1.NDEGE HII NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA HAJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA HATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI HUKOHUKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU....
MATUMIZI YAKE NI KAMA IFUATAVYO
TOKA MWEZI WA KUMI ATCL WAMEANZA KULIPA NDEGE AMBAYO HAIPO NA WALA HAIJAFIKA DOLLAR 420. HII NI PAMOJA NA ADHABU YA KUTOCHUKUA MAPEMA DOLLAR 420,000 * OCT, NOV, DEC, JAN, FEB, MAR na APR.
KUNA KIBARAKA MMOJA WA MEMBER WA MANAGEMENT ALIPELEKWA KULE TOKA MWEZI WA KUMI HAKUNA KAZI YOYOTE ANAYOIFANYA YEYE ANALIPWA DOLLAR 300 KWA SIKU.
DOLLAR
300 * 31 OCT 9300
300 * 30 NOV 9000
300 * 31 DEC 9300
300 * 30 JAN 9000
300 * 28 FEB 7200
300 * 31 MAR 9300
300 * 30 APR 9000
HIZI ZOTE NI DOLLAR MARA 1300 ZA KITANZANIA EWE MTANZANIA UJAJENGA ZAHANATI KUNA RUBANI MWINGINE NAYE ALIKAA HUKO MIEZI 2 ANALIPWA DOLLAR 400 *60 24,000 USD.
KUNA RUBANI MWINGINE AMBAE MPAKA HIVI SA SA YUKO HUKO HAIJULIKANI ANASUBIRI NINI NATUMAINI MATAKKA ANAJUA UCHIFU HUU YEYE ANA MWEZI SASA BAADA YA KUONA WENZAKE WANAENDA HAWARUDI AKAONA NA YEYE AKAANGALIE NDEGE IKOJE NAE ANALIPWA DOLLR 300 *30 DOL 9000
JAMANI HAPO HATUJAWATUMIA PESA ZILIZOTUMWA KWA AJILI YA MATENGENEZO YA HIYO NDEGE ANAYOKATAA HUYO MHE NA KUAMUA KUWAITA WAMBEA NA KUMBE YEYE NI MBEA NA MNAFIKI.... MHE WAZIRI NASIKIA WEWE ULIKAA NA CEO MATAKA NA BAADA YA KUMBIWA KUNA WATU WANAMCHOKONOA UKAMWAMBIA AWAFUKUZIE MBALI... MIMI SIONI SWALA NI KUWAJIBIKA AU KUBADILI MAKOSA AU KUFUKUZA WATU?