Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 21,604
- 42,953
Kwani wewe umezuiwa kuanzisha TV station uwe unaonesha member wa kabila lako 24/7?Kwani Makonda ni mchaga?
Ile ni chaga tv. Ukiwa mchaga hasa unatoka kwenye kile chama chao utapewa kipaumbele
Kwani wewe umezuiwa kuanzisha TV station uwe unaonesha member wa kabila lako 24/7?Kwani Makonda ni mchaga?
Ile ni chaga tv. Ukiwa mchaga hasa unatoka kwenye kile chama chao utapewa kipaumbele
Uyo mbona mavyeti mengi ivo??
Angalia TBC utaziona habari za makonda wakoNaona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Na haina ulazima wa kuionyeshaKwani taarifa ya habari imeisha?
Mawingu ndio tv yakeYeye mwenyewe Bashite tatizo amekuwa biased na media anazotumia na ndio maana media nyingine zinampotezea tu kutokana na hiyo tabia.
Tatizo kakubali kutwishwa mzigo ulio mshinda mnyamwezi yaani TBC habebeki tenaAyubu Rioba ..leo katia aibu
Wameshindwa kujua ni jina gani walitumieTaarifa ya habari haijaisha na hiyo habari haitakuwepo.
List ya habari zote zitakazosomwa huwa zinaonekana.
So am sure hii habari haipo.
Mkuu I TV kwa sasa ndiyo tv yetu kitaifaKama unataka habari za Bashite, angalia mawingu!
Itv siyo ya vilaza na ya wenye vyeti feki!...
Kwani lazima uangalie itv...??
Tbc na mawingu ndio wenye habari za kubumbaAcha warushe upuuzi huo una manufaaa gani wawaachime television changa kama TBC na Clouds ambazo bado zinatafuta publicity. Thanks ITV
siyo lazima itv watoe taarifa yake, na ukizingatia ni shirika binafsi, akitaka tbc wapo kwa ajili yake, na watu wenye akili zetu ivi paul makonda ndo nani?Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Nimefurahi sanaITV hawaonyeshagi habari za vilaza waliofoji Vyeti. nndio maana inaitwa super brand. Bashite weka vyeti
Bila vyetiHata Michuzi hajaweka coverage yeyote ya sherehe za leo RC anatimiza mwaka mmoja madarakani.
Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda kwa muda mrefu sasa.