Makongoro Unatia Kichefuchefu!

Makongoro Unatia Kichefuchefu!

Jamani mlioko TZ tuambieni kama ndege imefika kama mheshimiwa makongoro alivyaahidi
 
mkuu invisible, mwaga data, kama una shaka nayo utasema kama ina shaka na watu watafutatilia kwa karibu.
 
vioja
mkuu angalia usiitwe na weye chuki binafsi.....
Mhhhhhh embu tumwagie na weye una nini?????huyu mwanahalisi inaonekana kweli ana machungu na hao watu..punguza ukali ila naona anakuja na vitendo sasa sijui tukimbilie wapi jamani sie baba zetu waliopo kwenye hizo dili
m naomba si watoto tuachwe jamani tusiguswe....walioiba ni baba zetu na kama mna ushahidi nendenimahakamani??????
teeeehteeeeeh
 
huuu kweli mwaka wa mungu wa shetwani umeshapita tumwahie basi inviscible mbona unatutia hamu alafu unatuacha tujilambe lammbe wengine watu wazima kulambwa suna
zimwage jamani zipi hizo??????
 
EEH KWELI HALI NI YA HATARI
TUSUBIRI YATAKOANGUKA TUANZE KUSHEREKEA.....INVSC HATA MIE NIMEPATA DATA ZAIDI ILA HIZI zinatisha....
 
aaa mnatutania au. tangu jana data hizo zimenadiwa lakini hatuzioni!
 
Uchafu mtupu kiongozi!!! Watu wanauziana ndege kama magari mtaa wa lumumba??? Balaa tupu nchi imegeuzwa kama kijiwe deal zinapigwa kona zote...Mkuu lete mambo tutawapigia kelele hao za kindumbwendumbwe chaalia . Shaka ondoa kabisa...
 
Hivi kwani lazima tuwe na shirika la ndege????????????. wapeni nafasi Precision wasiokula hela ya Mtanzania watusafirishe

Precision ni ya Basil Pesambili Mramba na wenzake, kwa hiyo nayo si safi sana kama unavyodhani.
Mramba ndio kanunua ndege mbovu ya raisi (10%) akiwa waziri wa noti enzi za Mkapa, kwa hiyo huenda kuna fungu fulani chafu katika precision ambalo ni letu mie na wewe!
 
habari ndio hiyoooooooooooooooooo


wooooh hongereni good nnews sie precision tushaanza na mwanza na tunaelekea angola na nairobi..nasikia linawasili kesho mchana saa nane bila viti sasa mmeleta kopo linalokuja kulala kweli jamani watanzania mtawaeleza nini ...na zile doller 360,000 mlizokuwa mkitoa zilikwenda wapi..waandishi wa habari mnaombwa mje kuona kilichomo ndani kama mlivyokuja precission ingawa mkaona hatari kutangaza tumeleta ndege shega tunashukuru pesa za wasukuma tushaanza kuzitumia...

hawa wakubwa wao kama ni kweli wana haki ya kuulizwa na kujibu,,na natumaini wataingia kimyakimya.....
 
Precision ni ya Basil Pesambili Mramba na wenzake, kwa hiyo nayo si safi sana kama unavyodhani.
Mramba ndio kanunua ndege mbovu ya raisi (10%) akiwa waziri wa noti enzi za Mkapa, kwa hiyo huenda kuna fungu fulani chafu katika precision ambalo ni letu mie na wewe!

g550 mbovu? since when
 
ahhhhhhhhhhhhhhhh, sasa nimejua anapopata hela za kuhonga wasichana ana msichana wake anajitamba kila siku jinsi anavyohudumiwa na mzee kumbe ndio nyenzo za kutunzia nyumba ndogo kwa gharama za mtz maskini! Chungu chako Mzee Makongoro kinachemka jikoni kitaepuliwa muda si mrefu ndio utajiju.

UFISADI MONEY NYUMBA NDOGO 10 HIV
 
Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na ni nini ilikuwa conclusion? ................... wengine hatukuweza kufuatilia
 
Hiyo imekaa vizuri.Naona hapa inabidi mtu ajiuzulu hatuwezi vumilia upuuzi kama huu.
Nchi inateketea,Mwanahalisi nakushauri hizo information uwape vinara wetu kule bungeni ili waweze kuwashughulikia hawa wabinafsi na fisadi.
Hivi kwa nini TUKO HIVI?Hatuogopi hata baada ya braza edo na wenzie kwenda down kwa vitu kama hivi?
SHAME ON U ATCL
 
Back
Top Bottom