Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
They are all countries and they are all "United".
Lakini sio Man United???
They are all countries and they are all "United".
Lakini sio Man United???
Katumwa na Mungu kuwakomboa wanyonge.
nadhani kuna watu nyuma ya pazia wanamdrive huyu mlevi
Na Marekani siyo republic, wewe ulienda kusomea nini?Man U siyo "country".
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hajatumwa ila ni shinikizo la la wazee wa ccm ambao wao jina nyerere ndio kila kitu.
Hivo kupambana na ukawa bora watumie jina nyerere . Wanafikiri kuwa watu watadhani amerudi..kwao ni kurudi ikulu bila kujali kama anaweza au hawezi
Bila kujali kuwa hana sifa yoyote ya urais.
Kwanza nilupo muona kachuchuma mbele ya padre mzungu sina imani kabisa..tutarudi kule kule serikali kukabidhiwa vatikano
Na Marekani siyo republic, wewe ulienda kusomea nini?
Zile states ndo republics, republics haziwezi kuwa republic!A Republic
A republic is a representative democracy where the people vote for representatives to wield power in their stead. The only pure democratic laws in the US are the initiatives that some states have. Otherwise, the US is entirely a republic.The United States of America is a Republic
More specifically, a constitutional federal republic. However, this government is operated as a representative democracy by a congress. The important distinction is that the USA is not operated democratically, but rather by representatives who come to power by democractic process. This was an essential and subtle fundamental of the constitution: we are not a true democracy which could amount to mob rule, but a representative democracy in which our leaders act in our interests.
Makongoro ni sehemu kubwa ya mkakati wa viongozi wakuu wa CCM kumchomoa Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha urais. Lowassa won't make it; mark my words.
nadhani kuna watu nyuma ya pazia wanamdrive huyu mlevi
Huyo makongoro familia tuu imemshinda leo hii eti rais wa Tanzania thubutu yake!
Haiwezekani kabisaaa
kwani wewe ni mwenyekiti au unaunda sekretarieti mpaka tujuaneNa wewe ni CCM?