Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,278
Hizo ni siri za ndani mno.Huyu jamaa sijui alimpa nini jiwe!!!!
Hizo ni siri za ndani mno.Huyu jamaa sijui alimpa nini jiwe!!!!
Huyo huyo aliyeisambaratisha Chadema na kurejea zake CCM!Lowasa yule mliyekuwa mnamtukana kuwa alienda haja kwenye chopa??
Ili kumuenzi Baba wa taifa na kwa kua kesho ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye daftari la kuraView attachment 1231901
Hata mwaka muongeezee hmtupatiBwashee umeongezewa siku!
Mbn mnalazimisha sasaUkikaa Nyumbani Unadhani Kuna Mtu Unamkomoa?
Yes my nigger. This country is very weird. I just dont understand how they run it. Anyway sisi ngoja tule maisha tu.
Kweli yaani kweli mkuu wa mkoa anachemka kiasi hiki? zero ni zero tuu hata ajitahidi vipi lazima achemke tuu.Sometimes hadi mtu unachoka ku comment mana wajinga wamekuwa wengi mjini.
Hatujiandikishi kamwe
Kuna Mambo mawili nimeshaya-observe:
Kwa serikalini jambo lolote la hovyo/matamko yasiyoeleweka wahanga wake wa kwanza hua wanakua walimu.
Huku private matamko yoyote ya hovyo hovyo wahanga wake wa kwanza hua wanakua wenye maduka.
Itabidi walimu na wenye maduka muunde umoja wenu wa kuwatetea
Najiuliza, hivi kuna jambo lolote RC amewahi kulifanya na akalifanikisha kwa kutumia ushawishi na elimu tu kama alivyofanya January Makamba kwenye lile la mifuko ya plastic? Ni kwamba ameshindwa kabisa kutumia ushawishi wake kama kiongozi kuwasihi wananchi wake wakajiandikishe? Hivi kufunga maduka mpaka saa tano ndio itafanya watu wakajiandikishe? Sasa hapo analenga wauza maduka au watu gani? |
Ndugu yangu Kiduku Lilo hii nchi eti inatawaliwa na vichaa sasa tukizidi kukomaa nayo kuna siku wanaweza kutudaka wakizani sisi niwatakatishaji pesa kumbe we are blessed nigga from long fck.Bora tusepe tu ila tusimsahau mwenzetu Mo anateseka sana kisa tu ni blessed nigga mwenzetu
Sometimes hadi mtu unachoka ku comment mana wajinga wamekuwa wengi mjini.