Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Bro una matatizo sikufichi,wewe ni hujui halafu unajidai unajua,wewe ni wa kuachwa kwani unaingia katika kundi la WAPUMBAVU.
Umenukuu hadithi ambayo ukiisoma kwa maandishi yako unakosea,sehemu ya 'ayni unaweka hamzatul qatwi'i,sasa mtu kama wewe sina muda wa kupoteza na wewe,maana nikiendelea kujibizana na wewe kwanza sifaidiki chochote yaani sipati kitu cha kujifunza kutoka kwako,pili utazidi kupata madhambi tu.
Ahsante kwa kujiona wewe upo katika wenye kujua hapo inaonyesha mungu hayupo, mungu mwenye busara na hekima kwanini anaumba wapumbavu na werevu ? Mbona hana fair
Maneno yako yamejaa shari ila kwasisi waungwana hatuwezi kukudharau wala kukutoa kasoro hata ukosee vipi ila sisi huwa tunasema
"Faidhaa khatwaba humul jahiiluuna qaluu salama"