Makongoro Unatia Kichefuchefu!

Nimemsikia mheshimiwa mmoja wa wizara ya miundo mbinu huyu si mwingine chapombe makongoro...kwa kweli amesikitisha sana kwa uozo aliokuwa anaongea pale bungeni laaiti huyu mwanaizaya tungekuwa nae kwenye ndege ya juzi toka South Africa hakika asingeongea upumbavu kama huu....

PILI nyie wafanyakazi mmetukanwa mko wapi au mnaogopa ajira zenu..... Hii ni haki yenu aiwezekani mtu mkubwa kama Mh. Makongoro kuita wafanyakazi wambea na waongo...... Nashukuru Mungu nilikuwa makini sana katika kufatilia hoja zake na pia napenda kuwahikikishia nilishiriki katika kutafuta ndege hiyo ya Airbus na ukweli halisi ni kama ifuatavyo na baada ya hapo nyie wasomaji na mchuje na kuamua nani mbea na nani mwongo:

NAIBU WAZIRI AU WAFANAYAKAZI????
AIRBU 320 kabla ya kupatikana huko El-Salvador kulitokea email nyingi tu nilizapata toka kwa marafiki zangu ATCL WANATAFUTA NDEGE... TUKAKUTANA NA MMOJA WA RUBANI ALIEKUWA NAAE ANASHUGULIKIA HILO...

KATIKA MCHAKATO NILIMWAMBIA KUNA AIRBUS 6 WAHUSIKA WANATOA OFFER YA MAINTENANCE KWA MWAKA MMOJA NA PIA WANAFUNDISHA RUBANI WAFANYAKAZI WA NDANI ENG NA WAFANYAKAZI WA CHINI IDADI YOYOYTE..BAADA YA HAPO NIKAAMBIWA NITAPIGIWA SIMU...

NIMEKUWA NIKIVUTANA SANA NA JAMAA ZANGU NA HATA HUYO CEO BW DAVID MATTAKA... NA KUWAAMBIA NENDENI NA WATAALAM MKAANGALIE ZILIPO UBORA WAKE... NIKAPIGIWA SIMU NA MMOJA WA MARUBANI AKIULIZA JAMAA ATATOA PERCENT NGAPI KWETU NA TUKO KUMI????

KWELI NILISHTUKA MAANA NILIHISI HATA KAMA TEN PERC WATU WATANO SI MBAYA NKWAAMBIA ATATOA MILLION 500... WAKADAI NI DOGO SANA... BAADA YA HAPO ,,, WAKAWA WANATUMA EMAIL... MWISHO NIKAWAJULISHA MWENYE NDEGE AMESEMA MWISHO SIKU FULANI KAMA IMESHINDIKANA BASI... HAWAKUWEZA KUWASILIANA MPAKA NILIPOPATA TAARIFA WAMEPATA NDEGE AIRBUS TOKA EL-SALVADOR....

PILI

NDEGE HII NI MBOVU NA KWATAARIFA TU TULIYONAYO KWA MAANDISHI NA BARUA ZIPO NDEGE HII WALIAMBIWA ATC WALIPIE KILA TAKATAKA ITAKAYOTENGENEZWA NA WARAKA TUNAO NA KWAKUWA HUYU MH AMEANZA RASMI KUDANGANYA UMMA WACHA TUMWAMBIE SAUTI YA WATU SAUTI YA MUNGU UKWELI UTAJULIKANA...

NDEGE HII WANA NDUGU NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA AJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA ATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI UKOUKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU AKAWAKATILIE WATU KWA MAANDISHI....

MATUMIZI YAKE NI KAMA IFUATAVYO
TOKA MWEZI WA KUMI ATCL WAMEANZA KULIPA NDEGE AMBAYO HAIPO NA WALA AIJAFIKA DOLLAR 420. HII NI PAMOJA NA ADHABU YA KUTOCHUKUA MAPEMA DOLLAR 420,000 * OCT, NOV, DEC, JAN, FEB, MAR na APR.

KUNA KIBARAKA MMOJA WA MEMBER WA MANAGEMENT ALIPELEKWA KULE TOKA MWEZI WA KUMI HAKUNA KAZI YOYOTE ANAYOIFANYA YEYE ANALIPWA DOLLAR 300 KWA SIKU.

