Atulazimishe sasa na kujiandikisha
Kesho anavamia Bar kasema
Ole wako akukute unafakamia Pombe halafu hujajiandikisha,atakutapikisha pombe zote hata kama umejinunulia
Atulazimishe sasa na kujiandikisha
Mbona hili agizo linapingana na falsafa ya Hapa Kazi Tu.......why?!!!
Kesho anavamia Bar kasema
Ole wako akukute unafakamia Pombe halafu hujajiandikisha,atakutapikisha pombe zote hata kama umejinunulia
No consistanceMbona hili agizo linapingana na falsafa ya Hapa Kazi Tu.......why?!!!
Kwani analo? Ana taK* tuYeye pia ahakikishe dushelele lake linaamka kuanzia saa tano
na wateja wao pia.
Duh! hii kaliYeye pia ahakikishe dushelele lake linaamka kuanzia saa tano
watu wanaoiga kazi kama kawaida wamempuuza domo kaya.Hali ipoje muda huu huko darislaam wakuu!?.
Je, ni kweli maduka bado yamefungwa !?
Daah kwa mara ya kwanza wanaume wa dar wamedinda.watu wanaoiga kazi kama kawaida wamempuuza domo kaya.
Mtaani kwetu Goba Kibululu watu wamempuuza DABIli kumuenzi Baba wa taifa na kwa kua kesho ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye daftari la kuraView attachment 1231901
'Nature of human being is laziness'- FayolMbona hili agizo linapingana na falsafa ya Hapa Kazi Tu.......why?!!!
Kikichonishanga hadi mangi hajafungua hadi saa hizi, mie nilijua ni maduka makubwa makubwa huko kariakoo, kumbe hadi mtaani kwa mangi, mkate hadi saa tano, kudadek..........!Watu mnakua busy kwenye boutique mnafanya window shopping mnaacha kwenda kujindikisha