Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Ingia barabarani uwacharaze viboko mpaka akili ziwakawe sawa
Vitu vingine eti hata havieleweki kwasababu mbali na kuwa baba wa taifa, Nyerere ni philosopher and leader hivyo pengine ningetalajia mtu kama kaka mkubwa Dar. ahamasishe makongamano ya kisomi mfano pale viwanja vyama mnazi mmoja na kwingineko kujadili mambo kama Arusha decl. success and failure, good leadership, governance and accountability n.k, sasa mtu anakwambia mufungue saa tano maduka yenu, hiyo hasara nani anaifidia kwenye hizo biashara za watu.
 
Yaani huyu kenge ni[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kuna Mambo mawili nimeshaya-observe:

Kwa serikalini jambo lolote la hovyo/matamko yasiyoeleweka wahanga wake wa kwanza hua wanakua walimu.

Huku private matamko yoyote ya hovyo hovyo wahanga wake wa kwanza hua wanakua wenye maduka.

Itabidi walimu na wenye maduka muunde umoja wenu wa kuwatetea
 
Kwani ni lazima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani ni lazima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna Kamanda wa polisi amewaamrisha wakazi wa arusha wakajiandikishe kwa wingi hasa maaskari pia amesisitiza kutakua kumeimarishwa ulinzi watu wasiogope kwenda.
 
Back
Top Bottom