Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

kwani wewe ni mwenyekiti au unaunda sekretarieti mpaka tujuane

Jibu basi bana, mimi siku zote nnajuwa wewe ni katika misukule ya chadema.

Kama ni mwana CCM, basi nnakupa hongera sana.

CCM ndiyo namba wani.
 
ImageUploadedByJamiiForums1433523186.824137.jpg

The Devil We Know v/s The Unknown

Stand.

Vote.

Be Counted.

Tanzania. The choice is yours!
 
Mkuu;
Nitakosea nikiuliza ni Mungu yupi aliyemtuma kuwakomboa hao wanyonge?
nafikiri anamaanisha mungu wa kile kifimbo cha baba yake alichokabidhiwa na chifu wanzangi juzi. sidhani kama ni Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo.
 
Tatizo la Rais kupitia ccm ni kule kutumikia mabwana wawili Serikali na Chama haiwezekani ; lazima utachemsha. Kwa maana serikali ya chama hicho ikifanya makosa chama hakiwezi kuiwajibisha kwa maana ya kiongozi na haya ndiyo tunayoyaona kwa mwenyekiti Wa chama cha sasa kuwa rais.Makongoro akitaka urais ajiepushe na uenyekiti wa chama ili akili zake zote ziwatumikie wananchi wote
 
Kuna tangazo moja lilikuwa linarushwa na kituo cha BBC miaka ya 2007/8 likisema while others save in the name of God others kill in the name of God.Wanaosema Mako hajatumwa na Mungu wao wa Israeli na Yakobo ndo hao hao wanaomwomba Mungu huyohuyo kuwafitini wengine.
 
Tatizo la Rais kupitia ccm ni kule kutumikia mabwana wawili Serikali na Chama haiwezekani ; lazima utachemsha. Kwa maana serikali ya chama hicho ikifanya makosa chama hakiwezi kuiwajibisha kwa maana ya kiongozi na haya ndiyo tunayoyaona kwa mwenyekiti Wa chama cha sasa kuwa rais.Makongoro akitaka urais ajiepushe na uenyekiti wa chama ili akili zake zote ziwatumikie wananchi wote

Huko ni kupwaya kwa raisi binafsi na Mako ashasema tatizo la mwenyekiti wao na chama chao siyo kofia 2 bali ni kuwakumbatia wale waliokuwa marafiki zake na ndo wamemfikisha hapo,huu ni udhaifu wa mtu binafsi zaidi zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Tatizo la Rais kupitia ccm ni kule kutumikia mabwana wawili Serikali na Chama haiwezekani ; lazima utachemsha. Kwa maana serikali ya chama hicho ikifanya makosa chama hakiwezi kuiwajibisha kwa maana ya kiongozi na haya ndiyo tunayoyaona kwa mwenyekiti Wa chama cha sasa kuwa rais.Makongoro akitaka urais ajiepushe na uenyekiti wa chama ili akili zake zote ziwatumikie wananchi wote
Mkuu;

Kama umemsikiliza Makongoro kwenye hotuba yake wakati wa kutangaza nia alifafanua sababu ya Rais kuwa pia na kofia ya Mwenyekiti wa chama.

Sikiliza sababu alizozitoa Makongoro Nyerere kwenye hii video;

[video]https://youtu.be/Wj8DUpBCRUU[/video]
 
Huyo makongoro familia tuu imemshinda leo hii eti rais wa Tanzania thubutu yake!
Haiwezekani kabisaaa

Familia ipi ? Mkewe unamzalisha wewe ?

Wakati mkapa anakuwa rais ..aliitwa mlevi na alitelekeza mke...ameondoka akiacha serikali Ina fedha nyingi kuliko Wakati wowote na deni la TAIFA akalipa
Kikwete walimwita mgonjwa ....,na anao watoto mikoa yote aliyopita
 
Anyway kuna kila dalili kwamba Lowasa na genge lake wanamtisha mwenyekiti wa sasa. Ukiangalia nyuma ya Lowassa ni majeruhi wa utawala wa sasa. Watu ambao wanaamini kuwa walisaidia sana mwenyekiti wa sasa kufika hapo alipo, ila kwa sababu ya uchu wao wakadondoka. Hawa watu ni kama wamehifadhi bif fulani na wale walioko madarakani. Makongoro inaekekea ndo sauti inayoweza kuwanyamazisha watu hao.

Kusema kweli with Makongoro in the equation Lowasa na genge lake wanatetemeka.
 
Uko sahihi mkuu...walianzia kumfitini katika uongozi wa CCM mkoa wa mara, wakamtosa ubunge wa EAC lkn wabunge wa upinzani wakampa kura...Hivyo basi, fitina lazima zipigwe juu yake.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Hajatumwa ila ni shinikizo la la wazee wa ccm ambao wao jina nyerere ndio kila kitu.
Hivo kupambana na ukawa bora watumie jina nyerere . Wanafikiri kuwa watu watadhani amerudi..kwao ni kurudi ikulu bila kujali kama anaweza au hawezi
Bila kujali kuwa hana sifa yoyote ya urais.
Kwanza nilupo muona kachuchuma mbele ya padre mzungu sina imani kabisa..tutarudi kule kule serikali kukabidhiwa vatikano

Hoja ya kipambavu kweli sijui huko madrassa mnafundishwa ujinga gani.?
 
Anyway kuna kila dalili kwamba Lowasa na genge lake wanamtisha mwenyekiti wa sasa. Ukiangalia nyuma ya Lowassa ni majeruhi wa utawala wa sasa. Watu ambao wanaamini kuwa walisaidia sana mwenyekiti wa sasa kufika hapo alipo, ila kwa sababu ya uchu wao wakadondoka. Hawa watu ni kama wamehifadhi bif fulani na wale walioko madarakani. Makongoro inaekekea ndo sauti inayoweza kuwanyamazisha watu hao.

Kusema kweli with Makongoro in the equation Lowasa na genge lake wanatetemeka.

Mkuu;
Siasa za Tanzania siyo kama tuzijuavyo!.

Inawezekana unayoyasema ni kweli!.

Ndiyo maana nimeuliza aliyeko nyuma ya Makongoro Nyerere katika sakata hili.
 
Cku zote aliyezama ajui niwakat na mda gan mwokoaji anakja kumwokoa ndo ilivyo kwa hyu jmaa weng wetu atujajua kama ndo anataka kulinsuru taifa letu makongoro mkombozi wa wanyonge sbr utaona

Moko anajua kabisa kuwa kumchafua mgombea mwenzako ni kipengele kinachokuondolea sifa ya kuteuliwa na chama ila anavunja kwa makusudi

Na hapo Ndo pananipa shaka,

je yuko serious na kugombea uraisi?
 
Hivi mchafu anachafukaje?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom