Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hapa Tanzania kuna waislamu wengi tu hawajui kuisoma quran kwa sababu imeandikwa kiarabu,

Yaan mtu anaona kiarabu ni lugha bora kushinda lugha nyingine

Kwani mungu alikuwa mwarabu mbona biblia inaandikwa kwa kiswahili? Kwanini quran waarabu wanakataa sasa sisi tuijuaje?
 
Haujajibu swali,najua kuwa wewe hauamini Mungu ila nataka kufahamu kwaninia umejuaje kuwa hayupo?

Kwa sababu wapo watu kama nyie ambao hawaamini Mungu ila wao hawasemi kuwa yupo wala hayupo,ila nyie mnasema Mungu hayupo ndio nataka kujua mmejuaje?

Sioni logic ya kuwepo kwake wewe unayesema yupo niambie umetumia logic gani na mimi nizitumie ili nimjue kama yupo?
 
Naona kama ametungwa na watu

Naposema sioni logic namaanisha umjue huyo mungu au usimjue huyo mungu hupungukiwi wala uongezeki chochote

Je wewe umetumia njia gani kumjua yupo?
My Friend, you must be very carefully when trying to say something about GOD, sisi wenzio tunaogopa sasa wewe mwenzetu sijui umeegemea nini, lakini nikuonye usijeingia kwenye trouble.
 
Magu alisema wale walioimba 'wana imani na nani sijui' angewatimua wote siku hiyo hiyo... Mimi nasema kama ningelikuwa Mungu pindi tu kidole chako kinabonyeza kitufe cha kupost hapo hapo ningekugeuza senene!!

Unafanya dhihaka kama hizi na bado uko hai! Aisee Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana... Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
Tatiizo ni kukaririshwa viju vingine visivyokuwa na uhalisia. Mungu yuko ndani ya kila mtu. Anatenda kazi kulingana na bidii ya huyo mtu basi.
 
Samahani sana mkuu,

Nilikuwa nasema hivi huyo ndugu hakubali kabisa uwepo wa Mungu na wewe umenukuu aya za Qur'an ili azisome, lakini hatari ninayoiona ni kwamba atazipuuza tu kwani kama Mwenye hayo maneno (Mungu) anakataliwa na kupingwa kwamba hayupo vipi maneno yake yatakubaliwa kwamba yapo??😁😁

Nadhani Kinachotakiwa kwa watu kama hao ni kurejea ishara za mazingira tunamoishi na maumbile yetu sisi wenyewe tumjulishe kuwa mwanadamu ndiye kiumbe "the most complex" akiwemo na yeye mwenyewe----- sasa ni nani kamuumba binadamu na complexity yake??, nani kaumba ulimwengu wote?? nk.

Hayo ni maoni yangu tu.

Shida yenu waamini Mungu huwa ni hii,

Kwamba mnalazimisha kila kitu kiwe na aliyekiumba,lakini mkiulizwa nae Mungu kaumbwa na nani,mnakosa majibu.

Kama ambavyo hamumjui aliyemuumba Mungu wenu ndivyo hivyo hatujui nani kaumba pia huu Ulimwengu na vilivyomo.

Ni muda sasa wa Ku put forward hypothesis zingine kuhusu nani kaumba Ulimwengu huu maana anayeitwa Mungu na kutajwatajwa sana kwenye vitabu vya dini alishaonekana kuwa na contradictions kibao zinazomfanya asiwezekane kuwepo.

Na ukiingia kiundani zaidi utagundua mwanadamu ndiyo kamuumba huyo Mungu kifikira,kiuhalisi hayupo.

Kama yupo thibitisheni.
 
My Friend, you must be very carefully when trying to say something about GOD, sisi wenzio tunaogopa sasa wewe mwenzetu sijui umeegemea nini, lakini nikuonye usijeingia kwenye trouble.

Hofu na kifo ndio kikwazo cha maendeleo ukiwa na mawazo ya kugopa kufa sana na ukaishi kwa hofu basi una develop tabia ya hatari sana ambayo itakupelekea kuiona dunia si lolote wala si chochote maana unajua utakufa tu

Mi nafurahiaaisha maisha ninayoyaona hayo nisioyaona sina habari nayo

Jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa unao uelewa upi? Kama vile kabla ya kuzaliwa ulikuwa hujui chochote na ndio utakapo kufa itakuwa hivyo hivyo
 
Naona kama ametungwa na watu

Naposema sioni logic namaanisha umjue huyo mungu au usimjue huyo mungu hupungukiwi wala uongezeki chochote

Je wewe umetumia njia gani kumjua yupo?
Ushasema ametungwa tu na watu na ukahitimisha hayupo,ndiyo maana mie nakuhoji vizuri huo msimamo wako.

