cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
Tunaheshimu maamuzi ya mahakama maana sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Kama ilikuwa ni haki ya Mahanga kushinda basi itabaki hivyo ila kama hakushinda kwa haki basi tusubiri ya Arumeru Mashariki..... sijamaanisha kwamba atakufa bali haki itapatikana hata kama ni nje ya mahakama.
tatizo lao huwa wanasahau kuwa hata mtikisiko wa ubongo! unaweza kusababisha KIFO! CCM NAWATEMA PUUUUUUUUUUU! Sijawahi kupiga kura, lakini 2015 lazma kuepukana na CCM! Ni wa kuwaogopa kama ebola!