Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

Mmpendazoe usijali kaza gwanda twende mbele. Ugumu wa dili ugen ila ukishakuwa mwenyeji itakuwa fresh 2015 sio mbali.
 
Wakuu,

Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi
Duuh! siku yangu ishaharibika kabisa. Simuagi hata bosi ngoja niondoke zangu moja kwa moja. Nikija kukutana na barua ya warning kesho lawama zote atabeba Mahanga!!...... but before I leave, kwa hiyo ule ushahidi wa kura ambazo hazikuhesabiwa toka katika vituo kibao ulikuwa feki? If not... this is where our trust to "learned brothers" is no more!!!
 
Naamini Prof. Juma amezingatia haki....sina kinyongo na hukumu yake. Mpendazoe asijisumbue ku-appeal
 
Sishangazwi na uamuzi huu.... Ila kuna watu wana ushirika na Boko Haram hapa Bongo
 
Kwa ushahidi ule hivi mtu anaweza kushinda kesi? Nilielezwa kuwa Mahanga na JK ni pete na kidole,sasa nimeamini maana sidhani kama haki imetendeka hapa,kilichopo naamini jaji aliambiwa fanya utakavyojua wewe ila lazima umtangaze mahanga mshindi! TZ eeh !!
 
Tunaheshimu maamuzi ya mahakama maana sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Kama ilikuwa ni haki ya Mahanga kushinda basi itabaki hivyo ila kama hakushinda kwa haki basi tusubiri ya Arumeru Mashariki..... sijamaanisha kwamba atakufa bali haki itapatikana hata kama ni nje ya mahakama.
 
This is too bad, maana Mnyika atapoteza, kwa hiyo CHADEMA itakuwa imepoteza majimbo mawili kutokana na kesi. Cha kuomba Mungu uchaguzi wa jimbo la Mnyika urudiwe mapema kabla vyuo havijafungwa ili akombe kura za wanafunzi.
 
Mimi niliposoma gazeti la Mwananchi ya leo nikajuwa Chadema hatuchomoki, maana mwandishi ameandika kama vile alikuwa na hukumu tayari. kama vile alikuwa anakopi na kupesti.
 
Wewe ukishasikia marufuku zinapigwa TAFAKARI CHUKUA HATUA.. Mara oo no vipaza Sauti, Mara oo Zima cm Zote, Mara oo hakuna watu kuingia ndani, Mara hukumu inasomwa ki inglish.. Juma.. Mie nashangaa sana Majaji wengine Sijui vichwani mwao huwa wanawaza nini hasa.. Ni dalili za kutojiamini
 
Kesi ya leo ni ngumu sana hasa ikizingatiwa kuwa MPENDAZOE anamjua vizuri mahanga..na MAHANGA ni mwamba kwenye matukio fulani fulani...ila mpaka sasa chanzo changu cha ndani kinadai hiyo alitakiwa kushinda mpendazoe ila kuna kamchezo kakichezwa atashinda Mahanga ila kasipofanikiwa mpendazoe atashinda na chaguzi kurudiwa upyaa.

source-subiri hukumu isomwe.


kama ni vifijo ndo tunavyosubir hapa
 
Wakuu,

Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi

Ni jaji gani au ni wale wa fasta? kama ni hao ni kuomba rufani
 
Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Mahanga juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Mpendazoe ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
CDM chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom