Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Kwani habari ya Lema kule A town ilirushwa? Naona wametumia weledi wa ku balance story.
kweli mkuuDaudi balali Daudi bashite majina yenye bahati ya kukingiwa kifua kwa gharama yoyote.
Kwahiyo hiyo TUME YA UTUMISHI WA UMMA haiko hai Tanzania ili ifuatilie hizi tuhuma dhidi ya MAKONDA (DAUD ALBERT BASHITE). Mpaka atajwe asiye kipenzi cha BWANA MKUBWA?Ni ujinga kujigeuza tume ya Utumishi wa umma ili ukague vyeti vya Mkuu wa Mkoa, si muhoji kwanza vyeti vya Mbowe?
Hawajui watumie jina lipi,kati ya Makonda au Bashite.
Sasa tukio lilirushwa mubashara kabisa na vituo vitatu vya tv na redio kadhaa bado mnataka itv ionyeshe tena marudioNaona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
hiyo siyo habari ni udaku tuNaona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Acha unaa wewe. Nenda ofisi zao kawaulize watakuwa na majibu mazuri sana ya kukuridhisha.Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
ITV wamechoka na blabla za BASHITEKwani taarifa ya habari imeisha?
ZinajulikanaYeye mwenyewe Bashite tatizo amekuwa biased na media anazotumia na ndio maana media nyingine zinampotezea tu kutokana na hiyo tabia.
Aibu ganiAyubu Rioba ..leo katia aibu