Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Kutibu jipu unaanza kulipasua na kulisafisha.
Muafaka ni CCM kugawanyika makundi mawili (CCM Asili na CCM Maslahi/Mafisadi), kundi linalotetea wananchi litapeta wakati huo huo la pili likitoswa!

Hakuna mgawanyiko katika CCM, haya ni mambo ya kawaida kuhusu vyama kuwa na wagombea wengi. Sasa hivi USA kuna mchakato wa kumpata mgombea Urais kupitia vyama kama huu wetu, kasome kuna wagombea wangapi huko kwenye chama kimoja, ni kawaida sana, ndiyo maana ya demokrasia.

Jisomee: 2016 Potential Republican Presidential Candidates
 
Hivi mtu akikemea mabaya anakuwa ametumwa? mtu wa haki si anatakiwa akemee mabaya daima? kama ni kutumwa basi ametumwa na Mungu
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ng'wamapalala

HATAUWEZA MFUPA HUO
TUNAITAJI MTU AMBAYE HATAMEZWA NA WAHAFIDHINA WA CHAMA ATAKAYEKUWA HURU KTK KUKISAFIAHA CHAMA!
ATAKAYE FUFUA AZIMIO LA ARUSHA NA KULIFUNGA LA ZANZIBAR
ATAKAYE ZUIA UTOROSHWAJI WA FEDHA ZETU NJE YA NCHI
NA KUAMURU WALIOFICHA FEDHA NJE WAZIRUDISHE NDANI YA NCHI MARA MOJA

JE ? KWA VILE MAKONGORO ANABEBWA NA HAO HAO MATAJIRI WA NDANI YA CHAMA
ATAWEZA KUWAKEMEA?_i
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mgawanyiko katika CCM, haya ni mambo ya kawaida kuhusu vyama kuwa na wagombea wengi. Sasa hivi USA kuna mchakato wa kumpata mgombea Urais kupitia vyama kama huu wetu, kasome kuna wagombea wangapi huko kwenye chama kimoja, ni kawaida sana, ndiyo maana ya demokrasia.

Jisomee: 2016 Potential Republican Presidential Candidates

Wagombea kuwa wengi siyo tatizo, kupigana vijembe, huyu fisadi, kibaka, mla rushwa, mtoa rushwa, hana maamuzi magumu, .... ndiyo uthibitisho wa mgawanyiko!
 
Cku zote aliyezama ajui niwakat na mda gan mwokoaji anakja kumwokoa ndo ilivyo kwa hyu jmaa weng wetu atujajua kama ndo anataka kulinsuru taifa letu makongoro mkombozi wa wanyonge sbr utaona

Yetu macho tuu, ila kazi ipo ndg zanguni.
Uchaguzi kama utakuwepo tumuombe Mungu uwe wa amani Maana hii nchi imeshateikwa na mafisadi na ndio wanapigana kufa na kupona waishike dola.

Nikirudi nyuma sijui Watanzania nani aliyetuloga. Ni kweli watu wanaweza kusahau mapema namna hii kiasi cha Kumshabikia EL kiasi kwamba wananataka aongoze hii nchi??

Hivi NEC ya CCM itakuwa imekula maharagwe ya wapi wampitishe EL, maana sina uhakika kama wanyo sabuni ya kutosha kumsafisha na sidhani kama huo muda utakuwepo hata kama alisingiziwa na kasha ya Richmond basi Lowasa, awaache wanaopigania kuingia ikulu wafanye hivyo.

Ushauri wangu tuu atulie aendelee kusaidia Jamii kwa namna alivyo tuu inatosha. Hata mimi kwa upeo wangu mdogo aninipa wasi wasi kila nikimtizama sielewi anataka kwenda ikulu kwa ajili gani.

Siamini kabisaaaa kama ni kwa sababu ya kututumikia wa tz, bali analo jambo nyuma ya pazia.
Watz tusidanganyikeeeeeeee.

Makongoro ulikuwa wapi? Mbona kama umeamshwa usingizini wewe ndg yanguuu??? Hiii nchi ulistahili kuiongoza lakini sio kwa kustukiza kama ulivyofanya. Aliyekushauri alichelewa japo alikuwa sahihi kumtizama mtoto wa Baba wa Taifa letu.
 
Hahahha unachekesha my dada joyhope huyu jamaa alikiwa anapikwa ndo maaana hakuwai kusikika kwa media maana hapa bongo bla media kkusikilizisha kwa raia hawakuji ss ndo mda wake wa kusikika kwa kasi kama unavyoona
 
Last edited by a moderator:
Nilishawahi sema , humu kwenye maadhimisho ya CCM ,Mkiti wake ndg kikwete alisema kuna watu wazuri tutawashawishi wachukue fomu, pia alisema mpka sasa hajaona rais wakiwemo waliofungia ;
Membe,lowasa,wasira,January ,Ngereja na sumaye,

Makongoro ndiye turufu ya CCM kwa sasa , wapo wanaojipa matumaini kuwa membe awe rais hakika membe akipitishwa CCM bai bai , huyu n dhaifu kuliko kawaida

Makongoro Nyerere, ni nabii kwa CCM
 
Hajatumwa ila ni shinikizo la la wazee wa ccm ambao wao jina nyerere ndio kila kitu.
Hivo kupambana na ukawa bora watumie jina nyerere . Wanafikiri kuwa watu watadhani amerudi..kwao ni kurudi ikulu bila kujali kama anaweza au hawezi
Bila kujali kuwa hana sifa yoyote ya urais.
Kwanza nilupo muona kachuchuma mbele ya padre mzungu sina imani kabisa..tutarudi kule kule serikali kukabidhiwa vatikano

ile ndio imani yake ulitaka achuchumae mbele ya LOWASSA au MEMBE?
Makongoro anachagulika ndio maana alishinda ubunge ARUSHA jimbo ambalo hana asili yake hata chembe
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Duh pinda akikosa u pm atakuwaje jamani, Makongoro huyu dah kaharibu ndoto za wengi
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom