Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

CCM iliweka mkono wake hapa na bila shaka kuna amri kutoka Ikulu juu ya hukumu hii; mahakama za TZ ni kinyaa kitupu na aibu. Ushahidi ulikuwa wazi CDM kushinda. Jirani Kenya Moi alikuwa mpingo lakini aling'oka na lichama lake la OO KANU yajenga nchi. God ataamua siku moja
 
Badly kitu ambacho haukifahamu hii hukumu kutoka ikulu inawauma zaidi wanaCCM kuliko Chadema, tuulize wana wa jimbo la Segerea ndio utafahamu ukweli.
Bado jimbo lipo in control mpaka 2015...jipangeni...mpaka 2015 na sisi tutakuwa nimeshachuchuka corrective measures!!
 
Sikushangaa kutokana na mahakama zetu kutoa hukumu kwa maelekezo ya CCM.

Tunajipanga upya 2015.
 
HAKI??!! HAKI Ipi, makatazo hayo yote wewe Unadhani kuna HAKI hapo..
Huyo prop ni poyoyo! Hajiamini Hata kidogo.. Kusikiliza hukumu ni HAKI ya kila mtanzania Na Kama wasikilizaji ni wengi lazima mahakama iandae utaratibu utaomfanya kila mlengwa asikize hukumu husika.. Sasa prop wako kwanza Kagoma speakers, kagomea Cm, kagomea Lugha, kagomea wananchi kuingia .. Unaiita HAKI HIYO?

WASOMI Ni CHAKULA CHA WASIOSOMA..

Hahahahaha.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Jaja mwenyewe ni muislam na chadema wapi na wapi
Mi nimeona hilo mapemaa. Lakini la zaidi ambalo ni baya, nilishasikia rumours tokea jana kuwa jaji kapewa maelekezo toka kwa boos, na wengine leo wanaandika hivyohivyo! Ukweli?????
 
Wale wafuasi wa Chadema mtasema Mahakama imewaonea?????
Naendelea kusema huu ndio uhuru wa Mahakama kama chombo huru na muhimili unaojitegemea....!!!

Kwani mahakama zinaendeshwa na watakatifu?Kwa hiyo maamuzi ya mahakama siku zote huwa ni sahihi na mahakama huwa hazikosei?Tatizo umekunywa maji ya bendera hausikii/haufikiri/hauoni/hata kenge unamwita Simba
 
Nadhani hukumu imefaywa hivyo kwa ajili ya "usalama wa Taifa". Nchi inaweza isikalike kama uchaguzi wa Segerea ungerudiwa.
 
Back
Top Bottom