Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kwa hiyo ili Mungu uamini kwamba yupo ni lazima watu wasife sio?
Hapana, kifo ni sehemu ndogo tu ya contradictions lukuki zinazoonesha Mungu hayupo.

Hata kama watu wasingekufa, lakini wangekuwa wanaumwa Malaria, bado ulimwengu huo ungekuwa na contradiction ya kuwezekana kuumwa Malaria.

Point ya msingi ni kwamba, Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hatakiwi kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote unawezekana.

Kuwezekana kwa ubaya wowote katika ulimwengu ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
 
Kwa hiyo Mungu ni katili?
 
Kwa hiyo Mungu ni katili?
Si kwambaMungu ni katili.

Mungu hayupo.

Huyo anayesemwa yupo katungwa na watu tu.

Ndiyo maana anaonekana anajichanganya.

Hapa tunaambiwa ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote.

Hapa tunaambiwa ni katili anaua watu dunia nzima kwa gharika, waliomkosea na wengine hata hawana akili ya kukosea.

Ukimchunguza huyu Mungu utaona ni hadithi tu za kutungwa na watu.
 
Mbona hata wewe unakubali hakuna Mungu bila uthibitisho.
Bila uthibitisho au hujui kusoma ukiwekewa uthibitisho?

Halafu unaelewa hata kama unalosema ni kweli hujathibitisha Mungu yupo bado?
 
Si kwambaMungu ni katili.

Mungu hayupo.

Huyo anayesemwa yupo katungwa na watu tu.

Ndiyo maana anaonekana anajichanganya.

Hapa tunaambiwa ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote.

Hapa tunaambiwa ni katili anaua watu dunia nzima kwa gharika, waliomkosea na wengine hata hawana akili ya kukosea.

Ukimchunguza huyu Mungu utaona ni hadithi tu za kutungwa na watu.
Ukifanya kosa ambalo likapelekea akuadhibu, je suala hilo litaondoa upendo wake kwako na kumuona hafai?
 
Ukifanya kosa ambalo likapelekea akuadhibu, je suala hilo litaondoa upendo wake kwako na kumuona hafai?
Mungu huyo asingeweza kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika kosa.

Hapo ndipo ile habari nzima ya "mabaya yanakuwepokwa sababu watu wamefanya dhambi".

Kwani Mungu hakuweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haipo, haijulikani, na wala haiwezi kufikirika?
 
Kwa hiyo unakosoa uumbaji wake?
 
Bila uthibitisho au hujui kusoma ukiwekewa uthibitisho?

Halafu unaelewa hata kama unalosema ni kweli hujathibitisha Mungu yupo bado?
Wewe hata kujaribu kuthibitisha hujawahi huwa unakwepa kwa kusema kisichokuwepo hakithibitishiki,kwa hiyo nayosema sio kama ni kweli bali ni kweli hujawahi kuthibitisha.
 
Wewe hata kujaribu kuthibitisha hujawahi huwa unakwepa kwa kusema kisichokuwepo hakithibitishiki,kwa hiyo nayosema sio kama ni kweli bali ni kweli hujawahi kuthibitisha.
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction" hapa.

Wewe hata Mungu unayemzungumzia huwezi kumuelezea ana characteristics gani.

Le alone kuthibitisha yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Jibu swali kulingana na lilivyoulizwa, kama hujui sema sijui.
Swali limeulizwa kwa msingi mbovu.

Lina assumption ya uongo.

Kama swali la "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"

Ukiuliza rangi ya wimbo wa taifa, swali halijibiki, kwa sababu limejengwa katika msingi wa imani kwamba wimbo una rangi.

Wakati wimbo hauna rangi.

Sasa nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani utanijibu vipi?
 
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction" hapa.

Wewe hata Mungu unayemzungumzia huwezi kumuelezea ana characteristics gani.

Le alone kuthibitisha yupo.

Kwa sababu hayupo.
Ndiyo maana wasioamini dini huwa wanaungana na wewe kwenye hizo contradictions japo wanaamini Mungu,halafu bado unaniambia umethibitisha hakuna Mungu!
 
Ndiyo maana wasioamini dini huwa wanaungana na wewe kwenye hizo contradictions japo wanaamini Mungu,halafu bado unaniambia umethibitisha hakuna Mungu!
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Ni wewe ndiyo unasema hayupo halafu ni wewe ndiye unayesema haiwezekani kuthibitisha kwa sababu hayupo.
 
Swali limeulizwa kwa msingi mbovu.

Lina assumption ya uongo.

Kama swali la "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"

Ukiuliza rangi ya wimbo wa taifa, swali halijibiki, kwa sababu limejengwa katika msingi wa imani kwamba wimbo una rangi.

Wakati wimbo hauna rangi.

Sasa nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani utanijibu vipi?
Unadhani maafa mbalimbali mfano tetemeko la ardhi husababishwa na nini?
 
Dini= Religion =دين

Hapo umetafsiri sijakuambia unipe tafsiri

Naomba maelzo ya dini sitaki tafsiri[/QUOTE]

Eti unaomba (definition) maelezo ya (neno) "dini" . sasa hayo maelezo niyatoe wapi ilhali wewe hukubali uwepo wa Mungu ndiyo maana nikasema wewe utakuwa na dini yako ya kipagani na miungu yako ya bandia, na unatakiwa wewe mwenyewe utoe definition ya dini kulingana na dini yako ya kipagani.

Wewe mwanzoni mwa moja ya post zako ulinukuu sehemu ya aya ya Qur'an (2:256) inayosema:-

لا إكراه في الدين قد تبين الرشد من الغى فمن يكفر بالطغوت و يومن بالله فقد استمسك بالعدوة---------

Yaani:- "Hakuna shuruti (kulazimisha/mabavu/karaha) katika dini (ya kiislamu) , hakika haki imebainika kutokana na uovu/makosa , na yeyote akataaye kuongozwa na waovu na akamuamini Allah hakika ameshika kishiko madhubuti-----"

👆🏻Hiyo aya inazungumzia hakuna karaha katika dini ya Uislamu tu wala haizungumzii juu ya dini zingine na hakuna karaha kwa sababu haki imekwisha bainika katika upotevu kwahiyo mtu anayo hiyari kuifuata haki au kuikataa bila kulazimishwa , yaani mafundisho ya Qur'ani ni haki tupu na mtu akiyasoma kwa mazingatio basi ataiona haki bila kulazimishwa basi akikubali au kuikataa hiyo ni up to him/her full stop.

Nimesema dini iliyotajwa hapo ni dini ya Islamu kwa sababu neno la kiarabu lilotumika katika hiyo aya kwa maana umaalum ni " al ", (definite article) kwa kiingereza hiyo ni "the" inayo "specify" kitu.(الدين) au akichambua herufi mojamoja ni:-

ا ل د ي ن

Na ndiyo maana kwa mara ya kwanza uliponuukuu hiyo sehemu ya hiyo aya nikakuuliza je wewe unamuamini Allah?, kwa sababu ukiangalia maneno yanayoendelea mbele kwenye hiyo aya yanasema:-

Wa yuminu billahi faqadi astamsaka bilug'dwati'. Yaani:-

na anayemuamini ALLAH kwa hakika ameshika kishiko madhubuti.

Hivyo basi unaponukuu aya za Qur'an na ukataka zitete imani yako ya "Agnostic atheism" ni sawa na kutengeneza kamba bila kujua kwamba kamba hiyo itatumika kukunyonga wewe mwenyewe hapo baadaye.😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom