Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,472
- 151,563
Ukishatumia "na" "au" "isipokuwa" ushatumia mantiki.Hahaha,bro nakutesa sana,leta hitimisho la kimantiki katika shahada bro.
Ila inawezekana hujui hilotu, ndiyo maana unaipinga mantikiwakati hapo hapo unaitumia.