Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Mwezi mtukufu huu punguza kukesha na kutukana hapa Jf, nashauri kipindi hiki waumini wa dini ya kiislam msiingie humu kuepuka vikwazo vya wasioamini

Tutaingia na mki beep tunapiga.
 
Hahahha unachekesha my dada joyhope huyu jamaa alikiwa anapikwa ndo maaana hakuwai kusikika kwa media maana hapa bongo bla media kkusikilizisha kwa raia hawakuji ss ndo mda wake wa kusikika kwa kasi kama unavyoona
Alikuwa anapikwa na nani ?
 
Last edited by a moderator:
Jangili amekupa raha sana sio eee! !!
mwambie arudi kwao Somalia
 
Ngosha;

Muonekano wake hauonyeshi seriousness kwenye kazi anayoiomba.

Kutokuwa serious ndiyo kumenipa shauku ya kufahamu aliyeko nyuma yake.


Seriousness kwa upande gani wakuu? Kama ni maneno yake naona atakuwa serious 100%! au labda namna ya uongeaji wake na wajihi (kukunja sura wakati anaongea) kama Naibu waziri TAMISEMI Bwana Mwanri. Ninachojua kuwa serious ni pamoja na kusimamia kile unachokiamini. Sasa kazi ipo kwetu kuchambua kama anachokiongea Bwana Makongoro atakisimamia? Na hapa haitajalisha kama atashindwa au la. Kikubwa ni kuona kuwa anakisimamia kwa nguvu zote kile anachokiamini. Ni suala la kumpa muda tu ikizingatiwa kuwa katika kipindi hiki cha julai - Oktoba 2015 tutayaona mengi sana ambayo hatukuwahi kuyaona huko nyuma. Mungu ibariki Tanzania.

The Listener
Ex Detective
 
Back
Top Bottom