DOLLAR
300 * 31 OCT 9300
300 * 30 NOV 9000
300 * 31 DEC 9300
300 * 30 JAN 9000
300 * 28 FEB 7200
300 * 31 MAR 9300
300 * 30 APR 9000

HIZI ZOTE NI DOLLAR MARA 1300 ZA KITANZANIA EWE MTANZANIA UJAJENGA ZAHANATI KUNA RUBANI MWINGINE NAYE ALIKAA HUKO MIEZI 2 ANALIPWA DOLLAR 400 *60 24,000 USD.

KUNA RUBANI MWINGINE AMBAE MPAKA HIVI SA SA YUKO HUKO HAIJULIKANI ANASUBIRI NINI NATUMAINI MATAKKA ANAJUA UCHIFU HUU YEYE ANA MWEZI SASA BAADA YA KUONA WENZAKE WANAENDA HAWARUDI AKAONA NA YEYE AKAANGALIE NDEGE IKOJE NAE ANALIPWA DOLLR 300 *30 DOL 9000

JAMANI HAPO HATUJAWATUMIA PESA ZILIZOTUMWA KWA AJILI YA MATENGENEZO YA HIYO NDEGE ANAYOKATAA HUYO MHE NA KUAMUA KUWAITA WAMBEA NA KUMBE YEYE NI MBEA NA MNAFIKI.... MHE WAZIRI NASIKIA WEWE ULIKAA NA CEO MATAKA NA BAADA YA KUMBIWA KUNA WATU WANAMCHOKONOA UKAMWAMBIA AWAFUKUZIE MBALI... MIMI SIONI SWALA NI KUWAJIBIKA AU KUBADILI MAKOSA AU KUFUKUZA WATU?

SIJAJUA WANGAPI LAKININATUMAINI HAKI ITATENDEKA NA MOTO UTAUONA MAHAKAMANI BWANA DAVID...

NDEGE WALIZOLETA NDOGO NI MBOVU NA NI AIBU TUPU KAMA ANABISHA
AULIZE WATAALAM MAINJINIA BADALA YA KUKAA NA KUNYWA POMBE OVYO AKIWAITA WAFANYAKAZI WAMBEA NA WANAFIKI... SIJUI KAMA HAWA WAFANYAKAZI WANA CHAMA CHAO. WAKATI NIKIWA TTCL USHENZI KAMA HUU TUNAMFATA HUKOHUKO DODOMA... MSIKUBALI KUADHIRIKA HUKU WAKITUMIA PESA OVYO KISA KULINDANA

Kitu kizuri kuhusu hi taarifa ni....kwamba nakumbuka kuna mtu alishaiweka hapa....sasa kama huyu mwanahalisi ni mtu tofauti na aliyeiweka mwanzo........inakuw ainathibitisha mambo mengi maovu yanayosemwa.

Kinachonishangaza ktk taarifa hii....... ni jinsi ambavyo mwandishi naye ANASHANGAA ile 10%.......kana kwamba ni jambo la kwaida saana kukubalika......and the way alivyoiweka ni as if na yeye anai-support!!!!!!
 
Mimi naungana na mleta mada kwa ujasiri wake ambao ni kujaribu kuonesha elements za UFISADI katika manunuzi ya ndege hio AIRBUS320.

media_object_file_airbus.gif

Ndege za Airbus (ORIGINAL)

Zipo za abiria, mizigo, VIPs na zingine.

Ninavofahamu mimi ni kwamba dege hilo Airbus 320 tena linaitwa airbus 320 Family, ndio "best seller" katika North America.

Mashirika kama Air Canada, Frontier Airlines, JetBlue, Northwest, Skybus Spirit Airlines, United Airlines na US Airways ndio yanatumia ndege hio.

Pia mashirika mengine makubwa kama Air Canada, Frontier Airlines, JetBlue, Northwest, Skybus Spirit Airlines, United Airlines and US Airways.

Sasa ATCL imenunuaje ndege hio kutoka El-Salvador wakati hata ndege hio katika South America inatua katika miji ifuatayo ya Sao Paulo, Santiago, Buenos Aires na Quito pekee?

El-Salvador wana uwanja wao wa pale San-Salvador, ambao hutulisha ndege za aina ya Boeing 737-700 na 707-800 pamoja na ndege aina ya Embraer 109 tu.

