Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Lazima tuwe na uwezo wa kutofautisha kati ya kumchafua mtu na kusema ukweli.

Kwa mfano mkulima bora wa nyanya ukamsifu kwa jitihada zake za ukulima bora wa nyanyq sioni kama kuna makosa.

Na fisadi mashuhuri au kibaka katika nchi ukimsifu kwa kwa namna anavyoweza kuiba fedha za nchi kwa ustadi mkubwa kuna tatizo gani?

La msingi watanzania lazima vichwa vyetu vijiimarishe katika kuambizana ukweri.

Na kutofautisha kati ya ukweri na kuchafuana.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Moko anajua kabisa kuwa kumchafua mgombea mwenzako ni kipengele kinachokuondolea sifa ya kuteuliwa na chama ila anavunja kwa makusudi

Na hapo Ndo pananipa shaka,

je yuko serious na kugombea uraisi?
Mkuu;
Hoja ya msingi hapa, ni kweli anamchafua mgombea mwenzake au anausema ukweli ambao umeishasemwa na uko kwenye kumbu kumbu.

Hata mimi ninaona kama vile hayuko serious!

Yetu macho!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.

Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.

Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa kukiuka kanuni, maadili na taratibu za chama mpaka kufikia hatua ya kutaka kumuondolea Rais Kikwete kofia ya Mwenyekiti wa CCM-Taifa.

Kuibuka kwa Makongoro Nyerere katika kundi la wanachama ambao wanaomba kuteuliwa kuwa wagombea Urais wa Tanzania kumeufanya uwanja wa siasa ndani ya CCM kubadilika hasa ikichukuliwa kuwa, hakuna mwanaCCM ambaye alikuwa akiongea na kusikilizwa kwa makini na wanachama wa CCM kuhusu kile kilichokua kinaendelea ndani ya CCM.

Makongoro amewashambulia vikali baadhi ya watia nia kama Edward Lowassa, Mwigulu Nchemba na Stephen Wasira kama ndiyo baadhi ya wale wanaleta maradhi ndani ya CCM pamoja na kwamba CCM bado ni chama bora nchini.

Pamoja na mambo mengine, Makongoro aliwatuhumu kwa kuja na Ilani yao ya uchaguzi badala ya kusubiri Ilani ya CCM itakayopitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM-Taifa.

Alisema ndani ya chama hicho kumekuibuka pia genge la watu wachache ambao utajiri wao ni wa shaka na umejijenga kwa fedha chafu.

“Ndani ya chama tawala wamekuwapo ‘vibaka’ wachache… unajua kibaka ni kibaka tu hata kama kapewa gari la Serikali lina bendera ya taifa mbele atabaki kuwa kibaka tu. Hawa ndiyo wanaotuvurugia chama na hawamheshimu Mwenyekiti wa chama, Rais Jakaya Kikwete’’, Makongoro alisema.

Makongoro ameamua kuchukua jukumu la viongozi wakuu wa CCM ili kupambana na makundi yanayohatarisha uwepo wa CCM katika uwanja wa siasa.

Sauti ya Makongoro ukiichunguza kwa makini ni kama sauti ya mtu aliaye nyikani!

Kwa sauti hii, ni nani amemtuma Makongoro ili kupambana na wanachama anaowaita ni vibaka wanaosababisha baadhi ya viongozi wa CCM kuishi maisha ya kusukumwa kwa upepo wa makundi yanayomilikiwa na watoa fedha.

Je, inawezekana sauti ya Makongoro ni sauti ya viongozi wakuu wa CCM?

Makongoro atauweza mfupa uliowashinda viongozi wakuu wa CCM?.

chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena, kimegeuka kokolo la kuchota bila hatakubagua, mwenyekiti hawezi kuheshimika kwa haya yafuatayo, kwanza mwenyekiti ni dhaifu sana na ndo amesababisha magogoni kukoa hadhi kila kibaka ndani ya ccn kuweza kuona ikulu ni pa kawaida mbona mh.kapaweza wakatibuwrzo wake ni mdogo, pili wanachama na watangaza nia wote ndani ya ccm wote wana sharubu na wote wana mitandao yenye nguvu je ni nano atamufunga paka kengere? kwa udhaifu huu wa mh.ndo maana tumefika hapa tulipo.
 
Makongoro ni mbunge wa africa mashariki na mkewe ni jaji wa mahakama kuu familia imemshindaje?

Mbona watoto wake wanakula vizuri na maisha yao ni mazuri na wanasoma ktk shule viwango.

Kuhusu ulevi mbona hao vibaka ni walevi wakupindukia hamsemi na wanatuibia taifa letu kila kukicha.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ccm nimefurahi sana kitendo cha kukata jina la mzee lowasa maana hata big five mmemtosa tena ?maana top ten yupo membe, pinda, bilali ,mwandosya, rose migiro, jaji Augustino ramadhani, balozi mahige ,mzee lowasa ,Nyarandu, na mwigulu nchemba, Sasa tuna kwenda big five walio chaguliwa balozi mahige, rose migiro (gender ) mwandosya ,pinda na watano ni membe .tunakwenda walio ingia top three ni mwandosya, jaji Augustino ramadhani na membe baada ya hapo kasheshe ikatokea full malumbano mwisho wa mjadala uzee dawa bwana a kasema anaye faa kuperurusha bendera ya chama tawala cha ccm ni ndugu mark mwandosya na mgombea mweza ni jaji Augustino ramadhani ili kukinusuru chama
.kutokana na wagombea wengine wana makundi mkubwa na yata jenga chuki na hatimaye kukigawa chama waliamua hivyo .watu watajiuliza kuhusu wasira au makongoro nyerere hawa kuna kipengere cha sifa cha mgombea awe amekitumikia chama bila kuhama ccm sasa hawa walikihama chama baadae wakarudi tena kuhusu mzee lowasa kwanza amevunja kanuni za kugombea fomu za wazamini zimejazwa kimakosa na amepiga kampeni wakati hatuja mpitisha pia matumizi ya pesa nayo yalionekana sana .sasa tushikirikiane kukijenga chama cha mapinduzi. Je ikitokea hivyo itakuwaje kwa team membe ,team lowasa ,team pinda ,team mwigulu nchemba na team nyarandu ?haya tutafakari sasa
 
Kinana ni kiboko ametumia mbinu kali sana ya kuwajaza wagombea Urais kutokea kwenye chama chake ili kuwachanganya wengi na kufikiri kuwa CCM kuna mparaganyiko.

Yeye huyooooo yuko mikoani anasafisha njia na kufunika mashimo. Nyinyi hangaikeni na hawa wagombea.

Hapo sasa!

Mara ya mwisho umelala na Kinana bar gani?
 
Huyu Mako aka mwana wa marehemu atueleze alishindwaje kuwa mwenyekiti wa chama wa mkoa.
 
Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.

Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.

Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa kukiuka kanuni, maadili na taratibu za chama mpaka kufikia hatua ya kutaka kumuondolea Rais Kikwete kofia ya Mwenyekiti wa CCM-Taifa.

Kuibuka kwa Makongoro Nyerere katika kundi la wanachama ambao wanaomba kuteuliwa kuwa wagombea Urais wa Tanzania kumeufanya uwanja wa siasa ndani ya CCM kubadilika hasa ikichukuliwa kuwa, hakuna mwanaCCM ambaye alikuwa akiongea na kusikilizwa kwa makini na wanachama wa CCM kuhusu kile kilichokua kinaendelea ndani ya CCM.

Makongoro amewashambulia vikali baadhi ya watia nia kama Edward Lowassa, Mwigulu Nchemba na Stephen Wasira kama ndiyo baadhi ya wale wanaleta maradhi ndani ya CCM pamoja na kwamba CCM bado ni chama bora nchini.

Pamoja na mambo mengine, Makongoro aliwatuhumu kwa kuja na Ilani yao ya uchaguzi badala ya kusubiri Ilani ya CCM itakayopitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM-Taifa.

Alisema ndani ya chama hicho kumekuibuka pia genge la watu wachache ambao utajiri wao ni wa shaka na umejijenga kwa fedha chafu.

“Ndani ya chama tawala wamekuwapo ‘vibaka’ wachache… unajua kibaka ni kibaka tu hata kama kapewa gari la Serikali lina bendera ya taifa mbele atabaki kuwa kibaka tu. Hawa ndiyo wanaotuvurugia chama na hawamheshimu Mwenyekiti wa chama, Rais Jakaya Kikwete’’, Makongoro alisema.

Makongoro ameamua kuchukua jukumu la viongozi wakuu wa CCM ili kupambana na makundi yanayohatarisha uwepo wa CCM katika uwanja wa siasa.

Sauti ya Makongoro ukiichunguza kwa makini ni kama sauti ya mtu aliaye nyikani!

Kwa sauti hii, ni nani amemtuma Makongoro ili kupambana na wanachama anaowaita ni vibaka wanaosababisha baadhi ya viongozi wa CCM kuishi maisha ya kusukumwa kwa upepo wa makundi yanayomilikiwa na watoa fedha.

Je, inawezekana sauti ya Makongoro ni sauti ya viongozi wakuu wa CCM?

Makongoro atauweza mfupa uliowashinda viongozi wakuu wa CCM?.

Uchambuzi wako ni wakile ambacho ccm wanataka ukielewe...kwa upande mwingine bado huchambuzi ila umechukua picha kama ilivyo..ccm they are hundreds million away kuliko ulivyowathimin! Moja ya kitu ambacho ukitambue nikuwa wako kwenye campen ya chama hata wewe pasipo kujua...leo kila chombo cha habari kinazungumzia ccm,mpaka hivi wewe mwenyewe umepost kuhusu ccm.hilo ni swala moja,yako mengi
 
Kinana ni kiboko ametumia mbinu kali sana ya kuwajaza wagombea Urais kutokea kwenye chama chake ili kuwachanganya wengi na kufikiri kuwa CCM kuna mparaganyiko.

Yeye huyooooo yuko mikoani anasafisha njia na kufunika mashimo. Nyinyi hangaikeni na hawa wagombea.

Hapo sasa!
Dah una akili kweli wewe njoo uchukue soda
 
Kinana ni kiboko ametumia mbinu kali sana ya kuwajaza wagombea Urais kutokea kwenye chama chake ili kuwachanganya wengi na kufikiri kuwa CCM kuna mparaganyiko.

Yeye huyooooo yuko mikoani anasafisha njia na kufunika mashimo. Nyinyi hangaikeni na hawa wagombea.

Hapo sasa!

Lini Ndani ya CCM Pakawepo Mashimo, Tunaambiwa na ww hapa Kuwa CCM ni Tambalale...Chungeni Sana Mtaangukia Pua Muda si mrefu.
 
Hizo zako ni ndoto za alinacha,

Cha kushangaza, wakati CCM wanajipanga kutafuta mgombea Urais anaewafaa nyinyi mnawashangilia waliojitokeza CCM kuusaka Urais kutwa kucha. Sababu? Ni rahisi sana hata kwa juha kuijuwa sababu.
 
Lini Ndani ya CCM Pakawepo Mashimo, Tunaambiwa na ww hapa Kuwa CCM ni Tambalale...Chungeni Sana Mtaangukia Pua Muda si mrefu.

Hafukii mashimo ya CCM anafukia vishimo vilivyochimbwa na waongo waongo wa UKAWA.

CCM ni tambarare daima.
 
Asanteeee... achana na UKAWA wana UKIWA... wee tosonge mbele na CCM yetu where democracy is at its heart and exercised tharally... achana na hao waiba wake za watu...!!! Wanaiga kila kitu CCM hawana la maana, chama cha ukoo, ni matahira tu wanafuata...!!! achana naooo sie twende zetu
 
Back
Top Bottom