Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Naona kila mahali vitisho, hata sisi tumetishwa kuwa tusipojiandikisha tutachukuliwa hatua za kinidhamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau hii safari gani hii wacha twende tutafika tu ukiona giza linazidi kuongezeka ujue mapambazuko yaja
 
Sometimes inachosha hata kucomment, juu ya pumba za hawa watu!!!.

Yaani watu wamuenzi baba wa taifa, kwa kuto kufanya kazi hadi saa 5!!.

Like serious?!!
 
Back
Top Bottom