Kama Tanzania inanunua ndege aina ya AirBus 320 au hata 350 basi itakuwa ni historia.

Hii ni serious issue na ifuatiliwe.

Kwa wanaopenda kujua zaidi kuhusu Airbus, enendeni mkatazame showroom ya midege hio katika link ifuatayo:

Ingia ndani ya kila nege na utazame mambo ya wabunifu.

http://www.airbus.com/cabin-showroom/preview/index.jsp?article=0

Alamsikh.
 
Hapa hakuna habari mpya. Hii habari jinsi ilivyo imewekwa muda mrefu hapa na kuchambuliwa hadi watu wamepewa spreadsheets ya malipo ya matengenezo na ubovu wa hiyo ndege. Enigma alipost hapa kila kitu.

Lakini alichofanya MwanaHalisi ni kuthibitisha kile ambacho tumekuwa tukikipigia kelele na hakuna chombo cha habari nyumbani kilichodaka, lakini hiyo ndege ikija na kupata madhara watu wataanza kujifanya wanataka kutafuta ukweli!

Kwanini El-Salvador?
Ndege hii ilikuwa ya Shirika la Air Jamaica hadi ilipokuwa decommissioned na ndipo ikaachwa kwenye hangar za Uwanja wa Kimataifa wa El-Salvador ikingojea mnunuzi. Hivyo SIYO ndege ya Al-Salvador.

Ndege, na sasa hivi baada ya kuikodisha sisi katika mkataba ule wa Dola Milioni 30, ndege ikabidi ifanyiwe matengenzo na kupakwa Rangi za Taifa letu na kuwekwa nembo yetu. Walichogundua ni uharibifu mkubwa ndani ya ndege hiyo yaani sijui walikuwa wanasafirishia nini, lakini viti, milango, n.k vilikuwa ni kuu kuu kuliko umri wa ndege hiyo.

Jaribio la kutaka Wallis Trading (kampuni ya Liberia ambako ndiyo yenye umiliki wa ndege hiyo) kuitengeneza lilishindikana na matokeo yake nini ikabidi tufanyie matengenezo katika "gereji ya ndege" ya Aeroman hapo Al-Salvador kwa mkataba mwingine wa utengenezaji.

Ili kuindesha na kuhakikisha inafanyiwa matengenezo yanayopaswa ikishaingia Tanzania tumeingia Mkataba mwingine na Air Mauritius ambao wanashikiri katika "ferry flight" (safari ya kuileta hiyo ndege) ambayo imeshaanza na ni sisi tunawalipia pia.
 
.teh! teh! naona kama mazingaombwe vile; hizi habari ndizo zinawachosha watoto washule wanaamua kuchoma moto shule zao!

Inaonyesha Charles Taylor alikuwa anasafirishia magogo kwenda majuu wakati wa utawala wake

Jamaa'angu Stive D' hebu jitokeze tu ilinikuone jinsi unavyoruka-ruka hata kwenye issue muhimu kama hizi!! Avatar yako naikubali!

...ngoja nikapumzike kidogo baadae nije niipitie tena upya hii thread, labda nitaelewa vyema!!!

Kazi Ipo!
 
Jasusi:
Kweli Zinatengezwa France Umesahau Na Ujerumany..hili Kasa Limetokea Liberia Ndugu Yangu Hata Doc Zake Zinaachata Ya Liberia,,ilipokaribia Dili Kuiva Wakalituma Elsalvador Kwa Matengenezo..ndipo Jamaa Wakaenda Kuangalia ..na Lingine La Kusikitisha Walipofika Wlaikuta Eng Imeshushwa Wanatengeneza Uhsahidi Huo Upo,,je Hawa Waanaitakia Mema Kweli Kampuni,..na Kuna Mmoja Wa Marubani Aliienda Alipofika Waliwajulisha Wenzake Jamani Hili Bomu Kwa Nini Hivi...wakiongozwa Na Board Chairman Na Eco Wakamshauri Afanye Alichotumwa....
Kuna Kigogo Mkubwa Yuko Karibu Na Huyo Rubani Mwingine Alieenda Alipofika Alimpigia Simu Na Mkumjulisha Tumekwisha Ngoja Tuyaone Likifika...sasa Basi Ukiacha Pesa Wanazotoa360,000 Doller Swali Zile 6 Zilikuwa 260,000 Usd Pamoja Na Amfunzo Na Kwa Wataotaka Kwenda Kuicheck Ticket Bure Hata Wasipoichukua...ndio Maana Kama Mnakumbuka Wachina Walikuja Wakataka Kuichukua Atcl..fununu Wakawaita Managementa Nzima China Walipofika Kila Anaeulizwa Hajui Swalal Lolote La Airline Management,,,mchina Akaseman Yuuko Radhi Kuchukua Lakini Si Akiwa Na Hii Management..je Watanaznania 360,000usd-260,00 Usd =100,000 Usda Per Month Hatujajaza Zahanati Kila Kona Tena ?jibu Mnalijua Watananznia
Kazi Kwetu
 
