Makonda vs ITV

Makonda vs ITV

Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
... Nadhani watakuwa Wanasubiri atoe vyeti...
 
Nasema kutoka moyoni kama sio Mkulu kuwatisha ITV, ITV ni miongoni mwa TV stations zinazojitambua sana!!! ITV watamuonyeshaje mtu alietakiwa kuwa magereza huku uchunguzi ukiendelea? Watamuonyesha siku haki inatendeka
 
Mawingu ni media ya udaku hawana tofauti na magazeti ya Shigongo
 
Wanapgopa kuwadanganya watazamaji wao kuwa rc ni Makonda kumbe ni Bashite.
 
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.

Annivesary ya Bashite ina faida gani kwa Taifa? ITV waache kuonesha habari za maana we ulitaka waonyeshe ujinga?
 
[HASHTAG]#Superbrand[/HASHTAG] hawawezi kupoteza muda wao wa thamani kutangaza shilawadu, mambo ya Bashite na baba yake yanapatikana huko [HASHTAG]#Mawinguni[/HASHTAG] na [HASHTAG]#TBCCM[/HASHTAG]
 
Acha warushe upuuzi huo una manufaaa gani wawaachime television changa kama TBC na Clouds ambazo bado zinatafuta publicity. Thanks ITV
Kwahiyoo tbc ni changa ?duh..............haya mkuu
 
Kwani ITV wanalazimika kutangaza habari za Makonda kwa sababu gani ? Si wana uhuru wa kuchagua habari kulingana na matakwa yao na umma wa Tanzania. Hawalazimiki kutangaza kishabiki !
 
ITV mfanyakazi wa chini form 6 sasa wamuoneshe Mr zero ili iweje
 
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Hata magazeti ya leo Jumatano yote hayakumpa uzito kuhusu ziara yake ya mabondeni jana, isipokuwa Uhuru na Habari Leo. Yalimpuuza! Kwa mwendo wa serikali hii vyombo vya habari, kama vikiamua, vinaweza kusaidia!
 
Back
Top Bottom