Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

Leo habari kutoka mahakamani zimeeleza kuwa mbunge wa segerea mh makongoro mahanga aliyekuwa akilalamikiwa na mgombea ubunge wa chadema ndugu f. Mpendazoe ameshinda kesi na kwa hiyo ni mbunge halali wa segerea. Baada ya kusikia uamuzi huu wa mahakama imebidi nijiulize hivi tanzania sheria ipo? Na kama ipo je inafanya kazi? Napenda kuamini kuwa sheria tanzania haifanyi kazi bali kinachofanya kazi ni utashi wa mtu. Iweje pamoja na uthibitisho wote na ushahidi wote kuhusu ukiukaji wa taratibu za uchaguzi bado mahakama imeamua kuwa ni mshindi. Hii ni hatari ! Sipendi kuhukumu lakini kutokana na mwenendo wa kesi na mashahidi ni dhahiri shahri kwamba makongoro mhanga hakustahili
 
Wanachadema wako biased sana, mbona matokeo ya kagera na sumbawanga mlishangilia mliposhinda???acheni na sisi tushangilie leo.
 
Issue sio Makongoro kushinda kesi bali ilikuwaje wapambe wake waanze kujitapa toka wiki iliyopita kuwa wanasubiri kushehereke? Huyu jaji amejidhalilisha sana yeye binafsi, familia yake, taaluma, mahakama na dini yake (swala tano huyo). Makongoro hakushinda na wala hatashinda Segerea. Kwa jina la YESU ninaomba Jaji huyu akose amani moyoni mwake hadi atubu dhambi hii.....vinginevyo jinamizi la Yuda Iskariote limkute..............

Amina...
 
Jana baada ya kutoka mahakamani sauti za waliokuwa wanamshangilia fisadi mahanga zilimezwa na wana chadema kilichokuwa kinasikikia ni "mafisadi x kadhaa".
 
La msingi sasa nyie wana segerea mpeni mahanga ushirikiano kuleta maendeleo jimboni kwenu, na wanaotaka jimbo wangojee 2015. Hili limekwisha. Yeye ndiye mbunge hadi 2015.
 
La msingi sasa nyie wana segerea mpeni mahanga ushirikiano kuleta maendeleo jimboni kwenu, na wanaotaka jimbo wangojee 2015. Hili limekwisha. Yeye ndiye mbunge hadi 2015.
Hata Dada yako au Mama yako wanaweza kumuonesha ushirikiano, ni mkarimu sana kwa wale wenye sifa za kumpa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom