CCM ya Nyerere isingewateua Chongolo wala Makonda iliheshimu maadili

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Hakika mwenye ccm yako hayupo tena.Namkumbika hata mzee kingunge aliwahi kusema ccm aliyoiacha nyerere sio hii iliopo na sababu alisema ccm hii haifuati katiba yake mtu mmoja anakuwa ndio katiba na kuwaamulia walio wengi...Wakati wa utawala wa hayati baba wa taifa mzee mwenye ccm yake aliamini sana ktk maadili kwa wateule wake, mzee hakuwa na udini ukabila umimi ufamilia na ndio maana viongozi wa ccm ilikuwa lazima wapite kwenye vyuo vya chama ili kufunzwa maadili tofauti na ccm hii.Ccm hii inapata viongozi wake kwa kuwanunua toka chadema au kuwahonga vyeo, kujuana ufamilia udini na ukanda na ukabila .

Tumeshuhudia ccm ikiwateua wapinzani kwa kuwa wamekubali kusaliti vyao vyao na viongozi wa aina hii nyerere aliwaita wanasiasa wenye tabia za umalamalaya.

Tukio la km bw.Chongolo lililopelekea mpaka kujiuzulu wakati wa ccm maadili asingepata tena uteuzi hata wa nyumba kumi lakini ccm hii amepewa ukuu wa mkoa.Ccm maadili ya nyerere isingekubali makonda apate teuzi tena baada ya kashfa ya kuvamia kituo cha clouds usiku akiwa na wanajeshi wenye silaha.

Wakati umefika kwa ccm kujiita ccm maslahi kwani ndio kila kiongozi wa ccm anakipigania kwa faida yake na familia yake na sio wananchi kama ilivyokuwa ccm maadili ya nyerere
 
Kabisa, ccm sasa ni genge la wezi tu, wananchi tuikatae ccm!
 
🆒🗼💐
 
Tunaposema hiyo ccm ni kikundi cha wahalifu, wachawi, wahuni, wazinzi, wala rushwa, wauaji, watesaji, majambazi, wapiga dili, nk. muwe mnatuelewa.
 
Back
Top Bottom