Anaother Pain Kwa Wale Watanzania Ambao Labda Baba Zenu Wanashiriki Au Walishiriki Katika Hili Hii Kampuni Iliwapa Offa Ya Ndege Mbili Kwa 260,000 Na Kukubali Kuwauzia Nyingine Mbili Kama Watatka Kwa Longterm Intallment Bado Hawa Jamaa Wakaona Utumbo Yawezekana Walivyoniomba Namba Zao Uyo Jamaa Wakawasilianaa Nae Wakaona Hakuna Tofauti Na Nilichowaambia........
Watanzania Msikubali Mpaka Ndege Ianguke Pale Ziwa Victoria Ndio Mnajifanyanya Kuhuzunika Kumbukeni Baada Ya Madhara Yatakayotokea Kuna Mengi Yatakuja

1))kutaundwa Tume Hii Itatumia Hela Za Walipa Kodi

2))kuna Wengine Watajitokeza Kutaka Kuleta Ushaidi Wa Ubovu Wa Ndege Hii Kwanini Tusianze Sasa Kuokoa Hizi Pesa Za Matume Haya Ya Kila Siku

Bado Huyu Ngedere Anawaita Wafanyakazi Wambea Nawaongo Bungeni Kisa Uswahiba Wake Na Mh...mimi Sijui Sijui Nasema Sijui Na Amini Usiamani Jakaya Atampa Ngedere Huyu Uwaziri Kamili Hapo Ndipo Mtakapojua Siku Za Mwisho Zimekaribia

Haya Tususbiri Baada Ya Siku Nne Si Nyingi Wapendwa Tuungane Kuipokea Hiyo Ndege Apo Uwanjani Natamani Ningalikuwpepo Baahat Mbaya Ntakuwa Nje Ya Nchi Siku Mbiuli Kabla Natumaini Member Wa Jf Mtatupati Kilichojiri Ndani......
 
wanandugu si kwamba naichukia kampuni hii naipenda sana ndio maana sitaki irudie ilipotoka ,,,na hakika ndio maana nazunguka nchi mbalimbali kwa kutumia hii ndege embu soma kituko wlichotufanyia hivi juzi na wakati natua tu kesho yake nasikia huo utumbo wa huyo mwanaharamu MAKONGORO mi sisemi na sema chichemi jaamani--------------------------------------------------------------------------------

Shukrani,,kwenu Ndugu Watanzania Naitwa mwanahalisi Tofauti Na Wanaoogopa Kutaja Majina Yao..mimi Nikiwa Kama Abiria Wa Airtanzania Hapo Juzi Nikitokea South Africa Nilisikitishwa
Sana Na Uozo Uliotendeka ..kwanza Tulipanda Ndege Ya Makaburu Watupu Pili Tukiwa Tumekaa Ndege Ilikuwa Inanuka Eneo Zima La Abiria Baada Ya Muda Tukauliza....wakasema Subirini Ndege Iondoke Mtajulishwa...wale Wazungu Ni Washenzi Na Mbwa Kabisa...
Nilijiuliza Nini Kimetokea Kabla Sijapata Jibu Tukaambiwa Abiria Wote Chukua Kilicho Cheni Mrejee Mlipotoka..hakika Sikuamini Na Kila Unaemuuliza Kakaa Kimya...mimi Mwanahalisi Mtanzania Halisi Sikupenda Kukaa Kimya Nikauliza Kila Kona Ndipo Niliyoyapata Haya

