Kumbe kutupwa kwa kadi za CCM ndio sababu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,222
Mtwara wapo wananchi walirudisha kadi za CCM Rais Samia akamla kichwa DC na DED wake tena akiwa kachukia hasa.

Mara vitendo hivyo vikashika kadi, Tanga kijiji kizima kuanzia mwenyekiti hadi mama wa nyumbani. Tena mwenyekiti wa kijiji akafikia kutamka wazi kuwa Andazi na CCM yeye anachagua Andazi.

Mama huku akijitafakari na CCM yake muziki ukaangukia Ngorongoro. Mama ya kadi za CCM zikatupwa utadhani uchafu unaokera kisa Chadema kuwafumbua macho wamaasai juu ya utu na tamaduni zao kuenziwa.

Sasa sio siri tena Mama huyu kapanic na amejua kuwa yale yaliyokuwa yanaogopwa na watangulizi wake ya CCM KUWAFIA MIKONONI yanaenda kutimia kwake.

Hotuba ya jana kuivaa Chadema ilikuwa mbovu kuliko maelezo na imemtoa relini lakini sababu kuu ni wimbi la KUTUPA KADI.
 
Hmmm...
 
View: https://youtube.com/watch?v=dJLCvLCW7cU&si=LRlvVWqdPyezblSi
 
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1694452675771.jpg
    FB_IMG_1694452675771.jpg
    55.6 KB · Views: 2
Mtwara wapo wananchi walirudisha kadi za CCM Rais Samia akamla kichwa DC na DED wake tena akiwa kachukia hasa.

Mara vitendo hivyo vikashika kadi, Tanga kijiji kizima kuanzia mwenyekiti hadi mama wa nyumbani. Tena mwenyekiti wa kijiji akafikia kutamka wazi kuwa Andazi na CCM yeye anachagua Andazi.

Mama huku akijitafakari na CCM yake muziki ukaangukia Ngorongoro. Mama ya kadi za CCM zikatupwa utadhani uchafu unaokera kisa Chadema kuwafumbua macho wamaasai juu ya utu na tamaduni zao kuenziwa.

Sasa sio siri tena Mama huyu kapanic na amejua kuwa yale yaliyokuwa yanaogopwa na watangulizi wake ya CCM KUWAFIA MIKONONI yanaenda kutimia kwake.

Hotuba ya jana kuivaa Chadema ilikuwa mbovu kuliko maelezo na imemtoa relini lakini sababu kuu ni wimbi la KUTUPA KADI.
Watu wameikataa biblia Qur'an itakuwa kadi ya CCM? Fikiri.

Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
 
Yafaa wazipige picha hizo kadi zikiwa jalalani na kuzituma hapa JF.

Halafu waje wale wapindishaji ma wakala wa DPW waseme kadi hizo ni feki feki.

Kitaeleweka.
1691918561367-png.2716150

Hakuna kurudi nyuma na mapinduzi haya, No to Ukoloni mamboleo wa CCM.

Nchi inauzwa!
 
Wachana na hiyo kuruani na biblia, Wananchi wanaikataa CCM na kadi za CCM. Fikiri

Ulishaona wapi msafara wa Mamba? Usitudanganye hapa..

Msafara utaoanza kuuona ni ule wa Wananchi kuikataa CCM.
Ndiyo sababu ya Serikali kuruhusu vyama vingi, ili watu wakatae vingine wakubali vingine.

Mbona tumeona wimbi la viongozi wa chadema wakiihama pia? Au umesahau ya kina Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo? Na wengine wengi.

Nyani haoni kundule.
 
Tulimwambia humu lakini alitupuuza na tukapewa majina ya sukuma gang.hao anaotaka maridhiano nao hawanaga jema
 
We km una akili timamu unaendaje CCM?!
Sio kwmb nabeza ila haiwezekani kwa haya madudu unaweza toka hadharan ukatangaza kujiunga CCM ni kwa akili za kuwekewa pekee unaweza fanya ivyo
Madidu yapi? Yaani niende Kwa wapiga makelele bila majibu kufanya nini hasa?
 
Back
Top Bottom