Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,865
- 40,499
Kwani chama hakilitambui agizo hili?Mbona hili agizo linapingana na falsafa ya Hapa Kazi Tu.......why?!!!
Kwani chama hakilitambui agizo hili?Mbona hili agizo linapingana na falsafa ya Hapa Kazi Tu.......why?!!!
Huyu dogo ni chizi. Anaharibu uchumiIli kumuenzi Baba wa taifa na kwa kua kesho ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye daftari la kuraView attachment 1231901
Je na wale ambao tayari walishajiandikisha nao wasifungue wakae tuu hadi ufike muda huo
Niambie mkuuMkuu!!!
Vichaa hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao si wanapendwa? Sasa mtu anaekupenda toka lini anakususia jambo.... Wapambane na kiburi na ujuaji waoNaona kila mahali vitisho, hata sisi tumetishwa kuwa tusipojiandikisha tutachukuliwa hatua za kinidhamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alimpa ndogoHuyu jamaa sijui alimpa nini jiwe!!!!
Sasa ndio mwenyekiti wetu anavyotaka. Tufanyaje ?Kwa ajili ya kumkomoa Mbowe na Lema au kuletea wananchi maendeleo? Mwafrika mwenye ngozi nyeusi alafu awe mwanaCCM hua akili zao ni chini ya akili ya mtoto mchanga anaekula kinyesi chake. Nimekuelewa lakini mkuu
Jidanganye. Kupiga kura Ni rahisi tu. Tukitoka kupiga mtaa huu, tunakwenda kupiga mtaa mwingine. Utashangaa tunajaza kituo kimoja, baada ya muda tunajaza kituo kingine huku TBC ikirusha live kuonyesha kufanikiwa kwa zoezi na demokrasia iliyotukuka.
Nimejikuta nimefurahi mnoo na jibu lako.Hata akisema saa 10 lkn hatujiandikishi ng'ooo
Ndio nasubiri hizo hatua za kinidhamu.Vichaa hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao si wanapendwa? Sasa mtu anaekupenda toka lini anakususia jambo.... Wapambane na kiburi na ujuaji wao
Ingia barabarani uwacharaze viboko mpaka akili ziwakawe sawaSometimes hadi mtu unachoka ku comment mana wajinga wamekuwa wengi mjini.
Kama kujiandikisha tu imekuwa shughuli hivo je kupiga kura si ndio itakuwa balaa...
Tatizo refarii anaingia uwanjani uku anajua kabisa goli ngapi ngapi leo... Huo mpira mimi huwa siuangaliagi kamwe..
[/QUOTE