Hiyo Ndege Imekodishwa Na Baadhi Ya Members Wa Management Kwa Wiki Tatu Sasa Iko Uko.kwa Mslahi Yao Binafsi Na Wala Si Ya Kampuni Kama Wengi Walivyofikiri.dar..na Habari Za Uhakika Ni Kwamba Ndege Hii Toka Imeokuja Imekuwa Ikiondoka Muda Wa Saa Sabananusu Mpaka Saa Nane..na Hizi Ni Hujuma Za Zilizozahiri...kwamba Kuna Mambo Mengi Yanafanyika Ndani Ya Atcl Bila Sisi Kujua Matokeo Yake Tunapata Shida...ndege Hii Imeanza Kunuka Toka Siku Ya Kwanza Na Wakatiwakiambiwa Wahenshimiwa Wa Atcl Wamekuwa Wakikana Mpaka Baadhi Yao Kuja Na Kunusa Harufu....ilyomo Ndani...katika Hili Naomba Huyo Naibu Waziri Wa Miundo Mbinu Badala Ya Kukaa Pale Nbc Club Na Kunywa Na Walevi Wenzake Ajaribu Kufwatilia Nini Kilichomo Atcl....na Nini Cha Kufanya...aiwezekani Mkakodisha Ndege Wiki 3 Inanuka Na Wewe Waziri Na Naibu Waziri Uko Ofisni Unasoma Tu Hizi Taarifa...
Pili Kuwepo Na Uwazi Katika Kukodisha Hizi Ndege Maana Inasemekana Kuna Watu Wachache Wao Wakisikia Mambo Ya Kukodisha Ndege Wako Mstari Wa Mbele Kuangalia Asilimia Kumi Yao..bila Kuangali Ni Ubora Wa Ndege...wakiongozwa Na Muhindi Mmoja Jina Atukuweza Lipata...tungependelea Mhe Makongoro Badala Ya Kukaa Pale Nbc Club Na Kunywa Nenda Ukachungulie Uchafu Uliopo ..kuliko Kuitwa Mlevi Ufanyi Kazi Bora Ujiuzulu.....
Tunawashukuru Baadhi Ya Wafanyakazi Wa Ndege Watanzania Waliopo Siku Hiyo.....kwa Msaada Wao...
Wenu
Dsm
Tanzania
 
Mwanahalisi,
Nina swali dogo la kijinga. Nijuavyo mimi Airbus
hutengenezwa Ufaransa. Kitu gani kilipelekea kuamuliwa ndege inunuliwe El-Salvador? Of all places?

Ofukozi hii itakuwa ni mtumba. Tumeliwa tena. Ndege nyingi siku hizi wanafanyia maintenance South America badala ya Ulaya na US kwa sababu ya gharama zao kuwa ndogo. Nadhani ndio maana iko huko El-Salvador ingawa inaweza ikawa imenunuliwa nchi nyingine.
 
nikirudi bado nazifwatilia hizi ndege ndogo mbili zilizokuja majuzi sijapata info zake zaidi nikpata docs ntawajulisha kwa mslahi ya umma nini kimeingia,,,hatuwezi kuwa kila siku ndio danguro la matakataka yaliyokaribia kwisha...kumbukeni ikija kuna operation cost ,,maintanance cost nk...hizi zitaendenlea kuwa hasara na hasara...
mkifilisika mnapiga kelele hela hakuna ooooohhh tuwafukuze aulizeni ttcl mang wawasaidie kwa hili.....red never solve ...jitahidi usawazishe matatizo yaliyopo ndani kabla ya kuelekea mbele...
 
Nimemsikia mheshimiwa mmoja wa wizara ya miundo mbinu huyu si mwingine chapombe makongoro...kwa kweli amesikitisha sana kwa uozo aliokuwa anaongea pale bungeni laaiti huyu mwanaizaya tungekuwa nae kwenye ndege ya juzi toka South Africa hakika asingeongea upumbavu kama huu....

PILI nyie wafanyakazi mmetukanwa mko wapi au mnaogopa ajira zenu..... Hii ni haki yenu aiwezekani mtu mkubwa kama Mh. Makongoro kuita wafanyakazi wambea na waongo...... Nashukuru Mungu nilikuwa makini sana katika kufatilia hoja zake na pia napenda kuwahikikishia nilishiriki katika kutafuta ndege hiyo ya Airbus na ukweli halisi ni kama ifuatavyo na baada ya hapo nyie wasomaji na mchuje na kuamua nani mbea na nani mwongo:

NAIBU WAZIRI AU WAFANAYAKAZI????
AIRBU 320 kabla ya kupatikana huko El-Salvador kulitokea email nyingi tu nilizapata toka kwa marafiki zangu ATCL WANATAFUTA NDEGE... TUKAKUTANA NA MMOJA WA RUBANI ALIEKUWA NAAE ANASHUGULIKIA HILO...

