Makonda vs ITV

Makonda vs ITV

Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Hiyo ni mengi tv
 
Salute na Hala kwa ITV,The Super Brand
Bashite atoe vyeti Maisha yaendelee.
Viva ITV
 
Kwa nini watangaze habari zake na sasa kaishabainika hakutakiwa kuwa hapo? Kitu kinachotakiwa kufanywa na waandishi wa habari ni kumuuliza aonyeshe vyeti vyake kila wanapokutana nae. Na kama hajibu basi wasusie press conference zake.
 
Kuna mda mtu usipo waza vizuri unaweza omba muda wa taarifa ya habari uwe masaa 24 ili habari zote zisomwe .

Juzi mlikuja hapa mkilaumu ITV hawakusoma taarifa ya Lema kule Arusha, Leo umekuja unashangilia hawakusoma maazimisho ya Makonda.
Unafiki na roho mbaya vinaweza kukufanya upunguze uwezo wakufukiri kila kukicha.

Acheni kulalamikia Media .. Zinahaki ya kuchagua nini cha kutangaza ili zijitoe kwenye Milengo ya kisiasa na kijamii na hatimae zitengeneze faida.
Mleta mada mjinga sana. Sijui kwa nini nimechangia huu uzi
 
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Just use your common sense! Chombo cha maana kitarusha huo ujinga?
 
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Hao wanajitambua sio kama wale wanaotufungulia dunia kwa kuhoji mashoga
 
1.ITV wapo busy na kuitangaza Application yao.

2. Hawajui watumie jina gani kati ya bashite/ ma**nda

3. Unapokuwa uko biased na media, media zingine zinakuwa kama zimedharaulika..

ZINAKUTOSHA SABABU HIZO!!
 
ITV hawaonyeshagi habari za vilaza waliofoji Vyeti. nndio maana inaitwa super brand. Bashite weka vyeti
kweli aisee..hata ile ya lema juzi kati hawakuonesha..mpaka vilaza flan hivi vikaanza kulalamika..
kulingana na wewe......lema na bashite wote ni.....!!?
 
Makonda hana elimu,habari zake zinawezaje kurushwa na television ya taifa?(ITV)
ITV ndiyo TV pendwa Tanzania lazima warushe habari makini.Sasa huyu Bashite anasema wakazi wa Dar waanze kutumia kadi kwenye manunuzi;huu sio uziro wake unasababisha kusema hayo.Sasa habari za kibashite kama hizi za kusikilizwa na mamilioni ya watanzania wanaoangalia ITV?
Hivi huyu Bashite anajua maisha yetu ya tandale kwa tumbo,mburahati,manzese,kigogo,buguruni,vingunguti kuwa tunaweza kweli kununua bidhaa kwa kadi? Wakati kutumia manunuz ya mpesa tu kwetu ni hadithi.
Bashite ni wa kupuuzwa alafu Sijui kwa nini hadi leo rais hamuondoi pale au kwavile ni wa kanda ya ziwa?
 
eti itv wamesema hawamtaji wala kurusha habari zake mpaka afanyiwe ubatizo wa jina jipya lenye anastahili d.a.b from kolomije
 
Back
Top Bottom