Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Makonda: Maduka yote Dar yafunguliwe saa tano kesho

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,465
Ili kumuenzi Baba wa taifa na kwa kua kesho ni siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye daftari la kura
Screenshot_20191013-142056.png
 
Kama kujiandikisha tu imekuwa shughuli hivo je kupiga kura si ndio itakuwa balaa...

Tatizo refarii anaingia uwanjani uku anajua kabisa goli ngapi ngapi leo... Huo mpira mimi huwa siuangaliagi kamwe..
Jidanganye. Kupiga kura Ni rahisi tu. Tukitoka kupiga mtaa huu, tunakwenda kupiga mtaa mwingine. Utashangaa tunajaza kituo kimoja, baada ya muda tunajaza kituo kingine huku TBC ikirusha live kuonyesha kufanikiwa kwa zoezi na demokrasia iliyotukuka.
 
Back
Top Bottom