KATIKA MCHAKATO NILIMWAMBIA KUNA AIRBUS 6 WAHUSIKA WANATOA OFFER YA MAINTENANCE KWA MWAKA MMOJA NA PIA WANAFUNDISHA RUBANI WAFANYAKAZI WA NDANI ENG NA WAFANYAKAZI WA CHINI IDADI YOYOYTE..BAADA YA HAPO NIKAAMBIWA NITAPIGIWA SIMU...

NIMEKUWA NIKIVUTANA SANA NA JAMAA ZANGU NA HATA HUYO CEO BW DAVID MATTAKA... NA KUWAAMBIA NENDENI NA WATAALAM MKAANGALIE ZILIPO UBORA WAKE... NIKAPIGIWA SIMU NA MMOJA WA MARUBANI AKIULIZA JAMAA ATATOA PERCENT NGAPI KWETU NA TUKO KUMI????

KWELI NILISHTUKA MAANA NILIHISI HATA KAMA TEN PERC WATU WATANO SI MBAYA NKWAAMBIA ATATOA MILLION 500... WAKADAI NI DOGO SANA... BAADA YA HAPO ,,, WAKAWA WANATUMA EMAIL... MWISHO NIKAWAJULISHA MWENYE NDEGE AMESEMA MWISHO SIKU FULANI KAMA IMESHINDIKANA BASI... HAWAKUWEZA KUWASILIANA MPAKA NILIPOPATA TAARIFA WAMEPATA NDEGE AIRBUS TOKA EL-SALVADOR....

PILI

NDEGE HII NI MBOVU NA KWATAARIFA TU TULIYONAYO KWA MAANDISHI NA BARUA ZIPO NDEGE HII WALIAMBIWA ATC WALIPIE KILA TAKATAKA ITAKAYOTENGENEZWA NA WARAKA TUNAO NA KWAKUWA HUYU MH AMEANZA RASMI KUDANGANYA UMMA WACHA TUMWAMBIE SAUTI YA WATU SAUTI YA MUNGU UKWELI UTAJULIKANA...

NDEGE HII WANA NDUGU NI MBOVU NA MPAKA SASA IMESHATUMIA BILLION ZAIDI YA 5 NA AJAIFIKA NA WALA KUANZA KAZI....KAMA ATAKI KUKUBALI NA HILI ASUBIRI UKOUKO BUNGENI NDANI YA SIKU TATU AKAWAKATILIE WATU KWA MAANDISHI....

MATUMIZI YAKE NI KAMA IFUATAVYO
TOKA MWEZI WA KUMI ATCL WAMEANZA KULIPA NDEGE AMBAYO HAIPO NA WALA AIJAFIKA DOLLAR 420. HII NI PAMOJA NA ADHABU YA KUTOCHUKUA MAPEMA DOLLAR 420,000 * OCT, NOV, DEC, JAN, FEB, MAR na APR.

KUNA KIBARAKA MMOJA WA MEMBER WA MANAGEMENT ALIPELEKWA KULE TOKA MWEZI WA KUMI HAKUNA KAZI YOYOTE ANAYOIFANYA YEYE ANALIPWA DOLLAR 300 KWA SIKU.

DOLLAR
300 * 31 OCT 9300
300 * 30 NOV 9000
300 * 31 DEC 9300
300 * 30 JAN 9000
300 * 28 FEB 7200
300 * 31 MAR 9300
300 * 30 APR 9000

HIZI ZOTE NI DOLLAR MARA 1300 ZA KITANZANIA EWE MTANZANIA UJAJENGA ZAHANATI KUNA RUBANI MWINGINE NAYE ALIKAA HUKO MIEZI 2 ANALIPWA DOLLAR 400 *60 24,000 USD.

KUNA RUBANI MWINGINE AMBAE MPAKA HIVI SA SA YUKO HUKO HAIJULIKANI ANASUBIRI NINI NATUMAINI MATAKKA ANAJUA UCHIFU HUU YEYE ANA MWEZI SASA BAADA YA KUONA WENZAKE WANAENDA HAWARUDI AKAONA NA YEYE AKAANGALIE NDEGE IKOJE NAE ANALIPWA DOLLR 300 *30 DOL 9000

JAMANI HAPO HATUJAWATUMIA PESA ZILIZOTUMWA KWA AJILI YA MATENGENEZO YA HIYO NDEGE ANAYOKATAA HUYO MHE NA KUAMUA KUWAITA WAMBEA NA KUMBE YEYE NI MBEA NA MNAFIKI.... MHE WAZIRI NASIKIA WEWE ULIKAA NA CEO MATAKA NA BAADA YA KUMBIWA KUNA WATU WANAMCHOKONOA UKAMWAMBIA AWAFUKUZIE MBALI... MIMI SIONI SWALA NI KUWAJIBIKA AU KUBADILI MAKOSA AU KUFUKUZA WATU?

SIJAJUA WANGAPI LAKININATUMAINI HAKI ITATENDEKA NA MOTO UTAUONA MAHAKAMANI BWANA DAVID...

NDEGE WALIZOLETA NDOGO NI MBOVU NA NI AIBU TUPU KAMA ANABISHA
AULIZE WATAALAM MAINJINIA BADALA YA KUKAA NA KUNYWA POMBE OVYO AKIWAITA WAFANYAKAZI WAMBEA NA WANAFIKI... SIJUI KAMA HAWA WAFANYAKAZI WANA CHAMA CHAO. WAKATI NIKIWA TTCL USHENZI KAMA HUU TUNAMFATA HUKOHUKO DODOMA... MSIKUBALI KUADHIRIKA HUKU WAKITUMIA PESA OVYO KISA KULINDANA

Mwandishi kwa vyovyote anaijua vema hii ishu ya Airbus. He only needs to be 20% right to make me mad.
 
Mtandao na incompetency sijui ni wapi tuta-draw the line, huyu naye ndiye mtandao haswa na alihusika sana na kuikarabati nyumba ya mkapa pale Sea View sijui kwa minajili ipi, lakini najua kuwa ndiyo tiketi iliyompa ubunge, mpaka uwaziri mdogo,

Lakini, hakuna mvua isiyokuwa na masika wallahi yote yatafumuka tu mwaka huu!
 
Nondo zimekwenda shule na kweli zinaonyesha watu wanafuatilia vitu. Haiwezekani ukashusha kila kitu moja kwa moja hapa inabidi jamaa hapinge kwanza ndiyo ushushe nondo zote. Au kama mtu anadoubt basi naye afuatilie kujua kwanza kama kilichoshushwa hapa cha kweli au la. Huyu ana uhakika ndiyo maana kashusha vitu hapa watu wajadili.

Hii mada ni balaa maana nafikiri vitu kama hivi iko siku watu fulani hawatatembea mitahani. Just wait and c
 
Hapa hakuna habari mpya. Hii habari jinsi ilivyo imewekwa muda mrefu hapa na kuchambuliwa hadi watu wamepewa spreadsheets ya malipo ya matengenezo na ubovu wa hiyo ndege. Enigma alipost hapa kila kitu.

Lakini alichofanya MwanaHalisi ni kuthibitisha kile ambacho tumekuwa tukikipigia kelele na hakuna chombo cha habari nyumbani kilichodaka, lakini hiyo ndege ikija na kupata madhara watu wataanza kujifanya wanataka kutafuta ukweli!

Kwanini El-Salvador?
Ndege hii ilikuwa ya Shirika la Air Jamaica hadi ilipokuwa decommissioned na ndipo ikaachwa kwenye hangar za Uwanja wa Kimataifa wa El-Salvador ikingojea mnunuzi. Hivyo SIYO ndege ya Al-Salvador.

Ndege, na sasa hivi baada ya kuikodisha sisi katika mkataba ule wa Dola Milioni 30, ndege ikabidi ifanyiwe matengenzo na kupakwa Rangi za Taifa letu na kuwekwa nembo yetu. Walichogundua ni uharibifu mkubwa ndani ya ndege hiyo yaani sijui walikuwa wanasafirishia nini, lakini viti, milango, n.k vilikuwa ni kuu kuu kuliko umri wa ndege hiyo.