Unasema kumjua au kutomjua Mungu hakuongezi wala kupunguza chochote,je unaweza ukaelezea ni kwanini sasa watu duniani bado wanaendelea kuamini jambo kubwa kama hili ambalo wakati mwengine huleta mijadala na sayansi?
 
Hapo ndipo nilikuwa napasubiri wewe ukiwa miongoni mwa hao watu embu niambie nyie mnatumia vigezo gani kumjua?

Huenda na sisi tukamjua nipe elimu
Tz
 
Hofu na kifo ndio kikwazo cha maendeleo ukiwa na mawazo ya kugopa kufa sana na ukaishi kwa hofu basi una develop tabia ya hatari sana ambayo itakupelekea kuiona dunia si lolote wala si chochote maana unajua utakufa tu

Mi nafurahiaaisha maisha ninayoyaona hayo nisioyaona sina habari nayo

Jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa unao uelewa upi? Kama vile kabla ya kuzaliwa ulikuwa hujui chochote na ndio utakapo kufa itakuwa hivyo hivyo
Kama kabla ya kuzaliwa hukuwa ukijua chochote basi hauwezi kusema na ukifa itakuwa hivyohivyo,maana umeshasema huna unalojua kabla ya kuzaliwa na hivyo huna unalojua pia baada ya kufa.
 
Kama kabla ya kuzaliwa hukuwa ukijua chochote basi hauwezi kusema na ukifa itakuwa hivyohivyo,maana umeshasema huna unalojua kabla ya kuzaliwa na hivyo huna unalojua pia baada ya kufa.

wewe umeshawahi kufa? kinachoendelea baada ya kufa unakijua?
 
Umeongea point sanaa yaaan
Ahsante; tuendelee kuelezana ukweli mkuu.
Watu wanashindwa kujiuliza .. haya tunayoyajua ni kwa sababu tuliambiwa.
Je hakuna mengine ambayo tulifichwa?
Na hayo yaliyofichwa yalifichwa kwa sababu gani?
Na kwa nini yasiwekwe wazi ili kila mtu atumie akili zake kutafakari?
 
wewe umeshawahi kufa? kinachoendelea baada ya kufa unakijua?
Maandiko yanasema aliyekufa hajui lolote!
Sikuwahi kufa lakini naamini katika maandiko kuwa kabla sijazaliwa nilikuwepo; hivyo hata baada ya kufa nitaendelea kuwepo. Kitakachoharibika ni mwili tu. Pumzi alopuliza Mungu kwangu ina dhamani kubwa hivyo haiwezi kupotea.
 
Hapo ndipo nilikuwa napasubiri wewe ukiwa miongoni mwa hao watu embu niambie nyie mnatumia vigezo gani kumjua?

Huenda na sisi tukamjua nipe elimu
Tz
Kama unadhani kuna nafasi ya kujua ni vp Mungu yupo basi usingehitimisha kuwa Mungu hayupo,ushahitimisha kuwa hayupo na ukasema kabisa kuwa watu wametunga na hakuna kinachoongezeka wala kupungua kwa kumjua au kutokumjua.

Ndiyo maana mie nataka nijue zaidi kutoka kwenye hilo hitimisho lako,nimeuliza kwanini watu wanaamini Mungu hadi sasa hali ya kuwa hakuna athari zozote ya kujua au kutokujua kwenye hili jambo?

Nakuuliza wewe sababu najua ushachunguza kote huko na ukahitimisha kuwa hayuko.
 
Ahsante; tuendelee kuelezana ukweli mkuu.
Watu wanashindwa kujiuliza .. haya tunayoyajua ni kwa sababu tuliambiwa.
Je hakuna mengine ambayo tulifichwa?
Na hayo yaliyofichwa yalifichwa kwa sababu gani?
Na kwa nini yasiwekwe wazi ili kila mtu atumie akili zake kutafakari?

Maneno yako si yapingi upo katika haki wengi hawajui unayoyajua wewe nimependa uchambuzi wako

Jiulize duniani kuna mataifa mangapi mfano wachina wakiomba mungu kwa njia wanayoijua wao wanafanikiwa huku waislam wana mungu wao wakimuomba anawapa na wakristo wana mungu wao wakimuomba anawapa achilia mbali wahindu wabudha wagiriki wiccan masonic wachawi druidism duality atheism judaism na waafrika kabla ya uislam na ukristo

Kwa nini kila mtu akiomba anafanikiwa kwa njia anayoijua mwenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom