Makongoro Unatia Kichefuchefu!


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Nimemsikia mheshimiwa mmoja wa wizara ya miundo mbinu huyu si mwingine chapombe makongoro...kwa kweli amesikitisha sana kwa uozo aliokuwa anaongea pale bungeni laaiti huyu mwanaizaya tungekuwa nae kwenye ndege ya juzi toka South Africa hakika asingeongea upumbavu kama huu....

PILI nyie wafanyakazi mmetukanwa mko wapi au mnaogopa ajira zenu..... Hii ni haki yenu aiwezekani mtu mkubwa kama Mh. Makongoro kuita wafanyakazi wambea na waongo...... Nashukuru Mungu nilikuwa makini sana katika kufatilia hoja zake na pia napenda kuwahikikishia nilishiriki katika kutafuta ndege hiyo ya Airbus na ukweli halisi ni kama ifuatavyo na baada ya hapo nyie wasomaji na mchuje na kuamua nani mbea na nani mwongo:

NAIBU WAZIRI AU WAFANAYAKAZI????
AIRBU 320 kabla ya kupatikana huko El-Salvador kulitokea email nyingi tu nilizapata toka kwa marafiki zangu ATCL WANATAFUTA NDEGE... TUKAKUTANA NA MMOJA WA RUBANI ALIEKUWA NAAE ANASHUGULIKIA HILO...

KATIKA MCHAKATO NILIMWAMBIA KUNA AIRBUS 6 WAHUSIKA WANATOA OFFER YA MAINTENANCE KWA MWAKA MMOJA NA PIA WANAFUNDISHA RUBANI WAFANYAKAZI WA NDANI ENG NA WAFANYAKAZI WA CHINI IDADI YOYOYTE..BAADA YA HAPO NIKAAMBIWA NITAPIGIWA SIMU...

NIMEKUWA NIKIVUTANA SANA NA JAMAA ZANGU NA HATA HUYO CEO BW DAVID MATTAKA... NA KUWAAMBIA NENDENI NA WATAALAM MKAANGALIE ZILIPO UBORA WAKE... NIKAPIGIWA SIMU NA MMOJA WA MARUBANI AKIULIZA JAMAA ATATOA PERCENT NGAPI KWETU NA TUKO KUMI????

KWELI NILISHTUKA MAANA NILIHISI HATA KAMA TEN PERC WATU WATANO SI MBAYA NKWAAMBIA ATATOA MILLION 500... WAKADAI NI DOGO SANA... BAADA YA HAPO ,,, WAKAWA WANATUMA EMAIL... MWISHO NIKAWAJULISHA MWENYE NDEGE AMESEMA MWISHO SIKU FULANI KAMA IMESHINDIKANA BASI... HAWAKUWEZA KUWASILIANA MPAKA NILIPOPATA TAARIFA WAMEPATA NDEGE AIRBUS TOKA EL-SALVADOR....

PILI


NDEGE HII NI MBOVU NA KWATAARIFA TU TULIYONAYO KWA MAANDISHI NA BARUA ZIPO NDEGE HII WALIAMBIWA ATC WALIPIE KILA TAKATAKA ITAKAYOTENGENEZWA NA WARAKA TUNAO NA KWAKUWA HUYU MH AMEANZA RASMI KUDANGANYA UMMA WACHA TUMWAMBIE SAUTI YA WATU SAUTI YA MUNGU UKWELI UTAJULIKANA...

NDEGE HII WANA NDUGU NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA AJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA ATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI UKOUKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU AKAWAKATILIE WATU KWA MAANDISHI....

MATUMIZI YAKE NI KAMA IFUATAVYO
TOKA MWEZI WA KUMI ATCL WAMEANZA KULIPA NDEGE AMBAYO HAIPO NA WALA AIJAFIKA DOLLAR 420. HII NI PAMOJA NA ADHABU YA KUTOCHUKUA MAPEMA DOLLAR 420,000 * OCT, NOV, DEC, JAN, FEB, MAR na APR.

KUNA KIBARAKA MMOJA WA MEMBER WA MANAGEMENT ALIPELEKWA KULE TOKA MWEZI WA KUMI HAKUNA KAZI YOYOTE ANAYOIFANYA YEYE ANALIPWA DOLLAR 300 KWA SIKU.

DOLLAR
300 * 31 OCT 9300
300 * 30 NOV 9000
300 * 31 DEC 9300
300 * 30 JAN 9000
300 * 28 FEB 7200
300 * 31 MAR 9300
300 * 30 APR 9000

HIZI ZOTE NI DOLLAR MARA 1300 ZA KITANZANIA EWE MTANZANIA UJAJENGA ZAHANATI KUNA RUBANI MWINGINE NAYE ALIKAA HUKO MIEZI 2 ANALIPWA DOLLAR 400 *60 24,000 USD.

KUNA RUBANI MWINGINE AMBAE MPAKA HIVI SA SA YUKO HUKO HAIJULIKANI ANASUBIRI NINI NATUMAINI MATAKKA ANAJUA UCHIFU HUU YEYE ANA MWEZI SASA BAADA YA KUONA WENZAKE WANAENDA HAWARUDI AKAONA NA YEYE AKAANGALIE NDEGE IKOJE NAE ANALIPWA DOLLR 300 *30 DOL 9000

JAMANI HAPO HATUJAWATUMIA PESA ZILIZOTUMWA KWA AJILI YA MATENGENEZO YA HIYO NDEGE ANAYOKATAA HUYO MHE NA KUAMUA KUWAITA WAMBEA NA KUMBE YEYE NI MBEA NA MNAFIKI.... MHE WAZIRI NASIKIA WEWE ULIKAA NA CEO MATAKA NA BAADA YA KUMBIWA KUNA WATU WANAMCHOKONOA UKAMWAMBIA AWAFUKUZIE MBALI... MIMI SIONI SWALA NI KUWAJIBIKA AU KUBADILI MAKOSA AU KUFUKUZA WATU?

SIJAJUA WANGAPI LAKININATUMAINI HAKI ITATENDEKA NA MOTO UTAUONA MAHAKAMANI BWANA DAVID...

NDEGE WALIZOLETA NDOGO NI MBOVU NA NI AIBU TUPU KAMA ANABISHA
AULIZE WATAALAM MAINJINIA BADALA YA KUKAA NA KUNYWA POMBE OVYO AKIWAITA WAFANYAKAZI WAMBEA NA WANAFIKI... SIJUI KAMA HAWA WAFANYAKAZI WANA CHAMA CHAO. WAKATI NIKIWA TTCL USHENZI KAMA HUU TUNAMFATA HUKOHUKO DODOMA... MSIKUBALI KUADHIRIKA HUKU WAKITUMIA PESA OVYO KISA KULINDANA
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Kwa Wenye Macho Waandishi Wahabari Tunaomba Siku Itakapokuja Mje Ndani Ya Ndege Muangalie Viti Vyake Kabla Ya Kujua Ndani Kukoje Na Msikubali Kuhongwa Muwakilishe Kilichomo
Mtanzania Halisi
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Sorce Nipashe.. Ter 25 2008.bungeni Jana
 
U

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
317
Likes
53
Points
35
U

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
317 53 35
mwaka huu sijui tu. utakumbukwa na kila Mtz

10% ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo. Ni hatari mno
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
602
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 602 280
Hizi nondo muhimu sana hapa JF....

Karibu! Tena uzuri ULISHIRIKI!
 
U

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
317
Likes
53
Points
35
U

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
317 53 35
Unganisha na ile nyingine admn ziko mbili
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Likes
234
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 234 160
Mwanahalisi,
Nina swali dogo la kijinga. Nijuavyo mimi Airbus
hutengenezwa Ufaransa. Kitu gani kilipelekea kuamuliwa ndege inunuliwe El-Salvador? Of all places?
 
Killuminati

Killuminati

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2007
Messages
326
Likes
21
Points
35
Killuminati

Killuminati

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2007
326 21 35
mmmh, i need time to swalllow this, however just a quick check Mwanahalisi, tell me who is(or are) the good, the bad and the ugly in this one??Please reveal!!
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
602
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 602 280
Unganisha na ile nyingine admn ziko mbili
Usione kimya... Nilikuwa naipa presentation ya kusomeka vema...

Unajua nini... Imekuja wakati MUAFAKA! Halafu uzuri mwandishi "ALISHIRIKI"

Am working on your ushauri
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,259
Likes
30,553
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,259 30,553 280
Kama Mwanahalisi una uhakika na hizi NONDO,basi usibakishe kitu.Mchango wako katika kuweka mambo hadharani ni wa muhimu sana kwa nchi yako hasa katika wakati huu wa mapambano na mafisadi
 
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2008
Messages
1,220
Likes
2
Points
135
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2008
1,220 2 135
Hivi mabishano yoote haya ya wazalendo kutakia mema nchi na kuokoa maisha ya watu, Makongoro hajali, hajali kabisa uhai wa tanzania, makongoro unataka nini?? utatuambia nini siku watu watakapo poteza maisha, hivi we makongoro tamaa zitakupeleka wapi..

naomba niishie hapa kwa sasa maana naona hasira zinanipanda taratibu na naona naharibu afya yangu kwa hasira
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
602
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 602 280
Kama Mwanahalisi una uhakika na hizi NONDO,basi usibakishe kitu.Mchango wako katika kuweka mambo hadharani ni wa muhimu sana kwa nchi yako hasa katika wakati huu wa mapambano na mafisadi
Mkuu,,,

Kama umeangalia statistics za JF ziko hivi:

JamboForums.com Accurate Forum Statistics
Registered Members: 5,045 | Total Threads: 9,525 | Total Posts: 174,072
Currently Active Users: 774 (141 members and 633 guests)
Welcome to our newest member, mwanahalisi
Huyu ndiye mwanachama mpya lakini kaja na nondo kweli. Tatizo anaonekana offline. We need him to clear some quiz... mwanahalisi, njoo online tafadhali!
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
602
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 602 280
naomba niishie hapa kwa sasa maana naona hasira zinanipanda taratibu na naona naharibu afya yangu kwa hasira
Mkuu, tulikuwa na hamu ya kuyajua haya... Tatizo mengine yakijulikana yanatia hasira. Ila ni vema kuujua ukweli ili ukuweke huru. Now you atleast have a new thing in your head (about ATCL)...!
 
Single D

Single D

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
459
Likes
5
Points
35
Single D

Single D

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
459 5 35
NDEGE HII WANA NDUGU NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA AJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA ATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI UKO UKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU AKAWAKATILIE WATU KWA MAANDISHI....


Mmh!Hii nayo kali sana!
Ina maana TZ tunauziwa ndege mbovu tu?Maana hata ile ya Rais nayo imeshindwa kupaa angani na imetumia vijisenti.

Sheria ya manunuzi TZ(PROCUREMENT ACT) haijapewa makali ya kutosha kukata mirija ya ubadhirifu na kuwatia hatiani watakaobainika kukiuka.Kwa nini vinunuliwe vitu vibovu au vilivyo chini ya kiwango bora?Utasikia Wizara ya Afya wana vifaa vibovu vya kupimia ukimwi,Mara Rada yetu ni mbovu,na........... vingine lukuki
 
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2008
Messages
1,220
Likes
2
Points
135
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2008
1,220 2 135
Kama Mwanahalisi una uhakika na hizi NONDO,basi usibakishe kitu.Mchango wako katika kuweka mambo hadharani ni wa muhimu sana kwa nchi yako hasa katika wakati huu wa mapambano na mafisadi
Na kama ukiwa na nyaraka na ukaziscan hapa WAMEKWISHAAAA.....jitahidi mkuu uzipate, muda umefika sasa wakutochekeana nao... pumabfu hawa,wanjali matumbo yao na hela za kununulia ARV kuliko maisha yetu
 
J

Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Messages
1,321
Likes
35
Points
145
J

Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2007
1,321 35 145
Tunaitaji wanachama wa aina hii hapa JF, maana lazima tumwage nondo za maana ili kuakikisha kuwa mafisadi wa mali za umma wanateketea, huyu Makongoro anawazimu hajui mwaka huu si wa kutetea ujinga, anatukana wafanyakazi wakati ndo wanazalisha, atulie asubiri zamu yake kunyolewa.
 
J

Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Messages
1,321
Likes
35
Points
145
J

Jamco_Za

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2007
1,321 35 145
NDEGE HII WANA NDUGU NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA AJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA ATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI UKO UKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU AKAWAKATILIE WATU KWA MAANDISHI....


Mmh!Hii nayo kali sana!
Ina maana TZ tunauziwa ndege mbovu tu?Maana hata ile ya Rais nayo imeshindwa kupaa angani na imetumia vijisenti.

Sheria ya manunuzi TZ(PROCUREMENT ACT) haijapewa makali ya kutosha kukata mirija ya ubadhirifu na kuwatia hatiani watakaobainika kukiuka.Kwa nini vinunuliwe vitu vibovu au vilivyo chini ya kiwango bora?Utasikia Wizara ya Afya wana vifaa vibovu vya kupimia ukimwi,Mara Rada yetu ni mbovu,na........... vingine lukuki
Halafu makongoro ambaye ni mtaaramu wa manunuzi na ugavi anaongea pumba badala ya kusema ukweli kinachoendelea, itabisdi tuanze kujiuliza kama anafanya makusudi maana yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa NBMM anafaamu sio kwamba hafaamu ila analeta za kulindana.
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
Halafu makongoro ambaye ni mtaaramu wa manunuzi na ugavi anaongea pumba badala ya kusema ukweli kinachoendelea, itabisdi tuanze kujiuliza kama anafanya makusudi maana yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa NBMM anafaamu sio kwamba hafaamu ila analeta za kulindana.
Anajipendekeza, kuna kitu anakitafuta
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
602
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 602 280
... NIKAPIGIWA SIMU NA MMOJA WA MARUBANI AKIULIZA JAMAA ATATOA PERCENT NGAPI KWETU NA TUKO KUMI????

KWELI NILISHTUKA MAANA NILIHISI HATA KAMA TEN PERC WATU WATANO SI MBAYA NKWAAMBIA ATATOA MILLION 500... WAKADAI NI DOGO SANA... BAADA YA HAPO ,,, WAKAWA WANATUMA EMAIL... MWISHO NIKAWAJULISHA MWENYE NDEGE AMESEMA MWISHO SIKU FULANI KAMA IMESHINDIKANA BASI...
Haka ka kipengele ndiko tatizo kwangu haswa! Na haya ndiyo yanayoleteleza mambo kuwa yalivyo sasa Tanzania.

Mungu inusuru nchi yetu mikononi mwa mafisadi!
 
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2008
Messages
1,220
Likes
2
Points
135
T

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2008
1,220 2 135
Mkuu, tulikuwa na hamu ya kuyajua haya... Tatizo mengine yakijulikana yanatia hasira. Ila ni vema kuujua ukweli ili ukuweke huru. Now you atleast have a new thing in your head (about ATCL)...!

Yani kila siku jipya tena linakera haswa na hawa watu wanajibu utumbo tuu, jinsi walivyokuwa weupe kichwani kiongozi anathubutu kusema mambo ya umbea bungeni??? anathubutu kusema wafanyakazi wambea?? kwanza atuambie umbea maanayake nini kama naye si mmbea... ukosefu wa akili kabisa huu, mkuu hawa watu nanataka tufike tusikokutaka na wataacha midomo wazi wakati wao ndo wanalianzisha
 

Forum statistics

Threads 1,236,274
Members 475,050
Posts 29,252,401