Makonda hana elimu,habari zake zinawezaje kurushwa na television ya taifa?(ITV)
ITV ndiyo TV pendwa Tanzania lazima warushe habari makini.Sasa huyu Bashite anasema wakazi wa Dar waanze kutumia kadi kwenye manunuzi;huu sio uziro wake unasababisha kusema hayo.Sasa habari za kibashite kama hizi za kusikilizwa na mamilioni ya watanzania wanaoangalia ITV?
Hivi huyu Bashite anajua maisha yetu ya tandale kwa tumbo,mburahati,manzese,kigogo,buguruni,vingunguti kuwa tunaweza kweli kununua bidhaa kwa kadi? Wakati kutumia manunuz ya mpesa tu kwetu ni hadithi.
Bashite ni wa kupuuzwa alafu Sijui kwa nini hadi leo rais hamuondoi pale au kwavile ni wa kanda ya ziwa?