Jaribio la kutaka Wallis Trading (kampuni ya Liberia ambako ndiyo yenye umiliki wa ndege hiyo) kuitengeneza lilishindikana na matokeo yake nini ikabidi tufanyie matengenezo katika "gereji ya ndege" ya Aeroman hapo Al-Salvador kwa mkataba mwingine wa utengenezaji.

Ili kuindesha na kuhakikisha inafanyiwa matengenezo yanayopaswa ikishaingia Tanzania tumeingia Mkataba mwingine na Air Mauritius ambao wanashikiri katika "ferry flight" (safari ya kuileta hiyo ndege) ambayo imeshaanza na ni sisi tunawalipia pia.

Nafikiri wafanyakazi wa kuongoza ndege watie mgomo kuiongoza ndege hii hadi pale serikali itakapowawajibisha wote waliotia hasara taifa. Hivi Huyu JK vipi anasubiri uchunguzi tena hii pesa ya walipa kodi ni lini itaonewa huruma? Haya madaraka aliyopewa ni ya nini kama hawezi kuyatumia?
 
ANOTHER RICHMOND::::::
wanandugu naipenda nchi yangu siwapendi wale waliopo wa maslahi yao na wala si ya wananchi.....naomba tusome kwa karibu ibada hii na mwisho kila mtu amwombe muumba wake....nikiwa pale OLIVER TAMBO INT AIRPORT NILIPATA MENGI YALIYONISHTUA NA WAKATI NIKIWA NAWAGAWIA NIKATAKA NIWAPE YOOTE NIKAHISI KAMA NAONA WATANZANIA WALIO NJE WAKICHANA PASSPORT ZAO WAKATI WANASOMA...NO PENDA NCHI YAKO.....NILIPATA HABARI MOJA AMBAYO NAJARIBU KUWAOM,BA KAMA KUNA WAFANYAKAZI WA KITENGO HUSIKA NJONI MTUSAIDIE BADALA YA KUSUBIRI NDEGE IMEANGUKA MUANZE KUTO USHIRIKIANO...KAMPUNI YETU KUMBE SWALA LZIMA LA NDEGE HII YA KABURU NI KUNA NDEGE IMEKWAMA PALE MWANZA...KWA WALIO UKO TUOENI TAARIFA INAENDELEJE AU ISHAKUFA....ENGINE LIMEARIBIKA ..BADALA YA KUFIKIRIA KUTAFUTA NYINGINE WAKAACHA KUHANGAIIKA NA ENG NA BADALA YAKE KUKIMBILIA HILI DEGE BOMU LA MAKABURU...SASA BASI KWA NYIE WATANZANIA INJINI HII ILIPITIA JNB NA I=KWA BAHAT MBAYA NKAMBIWA IMEONDOKA MUDA SI MREFU ..INJINI ILE IMELETWA KIHUNI HUNI KWANZA IKIWA PALE JNB AIRPORT IKAANZA KUVUJA OIL...WAH WAKAPIGIWA SIMU KUAMBIWA MNALETEWA KASA HIYO AIKUTOSHA INJINI IKAINGIA DAR....HATUJUI KAMA WAMESHATENGENEZA AU LAH,,NA NYIE VITENGO HUSIKA KAMA MNALETA INJINI MBOVU NA SIKU ROHO ZA WATU ZIKIONDOKA HAKIKA MWENYEZI MUNGU HATOWAACHA HALI MKIJUA NI MBOVU....
 
hakuna marefu yasiyo na ncha jamani tumeambiwa ndege jumapili na huyu bwana makongoro nafikiri mwanahalisi inatosha usimwage mengi watu wakakimbia maana natumaini hapo bungeni ama uko ATCL moto utawaka hivi karibuni...ila hawa wafanyakazi wa ATCL inaonekana waoga kweli sijapata kuona mwagikeni tum.....nyani gila/.....
 
Imebaki Siku Moja Airbus Kutua Waandishi Wa Habari Msiwe Mbali
Natanamani Ningekuwa Tanzania Maskini Weee
 
Hivi wamekaribisha waandishi wa habari kwenye kuipokea? jamani mnapokwenda huko ulizeni maswali kulinga na data tulizonazo hapa muone kama watakuwa tayari kuyajibu au mtaambiwa leo tumekuja kuzindua ndege tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom