Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Nilishawahi sema , humu kwenye maadhimisho ya CCM ,Mkiti wake ndg kikwete alisema kuna watu wazuri tutawashawishi wachukue fomu, pia alisema mpka sasa hajaona rais wakiwemo waliofungia ;
Membe,lowasa,wasira,January ,Ngereja na sumaye,

Makongoro ndiye turufu ya CCM kwa sasa , wapo wanaojipa matumaini kuwa membe awe rais hakika membe akipitishwa CCM bai bai , huyu n dhaifu kuliko kawaida

Makongoro Nyerere, ni nabii kwa CCM
hapo red umekosea
ni nabii kwa TAIFA kwa kuwa tunamhitaji sana bila kujali vyama vyetu
 
Makongoro siku zote yupo makini sana kwenye kazi zake wala hajatumwa na mtu ndiyo alivyo.

naona team lowassa na MEMBE zimebanwa zinahaha
MAKONGORO asubuhi tuu CCM inatangaza ushindi wa 88% october uchaguzi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kinana ni kiboko ametumia mbinu kali sana ya kuwajaza wagombea Urais kutokea kwenye chama chake ili kuwachanganya wengi na kufikiri kuwa CCM kuna mparaganyiko.

Yeye huyooooo yuko mikoani anasafisha njia na kufunika mashimo. Nyinyi hangaikeni na hawa wagombea.

Hapo sasa!

Anatuchanga sisi au kaamua kumchanganya fisadi mwenzie lowasa lakini angalizo ni kwamba itaja wagarimu mwageni ugali wengine wamwage mboga paka ajifaidie letu jicho.
 
DR SLAA AKIHUTUBIA UMATI WA WATU WA MPANDA MKOANI KATAVI
Published On June 5, 2015 » 8 Views» Featured Posts, Habari, M4C, Picha za Matukio

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibroad Slaa akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Mpanda, mkoani Katavi uliofanyika katika Uwanja wa Kashaulili baada ya kuwasili mkoani humo akitokea Mkoa wa Rukwa na Mbeya, ambako amepita katika maeneo mbalimbali akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa BVR, akitumia mikutano ya hadhara kuhamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kueleka mwezi Oktoba.

Kura yangu anayo makongoro nyerere tu nje ya ukawa
 
Arfi unamjuwa au unamsikia tu?

Kama haumjuwi, lile ni chotara la Kinyamwezi na Kimanga.

Hapo sasa.
 
Anatuchanga sisi au kaamua kumchanganya fisadi mwenzie lowasa lakini angalizo ni kwamba itaja wagarimu mwageni ugali wengine wamwage mboga paka ajifaidie letu jicho.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Hapa unaongelea kuhusu nini?
 
makongoro katumwa na mama yake, nyie hamjawahi kutumwa na mama zenu? "nenda makongoro, kachukue fomu, kagombee na wenzako....ulishawahi kukaa ikulu ukiwa mdogo, sio mahali pageni, nenda kagombeeeeee........"
 
Hakuna mgawanyiko katika CCM, haya ni mambo ya kawaida kuhusu vyama kuwa na wagombea wengi. Sasa hivi USA kuna mchakato wa kumpata mgombea Urais kupitia vyama kama huu wetu, kasome kuna wagombea wangapi huko kwenye chama kimoja, ni kawaida sana, ndiyo maana ya demokrasia.

Jisomee: 2016 Potential Republican Presidential Candidates

sometime huwa unafurahisha,unaanzaje kufananisha USA na TANZANIA
 
ile ndio imani yake ulitaka achuchumae mbele ya LOWASSA au MEMBE?
Makongoro anachagulika ndio maana alishinda ubunge ARUSHA jimbo ambalo hana asili yake hata chembe

ARUSHA ?hata Lema alichaguliwa.
Ni sawa na Pemba kule Lema akisimamishwa Lema au mnyika na Cuf atapita...sio kigezo ni eneo tayari lina upinzani kwa ccm...si aligombea kwao ? Kwenye mchujo alikwama.
Imani ya kumuangukia mzungu halafu tumkabidhi nchi?
 
Mambo ya KUJUANA, nakuachia wewe na huyo Mnyamwezi mwenzangu Arfi.

Kusema ukweli, sijawahi kumuona kiongozi yeyote wa Chadema kwa macho. Mie na Mtandao ndiyo TUNAJUANA,

Arfi unamjuwa au unamsikia tu?

Kama haumjuwi, lile ni chotara la Kinyamwezi na Kimanga.

Hapo sasa.
 
Makongoro siku zote yupo makini sana kwenye kazi zake wala hajatumwa na mtu ndiyo alivyo.

Kaacha kunywa nanii walah urais Tanzania watu sijui mnauchukuliaje mbona enzi ya mwaaalimu haya makitu yalikuwa hakunaga yaani mtu anaekwenda kuomba nafasi ya urais alikuwa akijifikiria mara mbili mbili teena ilikuwa ndani ya chama na kama Mwalimu akiona baado ulikuwa hujakomaa kisiasa alikuwa akikupiga stop hukohuko hata tuliokuwa ndani tulikuwa hatujui kinachoendelea

Walikuwa wanaojitokeza adharani walikuwa walao wana ahueni ya masoko laki sasa mama yangu mwizi , fisadi sijui nani yaaani bila hata haya wanataka urais kweeeli yaani mmetuchukulia poa wananchi kiasi hichi wallah kama ni lile mbwa ta mlilotupa enzi hizo cha kipindi cha ccm nomber 1kwa sasa limeisha nguvu

Tukutane october kwenye sanduku la kura.
 
hii dunia ni ya ajabu sana......
Unajua makongoro anaweza kukubalika na wananchi sana..... Sababu ya hangover ya baba yake.
Kama ilivyokuwa kwa ....clinton...... Alikubalika sana.... Sababu ya kufanana na marehemu john fitzgerald kennedy.
 
Ng'wamapalala

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom