichaa au tuseme alikua ni msanii anaye hangaika kutafuta mali.