Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

Tunaheshimu maamuzi ya mahakama maana sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Kama ilikuwa ni haki ya Mahanga kushinda basi itabaki hivyo ila kama hakushinda kwa haki basi tusubiri ya Arumeru Mashariki..... sijamaanisha kwamba atakufa bali haki itapatikana hata kama ni nje ya mahakama.


tatizo lao huwa wanasahau kuwa hata mtikisiko wa ubongo! unaweza kusababisha KIFO! CCM NAWATEMA PUUUUUUUUUUU! Sijawahi kupiga kura, lakini 2015 lazma kuepukana na CCM! Ni wa kuwaogopa kama ebola!
 
vioja vyote hivo ushahidi uko wazi aliiba kura anashindaje kesi?
something is fishy here kwa kweli.Juma nlimwamini sana hata ufundishaji wake ila kwa hili amenivunja moyo
 
haya ni mauzauza. Kwa staili hii nahitaji kubeba Ak47 mwaka 2015 ili kutengeneza maisha bora kwa vizazi vijao
 
Mark my words, something is just about to happen, God knows what,but allwho conspired with all of this will soon realiz
 
Matola. mkuu vp hukumu yako ilikua feki
Manyanza nilishasema toka awali kwamba ripoti ya TAKUKURU kuhusu Richmond zilikuwa mbili na Lowasa ndiyo aliamuru ile ya kwanza isipelekwe.

Hii hukumu moja kwa moja imechezewa na mkono wa Ikulu kwa maslahi ya CCM Dar es salaam, hata William Malecela siyo mpumbavu kiasi alinza kujiandaa kugombea Ubunge Segerea, na hata Viongozi wa CCM leo wakisikia Makongoro ameshinda wao wenyewe watashangaa sana, maana wameshaanza maandalizi ya uchaguzi mdogo. take my word siko hapa kutafuta sifa wala kumdanganya yeyote.
 
IPO SIKU WANYONGE TUTAZIPATA HAKI ZETU ZOTE ZA MSINGI,ccm wanatumg'ata kwa sasa hivi Ila ipo siku na wao watakuja kulia kilio Kama cha mama mjane
 
Wakuu,

Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi

Maagizo toka Ikulu
 
sheria ni msumeno

imekata sumbawanga na imekata segerea

kwanini hatutaki kuiamini mahakama? mbona sumbawanga tumemsifu sana hakimu kwakuwa kawa upande wetu? tuwe wenye kuheshimu sheria na taratibu za kimahakama,maana ikihukumu kwa cdm basi mahakama hazifai,ikihukumu kwa ccm basi mahakama hiyo itaonekana ni mungu mtu

kwa hili nasema hapana
 
Mchezo wa mahakama wa kuendelea kubalance hali ya siasa hapa Bongo.Kwa maamuzi ya kesi hii tayari na maamuzi ya kesi ya Jimbo la ubungo wako wazi CDM .na kama leo CCM wangeshindwa Jimbo la segerea basi na jimbo la ubungo CDM wangeshindwa.
 
Ujumbe kwa makamamda
Mapambano ndio kwanza yameanza, na siku zote haki inapominywa to this extent then inatoa fursa ya kuwafahamu vizuri aina ya watu walioko kwenye mapambano. kama kwa ushahidi ule dhidi ya huyu gamba wa segerea kesi imetupiliwa mbali, then the battle is not with magamba only but rather with the gvt (magamba bunge, judiciary na executives)

Never ever give up WATZ wapenda mabadiliko. Ipo siku!!!

Ila inakera sanaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Mpaka sasa hivi dk. 95 CHADEMA(Simba) bado inaongoza 3:2 dhidi ya CCM (Shandy), bado jimbo la Ubungo ili refa uchwara nae amalize kipyenga kwa droo ya 3:3. Chezea magamba wewe?
 
kumbe inawezekana kesi kuendeshwa kwa wakat muafaka bila ucheleweshaj usio na mantik. Nafurah kes za uchaguz zimeisha kwa wakat muafaka kama maagizo ya serikali yatakavyo. Sasa ni kwanin kesi zingne zinacheleweshwa bila sababu za msing, embu watafsiri sheria kuwen serious...
 
Kwenye hii thread sijaona maneno ya wana CDM "SISI TUNA MUNGU"
Huyu Mungu wao this time kapigwa chini...lol!
 
Hata mimi sikutegemea kwamba Makongoro atashinda. Lakini tujenge utamaduni wa kuviamini vyombo vyetu vya mahakama. Kama tulivyokubaliana na maamuzi ya huko Singinda, Biharamulo na Sumbawanga. Nadhani mahakama zina uhuru tuupalilie huo uhuru.

huyo jaji ni kanjanja kama yule wa Arusha! hawa wateule wa JK ndiyo wanaichafua mahakama ktk macho ya Watanzania.
 
Yule alieanzisha BreakNews thread alfajiri saa kumi na mbili ya ushindi wa Mahanga mods wakaipiga Lock huyo nimemkubali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom